Kumbe na Wakristo mna haya mambo ya kulalamika kama wavaa kobazi 🤣Iyo haijafanyika bahati mbaya
Yanga na simba kwa muda mrefu zimekuwa religion oriented
Kuna nguvu kubwa ipo nyuma ya pazia inataka kubadilisha utamaduni wa nchi yetu
Hawa waarabu wa yanga wanatunza pesa za wanasiasa fulani wanaoiumiza nchi
Ungemjibu tu walioleta udini ni wale walioweka msikiti kwenye jezi za wananchi.Tuache mambo ya dini ili tushike mambo ya shetani??!
Hii ni sahii kabisa japo unaipoza kiaiba Yanga wamekosea sana tena sanaNmekuta baadhi ya Wakristo wanalalamika kuwa inaonekana jersey za Yanga ni kwa baadhi ya Waumini wa Dini nyingine.
Maana upo unaosemakena kuwa ni Msikitiki wa Idrissa. Ila hakuna jengo lolote la Kanisa. Na hapa wanataka kuzungumzia Udini. Kuwa Yanga basi ina waumini wote wa Kiislamu maana kama mpaka mnara wa Askari upo ,msikiti upo. Why iwe ngumu kuweka Kanisa?
Anyway....mimi nadhani ni kuepuka tu hizi imani kuingia kwenye clubs maana mwisho wake hautakuwa mzuri. Nashauri sana haya mambo wakae wayamalize viongozi. Hatutaki Migogoro isiyo na msingi.
Yanga ni my best team.Hii ni sahii kabisa japo unaipoza kiaiba Yanga wamekosea sana tena sana
Sio maajabu kabisa na inahitajika uwe Popoma wa kiwango cha GENTAMYCINE kuona maajabu mtu kucomment kwenye uzi wa kipumbavu uliyoanzishwa na mpumbavu ,mbona manabii na mitume wanawafuata watu na jamii yenye wapumbavu ili kuwaelimisha na kuwaongoza kwenye uelekeo sahihi nao ni wapumbavu ?Na mpumbavu ana comment upumbavu katika uzi huo huo. Maajabu hayaishi.
Ungemjibu tu walioleta udini ni wale walioweka msikiti kwenye jezi za wananchi.
kwani watu wasiojishughulisha na dini ndo wanajishughulisha na shetani? unafikiria kutumia nini🤯
Kwa wenye jicho la udini..na utakua Roma tuIyo haijafanyika bahati mbaya
Yanga na simba kwa muda mrefu zimekuwa religion oriented
Kuna nguvu kubwa ipo nyuma ya pazia inataka kubadilisha utamaduni wa nchi yetu
Hawa waarabu wa yanga wanatunza pesa za wanasiasa fulani wanaoiumiza nchi
Tangu enzi na enzi Yanga na Simba zimejijenga kwenye uislam. Angalia mkutano wa wanachama wa hizi timu uone jinsi kulivyo na vibaraghashia kwa wingi. Hata uchawi na dua zote zinazotumiwa na hizi timu asili yake ni uislam.too be honest, hizi timu mbili kubwa za kariakoo, waasisi wake ni watu wa pwani ambao ni waislamu.
sishangai kama yanga watakuwa wameweka alama ya dini ya kiislamu kwenye jezi yao.
Siyo vilabu Hadi TANUToka zamani enzi za kina Mangara viongozi wa hivi vilabu walikuwa waisilamu na dua ndani ya vilabu ziliendeshwa kiisilamu ikiwa pamoja na majini kushirikishwa.
unaweza ukawa una dini na ukafanya hayo mambo yasiyo mema na unaweza usiwe na dini ukafanya mema mengi tu, kumjua Mungu na kufanya mema hakusiani na dini, Mungu ana dini gani?Jambo lolote jema ni jambo la Kidini, ni jambo linalompendeza Mungu, ni jambo lenye misingi kutoka kwa Mungu, kinyume chake ni jambo la shetani.
Hakuna jambo lolote likawa jema lisitoke kwa Mungu na mambo hayo tunayapata kupitia dini.
Wewe unashindwa kujua jambo hilo??, unafikiri kwa kitumia nini??🤣
unaweza ukawa una dini na ukafanya hayo mambo yasiyo mema na unaweza usiwe na dini ukafanya mema mengi tu, kumjua Mungu na kufanya mema hakusiani na dini, Mungu ana dini gani?
Nmekuta baadhi ya Wakristo wanalalamika kuwa inaonekana jersey za Yanga ni kwa baadhi ya Waumini wa Dini nyingine.
Maana upo unaosemakena kuwa ni Msikitiki wa Idrissa. Ila hakuna jengo lolote la Kanisa. Na hapa wanataka kuzungumzia Udini. Kuwa Yanga basi ina waumini wote wa Kiislamu maana kama mpaka mnara wa Askari upo ,msikiti upo. Why iwe ngumu kuweka Kanisa?
Anyway....mimi nadhani ni kuepuka tu hizi imani kuingia kwenye clubs maana mwisho wake hautakuwa mzuri. Nashauri sana haya mambo wakae wayamalize viongozi. Hatutaki Migogoro isiyo na msingi.
hauitaji dini kufanya mambo mema, unaweza kumjua Mungu bila kuwa na dini that's just human nature mkuu.Usiue, usizini, usiibe, usiseme uongo nk, umejuaje kufanya mambo hayo ni kosa??,
Mungu hana dini bali watu ndio wanatakiwa wawe na dini.
Unazidi kuonesha upumbavu wako...mimi lengo langu uzidi ku comment kuonesha upumbavu wako....😂bwege mtozeni, mazafanta ...Sio maajabu kabisa na inahitajika uwe Popoma wa kiwango cha GENTAMYCINE kuona maajabu mtu kucomment kwenye uzi wa kipumbavu uliyoanzishwa na mpumbavu ,mbona manabii na mitume wanawafuata watu na jamii yenye wapumbavu ili kuwaelimisha na kuwaongoza kwenye uelekeo sahihi nao ni wapumbavu ?
hauitaji dini kufanya mambo mema, unaweza kumjua Mungu bila kuwa na dini that's just human nature mkuu.
Hata mahakama ya KADHI ni Jambo la kidini na linampendeza mungu na zile jihad pia ni Mambo ya kidini na yanampendeza mungu maana wanasemaga Allah akbaru. Hovyo Sana wewe.Jambo lolote jema ni jambo la Kidini, ni jambo linalompendeza Mungu, ni jambo lenye misingi kutoka kwa Mungu, kinyume chake ni jambo la shetani.
Hakuna jambo lolote likawa jema lisitoke kwa Mungu na mambo hayo tunayapata kupitia dini.
Wewe unashindwa kujua jambo hilo??, unafikiri kwa kitumia nini??🤣
Hata mahakama ya KADHI ni Jambo la kidini na linampendeza mungu na zile jihad pia ni Mambo ya kidini na yanampendeza mungu maana wanasemaga Allah akbaru. Hovyo Sana wewe.