Wakorea wanne kwenye kikao cha Watanzania 20

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kumbe kuwa na vijiduka kaliakoo ni UtajiriπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Ni ngumu sana kuutenga uisilamu na ujinga,
Kariakoo vile vijiduka!?
Okay let's talk about large scale businesses.
Nitajie Tajiri mkristo Tanzania kuliko hawa wafuatao;
1)Ghalib Said Mohammed(GSM).
2)Said Salim Bakhresa(Azam).
3)Mohammed Dewji(METL).
 
Huyo kibunge tangu afike Korea hajabadli gauni lake hilo jeupe..
 
Mkuu achana naye. Hata Mimi ameniboa Sana. Uzi wa maana anataka kuharibu kwa kuleta issue za udini. Aiseeh!
Unajua udini sio jambo zuri kaka.
Binadamu sote tunaishi pamoja na tunashirikiana mambo mengi pamoja.
Ideology ya udini huzalisha chuki yenye upofu ambayo huleta athari pande zote.
Imagine mtu kama huyu ndio awe kiongozi,si atanyima fursa za watu fulani kisa ni wa dini fulani!??
 
Tupunguze nongwa.

Watanzania wanekwenda kujifunza Mambo mbalimbali Korea.

Ni lini walimu wakawa wengi kuliko wanafunzi?
 
Kariakoo vile vijiduka!?
Okay let's talk about large scale businesses.
Nitajie Tajiri mkristo Tanzania kuliko hawa wafuatao;
1)Ghalib Said Mohammed(GSM).
2)Said Salim Bakhresa(Azam).
3)Mohammed Dewji(METL).
We bwege hao wauza pipi unaona ndio matajiri??
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ndio maana nasema ni ngumu kuutenga uisilamu na ujinga
 


Ndiyo tofauti ya wakopaji na wakopwaji.
 
Wewe idiot una utajiri gani wa kuwafikia hao?
Yani Said Salim Bakhresa anamiliki viwanda vya vyakula,anamiliki televisheni zaidi ya 5 na anamiliki speed boat zaidi ya 6 anakwambia muuza pipi.
 
UPIGAJI NDO SERA ZA CCM
 
Nawashauri tu hao wasaniii waliyoenda huko wakatembelee
Korean DMZ (demilitarised zone)
Itakuwa kumbukumbu yao nzuri

Ova
 
Hiyo mbona ipo hata huku. Kwani Tundu Lissu mmoja ni sawa na kina Babu Tale million ngapi?
Mbona steve nyerere anamtosha lisu. Alitoa statement moja laisu akakimbia ndumi mpaka leo lisu hajajibu hoja za steve nyerere. Lisu mna mu overrate tu hana analojua
 
Mbona steve nyerere anamtosha lisu. Alitoa statement moja laisu akakimbia ndumi mpaka leo lisu hajajibu hoja za steve nyerere. Lisu mna mu overrate tu hana analojua
Kuna kila dalili Steve Nyerere kakuzidi uwezo wa kufikiri. Hatari sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…