Wakorea wanne kwenye kikao cha Watanzania 20

Hapo naona wasanii tupu,wanajadiliana namna ya kutengeneza movie ya kikorea colabo wabongo.

Ila sasa wakorea movie zao mapanga ni mengi sana wabongo wataweza kutumia mapanga kweli.

Ova
Si ndio maana walichukuliwa, waende Korea kujifunza Mapanga. Wakirudi bongo watawafundisha Wasanii wenzao.
 
Lisu ana heshima gani zaodi ya ku overarte tu ten achadema tu. Sisi huku ground tunamuona hana akili na hana busara yoyote
Kwa kiwango cha elimu Steve Nyerere na Lissu nani yuko juu!??
Pia sijai ona Steve Nyerere akazungumza jambo la maana.
Mdogo wangu wa mwisho aliye form 3 ana uwezo wa kujenga hoja zenye mantiki kuliko STEVE NYERERE.
Muda mwingine mtu akikunyamazia si kwamba kakimbia kujibu hoja zako bali ameunyamazia upumbavu ulioutapika ili kulinda hadhi yake.
 
We kiwango cha elimi ya mtu unakipimaje? Kwa makaratasi ya darasani? Majukqaani? Au kuongea ongea na kujigamba gamba kama afanyavyo lisu
 
Watanzania sisi na wajuaji sana mfano ni huyo mtoa mada.
Naona unamtetea huyo mama mishavu.
Mleta mada kaongea kilichopaswa kuongeleka.
Mama yenu anatutia aibu kila uchwao.
 
We kiwango cha elimi ya mtu unakipimaje? Kwa makaratasi ya darasani? Majukqaani? Au kuongea ongea na kujigamba gamba kama afanyavyo lisu
Umeifuatilia vizuri mijadala ya Lissu toka akiwa mbunge kipindi cha Magufuli!??
Kama umeifuatilia basi mijadala yake inaakisi uwezo wake mkubwa wa elimu alokua nao.
 
Wakorea 4 wamekaa wamenuna kama vile wamelazimishwa kuhudhuria.
 
Sasa hapa sielewi IQ za watu wetu ni ndogo sana kiasi kwamba lazima wawe wengi wapambane na za Wakorea ambao inajulikana wana akili sana.
Isome vizuri hiyo picha mkuu 'Kinyungu", utapata mengi zaidi ya hayo unayozungumza hapa.

Waangalie Wakorea walivyo kaa na jinsi wanavyoutazama ule umati wa waTanzania. Hata mzungumzaji (Samia) hawampi uzito anazungumzia kitu gani.
Watazame vizuri, hata hao waTanzania, angalia huyo wa mwisho kabisa kwenye safu anafanya nini. Na hao wengine mawazo yao yapo kwingine kabisa!

Inaelekea mzungumzaji alikuwa hazungumzii jambo la maana sana mahala hapo.

Ukiangalia vizuri, hakuna hata mmoja aliyejiandaa kuandika chochote katika hafla hiyo.
 
Correction.
Raia 4 wa Korea ni sawa na Raia 20 wa Tanganyika jumlisha Raisi mmoja Mzanzibari.
 
Hapana.

Nimejitahidi sana kujizuia kuacha maneno kwenye bandiko lako hili, lakini nimeshindwa.
Sitatumia lugha nzito kwako, lakini elewa tu kuwa wewe hujengi, unabomoa. Maswala kama haya hayatusaidii kitu chochote Tanzania hii. Hatuwezi kuwa kama hao waKorea kesho, leo hii tukiwaondoa hao waTanzania wenye imani tofauti na yako.

Natumaini utanielewa vizuri mkuu 'Kijakazi'.
 

ukweli ni ukweli na ukweli wala siyo chuki, kuukimbia na kukataa ukweli hautatui tatizo isitoshe hakuna niliposema kwamba aondolewe yoyote popote pale bali nimesema ukweli kwamba uchumi unaoongoza Dunia ya leo chimbuko lake ni Christian (western) philosophy or civilization if will na yoyote anayetaka kuendelea leo hii ni lazima ajifunze ktk kwa Christian (western) Countries hakuna njia nyingine, sasa huo ni ukweli na siyo chuki.

hawa wakorea tunaowaomba omba wamejifunza huko walikuwa masikini kama sisi wakajifunza ktk kwa Christian Western Countries how to build a nation, hata Wajapani walijifunza pia ktk western countries leo hii ni global powers, China pia anakuja na anajifunza kutoka kwa Christian nations how to build nation na uchumi all these are facts na siyo chuki …
 
Kama huelewi Kiswahili ni tatizo lako siyo langu.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Kweli kabisa,wewe shule ulienda kusomea ujinga hakika.
Unawezaje kuona ufahari binadamu kupigiwa goti na binadamu mwenzake!!??
Utumwa wa kiakili.
Utumwa wa kidini.
Utumwa wa "uarabu".
 
Pia hizo jamii Zina akili siyo tu kufundishwa na hao wazungu. Naamini makampuni yao yanarithishwa na yalianza kabla ya hizo program ambazo nyingi ni post 1945. Check hii picha, hapo kuna math team ya USA ambayo imefanikiwa kuipita ile ya china for first time in 30 yrs. Ila Cha kushangaza hiyo team yote ni wachina hahaaaa....hapo ndo utaelewa kwa nini sisi kila siku tunazungumzia black wa kwanza ila hatuzungumzii mtu wa kwanza kufanya kitu fulani Cha manufaa kwa jamij zetu za weusi
 

Attachments

  • Screenshot_20240604-210534.jpg
    490.5 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…