Wakorea wanne kwenye kikao cha Watanzania 20

Mbona unahama mzee?
Unataka kusema Constantinople ilikua imeendelea vile kabla Turkiye hawajaichukua!?
Sisi tunazungumzia maendeleo yaliyoletwa na watu hatuzungumzii historia ya eneo.
Pia unaonekana mambo mengi hujui,nilikua nasubiri uropoke.
Malaysia na Indonesia ni INDO-CHINESE descendants.
Na hizo nchi zimeendelea zipo katika category ya Upper middle income country.
Zinaonesha revolution katika viwanda na katika SMR hapa ulimwenguni.
China hajazishikilia hizo nchi BALI AMEUNGA NAZO MUUNGANIKO WA KIBIASHARA AMBAO HATA TANZANIA MLIUUNDA KIPINDI CHA NYERERE.
Hivyo ushirikiano wa MALAYSIA/INDONESIA NA CHINA NI SAWA NA USHIRIKIANO WA TANZANIA NA CHINA.

Turkiye ni taifa la Turkish descendants ambalo sasa hivi ethnically linaunganishwa na Persians.
Kusema suala la Instanbul ilitoka kuwa Constantinople ni hoja DHAIFU.
Maana ukitizama kuanzia Antalya,Anatolia,Karabayir,Ankara zote zilikua ndani ya Himaya ya Persia(IRAN),kabla ya Waturuki hawajaja na kuyatwaa maeneo kutoka Central Asia.
Ila hii Uturuki ina maendeleo mengi sana ya kushindana na Korea Kusini.
Pia hata kihistoria vifaa tiba unavyotibiwa navyo hospitali robo yake vimevumbuliwa na waturuki/wahajemi.

Tutoke huko twende BRUNEI DARUSALAAM,QATAR,UAE,BAHRAIN,KUWAIT,SAUDI ARABIA.
Haya mataifa yameendelea sana na takriban 80% waislam,je hili unalizungumziaje!???
 
Hapo naona wasanii tupu,wanajadiliana namna ya kutengeneza movie ya kikorea colabo wabongo.

Ila sasa wakorea movie zao mapanga ni mengi sana wabongo wataweza kutumia mapanga kweli.

Ova
wabongo wamelegea viuno wataweza kweli 🤣
 

Turkey per capital income 12,765 usd vs South Korea 34,165 usd, per capital income ya Korea ni karibia mara 3 ya kipato cha uturuki ( chanzo wiki) …
 
Turkey per capital income 12,765 usd vs South Korea 34,165 usd, per capital income ya Korea ni karibia mara 3 ya kipato cha uturuki ( chanzo wiki) …
Aspect za uchumi unapima kwa per capita income peke yake!?
 
Turkey per capital income 12,765 usd vs South Korea 34,165 usd, per capital income ya Korea ni karibia mara 3 ya kipato cha uturuki ( chanzo wiki) …
Inshort Korea ni taifa la 14 duniani kwa uchumi mkubwa na Turkiye ni taifa la 17 kiuchumi duniani.
Kuna gap ya nafasi tatu,hapo unalizungumziaje?
Je waislam hawana IQ ya kuleta maendeleo!?
Pia hujanijibu kwa mataifa kama Qatar,Kuwait,Brunei ambayo yanaingia katika list of RICHEST nations na Korea haiingii katika top list.
Hapo je unazungumziaje??
 
kipimo kipi kingine ukijuacho cha kupimia labda?
Kuna GDP,GNP,GNI,Purchashing power parity.
Japo hilo lishaisha Korea ni taifa la 14 kiuchumi na Uturuki la 17.
Twende katika suali nililouliza kule chini.
 
Hiyo mbona ipo hata huku. Kwani Tundu Lissu mmoja ni sawa na kina Babu Tale million ngapi?
Unalinganisha katika nini maana hakuna binaadamu mwenye kujua na bora kwenye kila kitu.
 

uturuki ina watu zaidi ya milioni 85 vs Korea Kusini milioni 52, hivyo uturuki ina watu milioni 30 zaidi ya Korea Kusini lkn bado imeachwa mbali sana na Korea Kusini kiuchumi, Korea Kusini ina uchumi mkubwa klk uturuki ingawaje ina 30 milioni less people …
 
80% ya walio hapo ukimchukua mmojammoja aeleze mkataba waliosaini ni ya aina gani, wallah nakuhakikishia hawajui lolote na wataongea vitu vya ajabu kabisa!
80% wamefika umri wa Kibiblia, miaka 70 na hawana cha kupoteza.
Mikataba mtalipa ninyi na wajukuu zenu.
 
Ukute ktk hao wakorea hapo mmoja ni bodaboda, wa pili karibu wa mbunge, producer wa movie na chawa wake.
 
Afrika ndio tume relax na kupongezana kiasi kwamba utasema ndio bara liloendelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…