Wakorea wanne kwenye kikao cha Watanzania 20

Hapo watu wameenda kuuza sura tu, na kupata per diem, sasa mpo ishirini, wenzenu wanne,mnafanyaje mazungumzo?
Yaani mkorea mmoja, mnamchsngia watu wanne? Doesn't work that way,
Kwanza wametudharau wanatuona kenge kabisa,
Kawaida kwenye majadiliano kama haya, idadi inakuwa, MTU kwa MTU, na mnakaa mkabala na ur counterpart!
Rais anakaa opposite rais mwenzie, wazir wa bisshara na mwenzie, wa Mambo ya nje, vilevile,
Sasa, Elizabeth Michael(convicted felony), alikuwa anaongea na nani?
Monalisa aliwekwa, na nani?
Bora angeenda Mond,akakutqna na produza wengine, may be!
 

persia is dirt poor leo uthibitisho gani mwingine unataka? plus nitajie one global company turkish or persish iranian whatever leo hii ambayo hata wewe u gependelea kufanya kazi nitajie moja tu …
 
Wakorea wanne wameweza kuwa konvinsi watanzania 29 kwenye uwekezaji kwenye madini ya kimkakati.
Hebu imagine wangekuja wakorea kumi si tungeuza wakinga wote wa Kariakoo wakakae Korea wawafundishe wakorea utajiri wa kishirikina umavyopatikana.
 
Monalisa amepangwa na waziri wa nishati ambaye ametoka kidogo kwenda kupokea simu.
 
Kuna siku Kikwete aliongea kwa uchungu Sana akiwa waziri wa fedha. Alisema unakuja ujumbe say wa world bank, wewe waziri mzima na degree yako Ina miaka 20 unakwenda kuelekezwa jinsi ya kuendesha wizara ya fedha na fresh graduate ambaye hajawahi kuishi Tanzania.
 
wabongo wamelegea viuno wataweza kweli 🀣
Maana wakorea wanaruka
Nmekubali mkuu

Ova
 
Tena wawili ni wabeba mikoba na mmoja bwana mitambo

Yaani wote hao wanataka mgao hawaaminiani
Tumepigwa Tobaaa
 
persia is dirt poor leo uthibitisho gani mwingine unataka? plus nitajie one global company turkish or persish iranian whatever leo hii ambayo hata wewe u gependelea kufanya kazi nitajie moja tu …
Persia dirty poor in how!?
Umefuatilia Iran iko nafasi ya ngapi kiuchumi duniani?
Tena ikiwa imewekewa vikwazo zaidi ya 40+ years!?
Uturuki kuna fursa nyingi za ajira na watu kibao hukimbilia kule.
Kuwa na exposure,hata hapa Tanzania wamewekeza na kunufaisha watu.
Kafuatilie uhusiano wa Turkiye na Tanzania una tija gani??
Nikutolee mfano wa China.
China more than 70% ni mabudha wale jamaa,hata ukristo hawaupendi.
China tokea kipindi cha Qing Dynasty inajenga GREAT WALL OF CHINA ukristo haukuingia China bado,China kipindi inaunda silaha na kipindi inanda vilipuzi kupitia gunpowder bado ukristo haujaingia China.
Sasa hizo falsafa za maendeleo za kikristo ni zipi!!??
 
Hii picha mbona imekaa "kibongo bongo" zaidi ndugu Kinyungu !!??
Huyo mmama/mdada aliyesimama mlangoni inaonyesha kama yeye ndiye mwenyeji!!??
 
Hao watakuwa ni diaspora sababu wengi ni vibinti vimenyoa kihunihuni tu.halafu mbona meza upande wa wakorea zote zina vinywaji wkt hamna watu hapo.kipotokali imekaaje?
Wasanii wa bongo movie.
Siyo utani ni uhalisia.
 
Ongezea na tabora lindi na mtwara
Umasikini wa mikoa ya Tanzania yako ni UPUUZI na UFALA wa serikali yako.
Katavi,Rukwa,Ruvuma nako ni mikoa masikini na wengi wakristu,je hilo unalizungumziaje!?
Tanzania waislamu ndio matajiri huko kariakoo maduka makubwa na biashara kubwa nyingi ni za waislam hilo unalizungumziaje!??
Una akili finyu sana.
WaTanzania jilaumuni wenyewe msilaumu dini maana wapumbavu na mmezaliwa na upumbavu.
 
Mungu akubariki sana ndugu Kosugi .
 

nimekuuliza unitajie one global company turkish au iranian, moja tu isitoshe unaongelea sanctions? Japan ilipigwa atomic bomb, nchi pekee iloyowahi kuwa nuked, watu zaidi ya laki 2 waliuliwa lkn walisimama leo hii ni rich country …
 
Hapo wanawaambia "jini asivae jezi kwenye muvi" kwa kikorea
 
Na hapo wengine walizuiliwa nje sababu nafasi imekaa walikuwa wawe arobaini. Ila huyo bonge anayechat na simu ameniboa Sana. Kikao na Rais unachat na simu Kama ni kikao Cha kitchen party. Apunguze dharau.
 
Ninecheka, nimepandwa na hasira na kububujika machozi.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kumbe kuwa na vijiduka kaliakoo ni UtajiriπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Ni ngumu sana kuutenga uisilamu na ujinga,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…