Wakoloni walituletea dini kama kinga kwao ili watutawale

wakati umefika waa afrika tuachanane na mambo ya dini kwani hayana tija, kila mtu atumie akili yake kuchambua maandiko yote ya misaafu ya kidini na kwenda na muda, muda umefika wa kuacha kwenda kumpiga shetani mawe, ili hali mkujua kuwa kwa mujibu wa dini wanasema kuwa shetani ni roho, sasa km shetani ni roho inawezekana vipi kuwahasisha watu wakashindane kupiga hewa? katika kushindana huko kuipiga hiyo hewa watu huwa wanakufa kwa kukanyagana, km shetani ni roho nani aliyewahi kumwona?. jamani kumponda mawe shetani ni kuchukia na kuachana na uovu wote, tenda haki, simamia haki na tetea haki maishani wako, huko ndiko kufunga na si vinginevyo, zaidi sana wapende binadamu wote bila kuwabagua na uwe tayari kuwasaidia katika matatizo yao mahali unapojiweza, usisahau kwamba kkila siku na kila mwezi na kila mwama Mungu ni Mtukufu, siku zote unapaswa kuachana na maovu, kwa kufanya hivyo dini yako haikusaidii wala Mungu hatakuwa na radhi nawe maana siku na miezi yote ni ya Mungu,

Nimeiona dini yangu hapo
 
1. Ukristo sio dini ya wayahudi, ni dini ya wazungu, wkati warumi walipoutaifisha ukristo mwaka 3020 AD, wakaufanya ukristo kuwa itikadi ya Ulaya, Ukristo huo huo ulipoingia marekani ukawa biarasha.

2. Unapotaka kuwa Mkristo, ukristo unakulazimisha kuacha jina lako la asili na kuchukua jina la kizungu au kiyahudi

3. Utumwa ulikuwapo ndio maana Paulo ana sema hivi enyi watumwa watiini mabwana zenu,

halafu unaposema matatizo ya waafrika hayakusababishwa na dini unajua historia vizuri? km unajua historia, katika karne ya 17 wa misionary waliagizwa wawafundisheje waafrika?

MWANZO sura 2. mstari wa 10, unasema hivi ukatoka mto mmoja ukamwagilia bustani ya edeni, kutoka hapo ukagawanyika katika viunga vinne, ambavyo ni Gishoni na Pishoni, Euphrates na Tigris hivi wajua mto huu ni mto gani?,

Alama
 
Heshima kwenu mabibi na mabwana ni imani yangu kuwa hamjambo, poleni na heka heka za maisha

Km kichwa cha habari kinachojieleza hapo juu, nimeona leo nitoe dukuduku langu kuhusiana na hizi dini zilivyo tushika, na kweli tumeshikika na wametuweza na wamefanikiwa sana katika hili, na sisi pasi na kujiuliza tulikubali kuzipokea tukapumbazika, tukawaacha wakawekeza dini zao km vitega uchumi, haikutosha ili kutumaliza kabisa wakadai kuwa, dini zote za watu weusi, zikiwapo mila, desturi na tamaduni zao zote ni zamashetani.

Ndio maana adui wa maradhi, ujinga na umasikini ametuganda kwa sababu akili zetu zimedumaa, tunaendeshwa km gari bovu, hii ni kwasababu tumekubali kuwa vibaraka wa kupigania dini za watu, kupitia dini wametugawa vipande vipande, hawa watu waliotuletea dini wanadai kuwa wao ni mitume na manabii wa Mungu, shetani kwa mujibu wadini zao wanadai kuwa ana sura na maumbile mabaya eti ana mikia mingi mwenye rangi nyeusi km mwaafrika, huu ni upuuzi kabisa.

Tupo hivi tulivyo kwa sababu tuliacha mila, desturi na tamaduni zetu badala yake tukaamua kukumbatia mila na desturi za wengine. Kupitia tamaduni zao wanatudharau sasa kwa kusema kuwa mila, tamaduni na desturi zetu nitatokana na mashetani. Kwa mujibu wa dini hizi wanadai kuwa hapajawahi wala kupata kutokea kwa malaika mweusi tangu kuwapo kwa dunia,

Binafsi huwa nasema na nasema tena dini ni ujinga, tufundishwa ujinga na tumeamini ujinga na huenda waliamua kuletea dini kwa sababu kuna kifo na pengine kifo kisingekuwepo kusingekuwa na kitu dini, hebu tuache kudharauliana na kutengana sisi kwa sisi kwa sababu tu wewe wazijua mila za kiarabu na wewe wazijua mila za kizungu, turudi kwenye asili yetu, hizi dini za kiyahudi na kiarabu hazitatufikisha popote zaidi ya kuendelea kutufanya wajinga.
Samahani mkuu naomba nichangie kwa kutumia lugha ya wkoloni maana ndio hivyo waliisha tuathiri.
Kwanza, be informed that christianity and its variants such as Islam originated from Africa, exported to Europe and Americans and came back rebranded. These people after realising the great potential in this vulture embraced it and made it look like it is their own invention. Ask yourself why bible creation stories are very close to African creation myths and not european creation stories? And actually do whites have creation myths in their culture? Whites are only better than us in propaganda making us look inferior but the truth is we are superior than them natural but we choose to follow the policy of being truthful, real and nice to all while the whites are ready to use any means to achieve their goals. They twisted everything in the bible to make us look inferior. For example, why use white people in bible related films while the truth is that the great people of the bible were not white europeans but Africans? So, we must fight to claim back what is rightfully ours.
 
Kwanza mwaka 3020 A.D haujafika nadhani ulikuwa unamaanisha mwaka 320 au 302 labda...

ni kweli nilichapia ni mwaka 320 AD, kwanini hujibu swali

Sijui kama unaelewa kitu unaandika hapa,nani amekuambia Ukristo ni dini ya Wayahudi?

Ni kwa namna ipi Ukristo ni dini ya Wazungu? Kwanza Wazungu ni watu gani?
wewe wafikiri ukristo ni dini ya nani?

Ukristo ulikuwa biashara namna ipi?

Ukristo ulipoingia ulaya ulikuwa umekuwa itikadi, mfano dola ya kirumi na makanisa yanayofanna na hayo
angalia mfumo wa makanisa ya marekani, je mifumo hii inafanana?

Naona un aongeza maswali zaidi ya majibu na sijui kama utaweza kujibu haya maswali...
naweza

Hapa umenisikitisha sana na inaonekana umeanzisha thread ambayo huna kabisa elimu ya kutosha kuhusu ulichokianzishia thread...

Nikusaidie tu kwamba Ukristo ni ule ambao umeandikwa kwenye Biblia,hakuna mahali kuna haya madai yako hapa labda unioneshe sasa hivi hapa.Sijaona mahali kuna kitu hiki,nadhani unachanganya Ukristo na Wakristo maana hivyo ni vitu viwili tofauti kabisa....

unapozungumzia ukristo unaizungumzia biblia, je bibilia hiyo iliandikwa na nani?

Mkristo akiamua kuwa jambazi hiyo haimaanishi kwamba Ukristo ndiyo unafundisha hivyo,jambo rahisi kama hili unashindwa kulielewa? Hayo madai yako ni ya hao weupe ambayo kimsingi hayana biblical back up bali ni namna yao tu ya kusambaza utamaduni wao kwa kutumia uongo.Kwenye Biblia kuna watu wengi tu wa nchi tofauti tofauti waliamua kuwa Wakristo na hatujaona hiki kitu,hakuna mahali kunamlazimisha mtu jambo unalosema...

ukristo au (dini) ni silaha iliyotumiwa na wakoloni km kinga yao ya kutawala na kuwanyonya waafrika kwa madai Mungu kasema, Mungu hahojiwi, kuhoji kitu cha kidini ni kosa la jinai, je umeshasoma church history

Nimekuambia kwamba kabla ya ukoloni Ukristo ulikuwa umeshaingia Afrika,ni kwa namna gani hatukusikia haya unayosema hadi walipokuja Wakoloni?
soma scared philosophy

Duh!! Wewe ni noma...

noma kwa lipi jamani wakati utumwa ulikuwapo?

Kwenye biblia agano jipya unapoona neno watumwa mara nyingi huwa linarejea wafanyakazi,neno wafanyakazi halina tofauti ya kimantiki na neno watumwa kwakuwa wote wanakuwa wanamtumikia mtu au kampuni fulani na ndio maana kuna ujira.Neno watumwa halimaanishi "slaves"mara nyingi lilipotumika kwenye agano jipya...

huo ni ujinga kwa kusema hivyo unapotosha ukweli, utumwa ni kazi unazozifanya bila hiari yako bila malipo, kazi si waomba wewe kwa hiari yako mwenyewe? hiari itakuwaje utumwa?

Pia,hata kama nikiamua kukubaliana na wewe kuwa lilimaanisha unachotaka kukisema hapa,nioneshe ni wapi kuna maelekezo ya kuwa na watumwa au kukamata watumwa...

nimekwambia maandiko ya Paulo anasema enyi watumwa watiini mabwana zenu, hili haliko kwa bibilia? mtu akikupiga shavu la kushoto mggeuzie na la pili huu si utumwa?

Una hokiandika hapa nakijua pengine kuliko hata wewe na ndiyo maana nasema kwamba hii thread huna uelewa nayo kwa namna ipaswavyo....

km wakijua kwanini wapindisha ukweli? au nawe ni mmoja wao wanaowadanganya watu?

Kuwa mmisionari siyo kuifuata biblia.Walikuja na biblia lakini waliyoyafanya na kusema yalikuwa kinyume na biblia hivyo usiseme waliyoyafanya na kuyatenda yalikuwa ni matokeo ya wao kuwa Wakristo maana na wao Ukristo walipelekewa tu kama wewe ulivyoletewa nguo za kimagharibi....

hao unaosema ukristo walipelekewa, walipelekewa na nani? ukristo sio Mungu, ungelisema kwamba waliyo yafanya yalikuwa kinyume cha Mungu, maana mengi waliyofanya ni itikadi ya ukristo, ulikuwa ni upanuzi wa himaya ya ukoloni kwa kisingizio cha Mungu, wakiita wakristo, wakibeba chapa ya ukristo, walikuwa hawaruhusu na hata sasa hawaruhusu kuhoji neno la dini kwa madai kwamba Mungu hahojiwi, je huyo Mungu walikutana nae wapi?

Mito hii imeandikwa hapo na hii inasababisha nisielewe mantiki ya swali lako,labda unataka kuniuliza hii mito ni ya eneo lipi,itakuwa vizuri kama ukiliweka swali lako vizuri....

nimekuuliza hivyo nikitaka kujua bustani ya edeni ilikuwa wapi au nchi gani? hebu nambie edeni ilikuwa wapi

Sijaona hoja ya maana kwenye maelezo yako ya kuuhusisha Ukristo na huu ujinga wa sisi Waafrika kuwa watumwa kifikra na kiutamaduni zaidi sana naona kama hujui jambo hili ipaswavyo maana unachanganya mambo na hii ni kutokana na kutokujua tu...

Mungu si dini na wala dini si Mungu, Mungu si ukristo wala ukristo si Mungu, Mungu hana mwanzo wala Mungu hana mwisho, mwanzo wa ukristo unajulikana, na hata mwanzo wa dini zote unajulikana, napenda watu wafahamu kwamba dini zote pamoja na ukristo hazitokani na Mungu, ni mawazo ya wanadamu juu ya Mungu, yapo mawazo mazuri ndani ukristo na dini, na yapo mawazo ndani ya dini na ndani ya ukristo yamepitwa na wakati, kwa hiyo uwe mwangalifu sana kwa mambo yaliyopitwa na wakati na kuyaweka pembeni

Rudi ukajifunze vizuri zaidi utaelewa....

nikajifunze nini? sielewi mantiki ya swali lako, nadhani wewe ndo watakiwa uende ukajifunze historia ya ukristo ulianzaje na ulieneaje, uhusiano kati ya ukristo na dini zingine. je ni dini gani kati ya dini milion 2,500,000 zilizoko duniani ni ngapi au ipi inatambulika na Mungu?, je ni ukristo, uisilamu, ubhudah, rastafari, judism, nk,

biblia ni msaafu wa kikristo au katiba, mbona kuna madhehebu mengi sana ya kikristo yanatofautiana kiitikadi? je ni dhehebu gani linafuata itikadi ya Mungu?
 
Ni upuuzi kudhani kuwa dini zimepetwa kutugawa,ieleweke tu mu lngu alitumia njia tofauti kufikisha ujumbe wake,na ibada safi,toka kuabudu miti,mawe,mito,milima na vyote visivyokuwa mungu,toka nyakati na nyakati,manabii na manabii mungu alileta ujumbe wake bilakujali atokee upande upi,sina mashaka baadae kidogo utasema hakuna mungu
 
Mkuu mbona unaponda dini badala ya kueleza hatua kwa hatua jinsi dini zilivyofanya Tz ikawa masikini?

Mimi nimetaka kufahamishwa jinsi dini zilivyohusika na umasikini wa Tz.
mafundisho ya ukristo yanasema hivi, usipende mali za dunia uzihesabu kuwa km mavi
msisumbuke kwa neno lolote bali ktk kusali na kuomba, watu hawafanyi kazi wanasubiri mungu afanye muujiza, maneno haya yameua akili za watu, kufiri na kuamua la kufanya, wanakaa mwisho wa siku hawafanikiwi,

toa sadaka na zaka sipotoa sadaka na zaka wewe ni mwizi, unamwibia mungu, Je nani anayemtegemea mwenzake, ni Mungu anamtegemea binadamu? ama binadamu anamtegemea Mungu? aangalia kanisa katoliki na makanisa ya ki protestant zaka na sadaka hutumika kutoa huduma za jamii km vile kujenga hosp, shule, vyuo na huduma nyingin za kijamii, je makanisa ya kilokole na misikiti sadaka na zaka zao zinaenda wapi? hawajengi shule, hosp, wala huduma zozote washirika wao ni masikini wa kutupwa, viongozi wao ndio miungu watu, hilo unalisemeaje?
 
wakristo wanaamini kwamba Mungu ana mtoto Yesu, waisilamu wanasema Mungu hazai kwa kuwa hana mke kati ya hawa wawili nani mkweli?
 
Bnafsi dini imenisaidia sana malezi yao walivyonielekeza na kunielea kiutu na kimaadili ni mtu muhimu sana ktk position yangu kama mtumishi wa umma na mwanadamu kweli ninayejiheshimu n kuwaheshimu wenzangu
kwaiyo bila dini usingejieshimu wala kuwaeshimu wengine?
 
Samahani mkuu naomba nichangie kwa kutumia lugha ya wkoloni maana ndio hivyo waliisha tuathiri.
Kwanza, be informed that christianity and its variants such as Islam originated from Africa, exported to Europe and Americans and came back rebranded. These people after realising the great potential in this vulture embraced it and made it look like it is their own invention. Ask yourself why bible creation stories are very close to African creation myths and not european creation stories? And actually do whites have creation myths in their culture? Whites are only better than us in propaganda making us look inferior but the truth is we are superior than them natural but we choose to follow the policy of being truthful, real and nice to all while the whites are ready to use any means to achieve their goals. They twisted everything in the bible to make us look inferior. For example, why use white people in bible related films while the truth is that the great people of the bible were not white europeans but Africans? So, we must fight to claim back what is rightfully ours.
thanks my brother i congratulate you, may god bless you
 
nikajifunze nini? sielewi mantiki ya swali lako, nadhani wewe ndo watakiwa uende ukajifunze historia ya ukristo ulianzaje na ulieneaje, uhusiano kati ya ukristo na dini zingine. je ni dini gani kati ya dini milion 2,500,000 zilizoko duniani ni ngapi au ipi inatambulika na Mungu?, je ni ukristo, uisilamu, ubhudah, rastafari, judism, nk,

biblia ni msaafu wa kikristo au katiba, mbona kuna madhehebu mengi sana ya kikristo yanatofautiana kiitikadi? je ni dhehebu gani linafuata itikadi ya Mungu?
Daaah!!!

Nimesoma hii post yako nmejikuta nacheka sana tena sanaaa.....

Naona sasa unahamsha goli,badala ya kuonesha n namna gan Ukrsto unahusana na madao yao unaanza kuleta mada zingine...

Ngoja nkuache na mada yao....

Naona tunatofautiana sana,kila la kheri....
 
lazima tutofautiane kwa sabbu ww unatetea dini badala ya kumtetea Mungu ili hali ukijua wazi kuwa Mungu si Mkristo, si muisilamu, si mbudah nk, Mungu ni haki
 
Samahani mkuu naomba nichangie kwa kutumia lugha ya wkoloni maana ndio hivyo waliisha tuathiri.
Kwanza, be informed that christianity and its variants such as Islam originated from Africa, exported to Europe and Americans and came back rebranded. These people after realising the great potential in this vulture embraced it and made it look like it is their own invention. Ask yourself why bible creation stories are very close to African creation myths and not european creation stories? And actually do whites have creation myths in their culture? Whites are only better than us in propaganda making us look inferior but the truth is we are superior than them natural but we choose to follow the policy of being truthful, real and nice to all while the whites are ready to use any means to achieve their goals. They twisted everything in the bible to make us look inferior. For example, why use white people in bible related films while the truth is that the great people of the bible were not white europeans but Africans? So, we must fight to claim back what is rightfully ours.
Sju ama habari ya hapa ya hapa ameelewa hii post maana naona ameushuuru tu lakini umeandika vitu tofauti na msimamo wake....
 
lazima tutofautiane kwa sabbu ww unatetea dini badala ya kumtetea Mungu ili hali ukijua wazi kuwa Mungu si Mkristo, si muisilamu, si mbudah nk, Mungu ni haki
Hahahahahaaaaaa.....

Kwanini tu suiachane na hii mada?
 
Back
Top Bottom