Wakristo 70 wamekutwa wamekatwa vichwa kanisani DRC

Naona islamophobe wa JF mnapapatia pa kukimbilia. Isis has nothing to do with Islam, kuna Mamia ya articles na ushahidi kuonesha wapo Funded na Usa na Israel, kama unataka kuwalaumu walaumu hao wanaowapa silaha na hela badala ya kutoa chuki zenu kwa Dini.
Acheni kusingizia USA & ISRAEL imani yenu ni utata tu
 
Wakristo 70 wamepatikana wakiwa wamekatwa vichwa katika kanisa moja katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), katika shambulio la hivi punde dhidi ya waumini kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.

Kulingana na vyanzo vya habari, mnamo saa nne asubuhi Alhamisi iliyopita (13 Februari) washukiwa wa wanamgambo kutoka Allied Democratic Forces (ADF) - kikundi chenye uhusiano na kile kinachoitwa Islamic State (IS) - walikaribia nyumba za Mayba katika eneo la Lubero, wakisema: "Ondoka, toka nje na usipige kelele yoyote." Wanaume na wanawake ishirini wa Kikristo walitoka nje na kukamatwa.

Wakitikiswa na tukio hili, watu kutoka jamii ya eneo la Mayba baadaye walikusanyika ili kupanga jinsi ya kuwaachilia wale waliokuwa wamefungwa. Hata hivyo, wanamgambo wa ADF walikizingira kijiji hicho na kuwakamata waumini wengine 50.

Wote 70 waliotekwa nyara walipelekwa katika kanisa la Kiprotestanti huko Kasanga ambako waliuawa kwa kusikitisha.
Source and more: 70 Christians found beheaded in church in DRC
Kongo sii vikundi vya waasi wa kisiasa tuu. Ile nchi ni failed state mapori yake yanatumika na vikundi mbalimbali vya kigaidi kama alshababu na huwapandikiza vijana hao kwenye vikundi vya kijeshi kama M23 ili wazoee vita baada ya hapo wanatumwa kwenye mission mbalimbali za kigaidi sehemu yoyote duniani
 
Naona islamophobe wa JF mnapapatia pa kukimbilia. Isis has nothing to do with Islam, kuna Mamia ya articles na ushahidi kuonesha wapo Funded na Usa na Israel, kama unataka kuwalaumu walaumu hao wanaowapa silaha na hela badala ya kutoa chuki zenu kwa Dini.
Mbona jamaa hajataja dini yoyote ila wewe umejishtukia mzee
Au ndiyo michezo ya dini yenu
 
Kwahiyo US inafadhiri vikundi vya kuua Wakristo na kuchoma Makanisa na kuwaamuru watamke Allah Akbar wakati wanafanya hivyo vitendo ?
Pamoja na kuzilipua balozi zao.

ushahidi upo wa kutosha sana kuwa hivyo ni vikundi vinatoka katika jamii za Waislamu na mfadhiri wao mkubwa akiwa Iran.

Hata Magaidi wa MKIRU walijificha katika jamii za Kiislamu.
Kule Tanga pia walijificha huko huko Uislamuni.
Ukweli unajulikana wazi kuwa hivyo ni vikundi vya Kiislamu vyenye msimamo mkali wa Dini.
Maadui zao wakubwa ndio hao wanaowachinja na kumtukuza Allah wao.
 
Shida sana wale jamaa wa Syria waliitwa magaidi ila toka wamechukua nchi wazungu wanamiminika tu Syria, na hata ile bei ya kichwa cha kiongozi wa Syria kule uzunguni wameifuta
 
Kwahiyo US inafadhiri vikundi vya kuua Wakristo na kuchoma Makanisa na kuwaamuru watamke Allah Akbar wakati wanafanya hivyo vitendo ?
Pamoja na kuzilipua balozi zao.

ushahidi upo wa kutosha sana kuwa hivyo ni vikundi vinatoka katika jamii za Waislamu na mfadhiri wao mkubwa akiwa Iran.

Hata Magaidi wa MKIRU walijificha katika jamii za Kiislamu.
Kule Tanga pia walijificha huko huko Uislamuni.
Ukweli unajulikana wazi kuwa hivyo ni vikundi vya Kiislamu vyenye msimamo mkali wa Dini.
Maadui zao wakubwa ndio hao wanaowachinja na kumtukuza Allah wao.
Kama inarudisha faida ina shida gani? hakuna cha ajabu hapo
 
Wakristo 70 wamepatikana wakiwa wamekatwa vichwa katika kanisa moja katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), katika shambulio la hivi punde dhidi ya waumini kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.

Kulingana na vyanzo vya habari, mnamo saa nne asubuhi Alhamisi iliyopita (13 Februari) washukiwa wa wanamgambo kutoka Allied Democratic Forces (ADF) - kikundi chenye uhusiano na kile kinachoitwa Islamic State (IS) - walikaribia nyumba za Mayba katika eneo la Lubero, wakisema: "Ondoka, toka nje na usipige kelele yoyote." Wanaume na wanawake ishirini wa Kikristo walitoka nje na kukamatwa.

Wakitikiswa na tukio hili, watu kutoka jamii ya eneo la Mayba baadaye walikusanyika ili kupanga jinsi ya kuwaachilia wale waliokuwa wamefungwa. Hata hivyo, wanamgambo wa ADF walikizingira kijiji hicho na kuwakamata waumini wengine 50.

Wote 70 waliotekwa nyara walipelekwa katika kanisa la Kiprotestanti huko Kasanga ambako waliuawa kwa kusikitisha.
Source and more: 70 Christians found beheaded in church in DRC

Kobazi yenu hiyo
 
Kwa sasa adui mkubwa wa usalama wa mwanadamu ni uislam shetani. Huu una misimamo dhahiri ya kishetani. Shetani anataka kuoangamiza Dunia kupitia uisllam shetani.

Watu wa namna hii, fikiria wapate mabomu ya nuklia, si wanaweza kuamua kuangamiza hata Ulimwengu mzima!

Haya yanayotokea kwa wenzetu, tusidhani ni maalum kwaajili yao tu. Hata kwetu tusipokuwa makini yanaweza kuja kutokea.

Wenzetu wanahangaika kuumaliza ugaidi na viashiria vyake, sisi tunagawa rasilimali zetu zote na kuwakaribisha maelfu waasisi wa ugaidi!! Hili ni kosa kubwa linaloweza kutuletea matatizo siku za mbeleni. Japo, miongoni mwao wapo watu wema, lakini utawatambuaje hawa mashetani wakiwa wamejichanganya na watu wema?

Ni aheri kuwa maskini lakini uwe na uhakika wa amani. Ni vema Waafrika wakautafsiri uislam katika dhana ya mchangamano wa imani tofauti kuliko kulishwa ushetani wa kiarabu kupitia uislam. Waislam wa Afrika wanaweza kuujenga uislam kama imani, kwake yeye anayeiamini imani hiyo, bila ya kutumika kuwaangamiza watu wengine.

Hakika shetani ameamua kufanya uharibifu wa kumwangamiza mwanadamu kupitia mafundisho hadaa ndani ya uislam. Fikiria kuwamtu anafunrishwa kuwa atafika ahera kwa kuua binadamu wengine!!

Mungu wa kweli, Mungu wa haki, Mungu wa upendo, muweza wa yote, tunaomba unyoshe mkono kumwangamiza shetani katika umbile lake lolote lile.
 
Ivi DRC napo kuna wanamgambo wa Islamic State kama Boko haram wa Nigeria 🇳🇬?
Huwa Najiuliza hawa waasi wanawashida vipi wanajeshi wa UN??
UN ni kikundi cha wahuni. Kumbuka UN ndo ilibariki mauaji ya Patrice Lumumba. Hata Rwanda Genocide ilikuwa na baraka za UN.
 
Una uhakika gani ni waislamu ?🤣 Uislamu sio kusema Allah akbar ...Yaani watu hawaendi Hija ,hawaswali salah 5 ,hawafanyi mema kazi yao ni kuua watu useme ni waislamu ....Hakuna kitu kam hicho Qur an ilishakataa kuuwa watu.
Mbona mtu akibadili dini kwenda ukristo mnamuuwa?
Achen uhuni
Dini imejaa fujo sana check middle east ni shidaa tupuuu Somali Sudan
 
Kwa sasa adui mkubwa wa usalama wa mwanadamu ni uislam shetani. Huu una misimamo dhahiri ya kishetani. Shetani anataka kuoangamiza Dunia kupitia uisllam shetani.

Watu wa namna hii, fikiria wapate mabomu ya nuklia, si wanaweza kuamua kuangamiza hata Ulimwengu mzima!

Haya yanayotokea kwa wenzetu, tusidhani ni maalum kwaajili yao tu. Hata kwetu tusipokuwa makini yanaweza kuja kutokea.

Wenzetu wanahangaika kuumaliza ugaidi na viashiria vyake, sisi tunagawa rasilimali zetu zote na kuwakaribisha maelfu waasisi wa ugaidi!! Hili ni kosa kubwa linaloweza kutuletea matatizo siku za mbeleni. Japo, miongoni mwao wapo watu wema, lakini utawatambuaje hawa mashetani wakiwa wamejichanganya na watu wema?

Ni aheri kuwa maskini lakini uwe na uhakika wa amani. Ni vema Waafrika wakautafsiri uislam katika dhana ya mchangamano wa imani tofauti kuliko kulishwa ushetani wa kiarabu kupitia uislam. Waislam wa Afrika wanaweza kuujenga uislam kama imani, kwake yeye anayeiamini imani hiyo, bila ya kutumika kuwaangamiza watu wengine.

Hakika shetani ameamua kufanya uharibifu wa kumwangamiza mwanadamu kupitia mafundisho hadaa ndani ya uislam. Fikiria kuwamtu anafunrishwa kuwa atafika ahera kwa kuua binadamu wengine!!

Mungu wa kweli, Mungu wa haki, Mungu wa upendo, muweza wa yote, tunaomba unyoshe mkono kumwangamiza shetani katika umbile lake lolote lile.
Wewe huwajui wazungu , Trump kanyimwa madini Ukraine sasa hivi ana muita Zelensky dikteta , wazungu ni maslahi tu kama inawalipa hakuna tatizo
 
Kwahiyo US inafadhiri vikundi vya kuua Wakristo na kuchoma Makanisa na kuwaamuru watamke Allah Akbar wakati wanafanya hivyo vitendo ?
Pamoja na kuzilipua balozi zao.

ushahidi upo wa kutosha sana kuwa hivyo ni vikundi vinatoka katika jamii za Waislamu na mfadhiri wao mkubwa akiwa Iran.

Hata Magaidi wa MKIRU walijificha katika jamii za Kiislamu.
Kule Tanga pia walijificha huko huko Uislamuni.
Ukweli unajulikana wazi kuwa hivyo ni vikundi vya Kiislamu vyenye msimamo mkali wa Dini.
Maadui zao wakubwa ndio hao wanaowachinja na kumtukuza Allah wao.
USA sio nchi ya kikristo wala hawafuati bible 😛 , USA ni nchi inayoendeshwa na deep state yenye waisrael 90% ...Short ana clear israel bora muislamu kuliko mkristo ...Ukae ukijiuliza hivyo vikundi lin vilipigana na israel .

Huko mkiru na Tanga una hakika walikuwa waislamu , ikitokea muislamu akiwa anafanya mambo yake ya uhalifu kuna haja gani ya kuhusisha na dini ? Hata waganga ukienda wnaamtaja Mungu wengine wanatumia mpaka vitabu vya MUngu ila watabaki kuwa washirikina ... Mashekhe wangapi wanayakemea hayo makundi baadhi ya nchi yamepigwa marufuku .

Waislamu wanafanya dhambi kama wengine ndio maana kuna sheria na hukumu ,wakiuliwa mnasema haki za binadamu

View: https://youtu.be/cOYJvGsdKQ8?si=qFEa6_5_vnc_Q98g
 
Fikiria haya kwanza: pesa wanatoa wapi ? Je,wao ni asilimia ngapi ya waislamu wote duniani ,ISIS na makundi mengine wameua sana waislamu kuliko jamii nyingine kama hujui...Onesha wapi mtume aliamrisha kutumia bunduki .🤣🤣
Aliamrisha mtumie jambia
Enzi hizo
Sasa hivi technology imekuwa mnatumia bunduki
Hayo ni maelekezo ya kitabu chenu
 
Ilikuwa ni wakati wa vita ambapo waliwekeana treaty ya nakubaliano ,some mwanzo mwisho yaani ile kushambuliwa na wao wanashambulia...Soma Qur an nzima yaani surah nzima sio nusu nusu .

Kwa hiyo ukute tu watu uanze kuwakamata 🤣🤣
Utasemaje kuhusu mauaji yale yaliyofanywa kwenye supermarket na chuo kikuu hapo nchini Kenya, ambapo watu walikuwa wanaulizwa dini zao na maswali kutoka kwenye mafundisho ya dini ya kiislam, ukishindwa kujibu unauawa?
Wewe ushukuru hujalishwa hayo mafundisho ya uislam shetani.
Jiulize, uliwahi kusikia mahali popote Duniani alitokea gaidi mwenye imani au hata jina tu la kikristo au budha au hindu akawa anawachagua watu wa dini fulani tu na kuwaua? Wapo waovu katika dini zao, lakini uovu wao hawaufungamanishi na dini zao, na ndiyo maana hata uovu wao hautalenga watu wa imani fulani.

Sina chuki na wala siwezi kuwa na chuki na uislam, lakini ni ukweli ulio dhahiri kuwa kuna baadhi ya mafundisho ndani ya uislam yanayosababisha watu kuwa mashetani katika mazingira yetu.
 
Kama inarudisha faida ina shida gani? hakuna cha ajabu hapo
Nenda youtube kasome na kutazama video inayosema "Interview with Alshababu"
itakuonesha maisha wanayoishi Alshababu katika kata waliyoiteka na kuishi wao wakiwa viongozi wa hiyo kata.
wanaishi kwa kufuata Qurani inavyo sema. Sawasawa na wanavyoishi BokoHaram
halafu uje unipe jibu humu.
 
Mbona mtu akibadili dini kwenda ukristo mnamuuwa?
Achen uhuni
Dini imejaa fujo sana check middle east ni shidaa tupuuu Somali Sudan
Uliona wapi ? Au umeambiwa ? Ni kinyume cha Qur an

suratul Al-Baqara b256. Hakuna kulazimisha katika Dini. Uwongofu umekwisha pambanuka na upotofu. Basi anaye mkataa Shet'ani na akamuamini Mwenyezi Mungu bila ya shaka amekamata kishikio madhubuti, kisicho vunjika. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusikia, Mwenye kujua.

Sisi kwetu wengine ni wakristo na wengine waislamu ila mila zetu sharti moja tu kwa babu yangu hataki mtu avae suruali au vimini kwa wanawake na wanaume ;kusuka , kuvaa hereni , kuvaa mlegezo , hata wale waislamu wapo wanaovaa wanaakatazwa .

Waarabu hawawezi kukubali hizo mila lazima wapige marufuku kutokana na uhasama wa kivita , wengi wameuliwa na hao wazungu miaka na miaka so kwao ukristo na tamaduni za kizungu hawataki hata wachina .

Walivyosababisha vita Afghanstan halafu uende kupelekea adui wao ukristo lazima uuliwe 😛 😛 waarabu kwenda ukristo ambao ndio chanzo cha maafa kutoka kwa westerns hawawezi kukubali huo ujinga bora hata uwe budha .
 
Wakristo 70 wamepatikana wakiwa wamekatwa vichwa katika kanisa moja katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), katika shambulio la hivi punde dhidi ya waumini kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.

Kulingana na vyanzo vya habari, mnamo saa nne asubuhi Alhamisi iliyopita (13 Februari) washukiwa wa wanamgambo kutoka Allied Democratic Forces (ADF) - kikundi chenye uhusiano na kile kinachoitwa Islamic State (IS) - walikaribia nyumba za Mayba katika eneo la Lubero, wakisema: "Ondoka, toka nje na usipige kelele yoyote." Wanaume na wanawake ishirini wa Kikristo walitoka nje na kukamatwa.

Wakitikiswa na tukio hili, watu kutoka jamii ya eneo la Mayba baadaye walikusanyika ili kupanga jinsi ya kuwaachilia wale waliokuwa wamefungwa. Hata hivyo, wanamgambo wa ADF walikizingira kijiji hicho na kuwakamata waumini wengine 50.

Wote 70 waliotekwa nyara walipelekwa katika kanisa la Kiprotestanti huko Kasanga ambako waliuawa kwa kusikitisha.
Source and more: 70 Christians found beheaded in church in DRC
🥺🥺
 
Back
Top Bottom