Forest Hill
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 2,873
- 6,821
Hicho ndio kipaumbele?!Tutegemee movie kali sana
Ova
Samia: Inawezekana ng'ombe akachunga kundi la masai?Sa100: Nyie mnaakili sana,ndio maana Mna maendeleo makubwa
Mkorea: Hapana nyie Mna akili sana mmetuzidi Sana,
Sa100: masikhara,kivipi??
Mkorea; Sisi kati ya watu kumi,Smart Mmoja,wengine Tisa wote vilaza,
Sa100;Enhee na sisi je??
Mkorea; Nyie kati ya Kila watu kumi, Smart Tisa,kilaza Mmoja..
Sa100;Enhe Sasa Tatizo Nini??
Mkorea;Sisi huyo Mmoja Smart ndio anaongoza hao Tisa wengine,ila nyinyi Huyo Mjinga mmoja ndio anachaguliwa kuongoza hao Tisa Smart,huoni??I mean look at you ma'am,and CV za watu uliokuja nao...
Umeandika kiutani ila kuna ukweli ndani yake. Kuna mtu nilimwambia hata Ulaya wajinga ni wengi kuliko wenye akili.Sa100: Nyie mnaakili sana,ndio maana Mna maendeleo makubwa
Mkorea: Hapana nyie Mna akili sana mmetuzidi Sana...
Wananchi ng'ombe au maasai??Samia: Inawezekana ng'ombe akachunga kundi la masai?
Mkorea: ????
Samia: Ng'ombe ni ng'ombe tu.
Kweli kabisa,huku watunga Sera,watunga Sheria,wapitisha mikataba,Kigezo Cha Elimu kujua kusoma na kuandika tu...Umeandika kiutani ila kuna ukweli ndani yake. Kuna mtu nilimwambia hata Ulaya wajinga ni wengi kuliko wenye akili. Tofauti ni moja wenye akili wachache huko Ulaya wanafanya kazi kubwa kuendeleza nchi yao na watu wao,ila huku kwetu hao wachache waliopewa nafasi ndio vinara wakuibia nchi yao na kudidimiza wanachi yao.
Acha uongo mbusi wewe.
KOREA KUSINI SENSA YA MWISHO KUFANYIKA IMETOA MAJIBU KUWA KUNA WAISLAM TAKRIBAN LAKI TATU.
NA KATIKA HAO LAKI TATU LAKI MOJA NZIMA NI WAZAWA YANI WAISLAM ASILI YA KIKOREA.
NA MISIKITI IPO PIA.
Na wapo kwao, yaani ingekuwa ndio wamekuja hapa NAIROBI angekuja mmoja tu.Kwenye huu mkutano uliofanyika Korea kuna Wakorea 4 tu kwenye chumba cha Mkutano. Lakini idadi ya Watanzania ambao ni wageni wako karibu 30...
Kwa mtazamo wako muslims hawana IQ ya kuleta maendeleo!?Christians ni >27% of the population, waislamu laki kwenye population ya > milioni 50 ni sawa na asilimia 0.% , karibia 30% ya Wakorea ni Christians (western) ndio maana kuna high IQ ambayo inahitajika kuleta maendeleo …
Hoja yako hapa ni nini mtanzania mwenzetu?!!!average iq ya Korea (kusini) > 90 vs tanzagiza ~70 isitoshe Korea hakuna uislamu yaani ni O waislamu ukiondoa baadhi ya wanafunzi ktk nchi za kiislamu lkn kuna Christians wengi tu, Korean Christian Church ni moja kati ya Makanisa makubwa Duniani …
Kanisani Korea (Kusini)
View attachment 3008047
Wanaochungwa huwa ni ng'ombe au masai? Akili kubwa haiwezi kubali kuongozwa na akili ndogo muda mrefu, itatafutwa namna tu mwenye akili ataongoza. Miaka zaidi ya 30 unaongozwa na wasio na akili utakuaje na akili? Baadhi ya watanganyika tunajua kujifanya tuna akili na viongozi ndo wajinga.Wananchi ng'ombe au maasai??
Hoja yake iko wazi,yakwamba waislam hawana IQ ya kuleta maendeleo.Hoja yako hapa ni nini mtanzania mwenzetu?!!!
Nilishaandika kuhusu hilo, in case hukuonaMmeona sasa. Vijana msipende kudandia picha na kuzipa maneno. Mama alibeba wasanii (kama anavyobeba wafanyabiashara) ili wakajifunze kwa wenzao. Sanaa ni moja ya vyanzo vya ajira kwa vijana...
Oh, kumbe. Na vp kuhusu kule kufirwa kwenu kama mlivyoruhusiwa na papa hakuchangii maendeleo yenu?!!! Haiwezekani mabasha wenu kuja na kuchangia mitani?!!!Hoja yake iko wazi,yakwamba waislam hawana IQ ya kuleta maendeleo.
Na Korea kusini imeendelea kwasababu ina waislam wachache.
Kwa mtazamo wako muslims hawana IQ ya kuleta maendeleo!?