Wakristo (baadhi) acheni Ulalamishi kuhusiana na Jersey za Yanga

Siku ile wanalipokea kombe si lilipokelewa kwa dua za mashehe wa kiislam?
 
...Kichwa habari umesema ' Wakristo walalamikia...wakati Aya kwanza ya bandiko lako Umeanza na ' Baadhi ya Wakristo.. '
Usichanganye Mambo. Baadhi ya Wakristo hauwezi ikawa Dini Nzima....!!
 
Japo mimi ni yanga lakini hiyo jearse imejaa makolokolo sasa msimu uliopita tuliwacheka simba sasa na sisi tumerudia kujaza makolokolo nguo

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Huo ni uzushi. Nje ya mada. Jezi ni za hovyo sana. Alitakiwa kushindanisha wabunifu na kuchagua iliyo bora. Inaonekana wamempa tu sheria hiyo tenda. Kwanza tenda ilitangazwa lini?
 
Mbona Hao wakristo wako Wana mambo ya waislam??kulalama Lalama Tu.
 
Toka zamani enzi za kina Mangara viongozi wa hivi vilabu walikuwa waisilamu na dua ndani ya vilabu ziliendeshwa kiisilamu ikiwa pamoja na majini kushirikishwa.
 
Wewe ni miongoni mwa wajinga, ukijielimisha kidogo utakaa sawa.

Wakristo wanapambana usiku na mchana kuurithi Ufalme wa Mbingu.

Leo tumekesha kwa Kiongozi Mwamposa kuusaka huo ufalme

We unahangaika na timu za mpira
Inaonekana hadi sasa hata hufahamu bado nani ni Wakristo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…