Wakristo (baadhi) acheni Ulalamishi kuhusiana na Jersey za Yanga

Moja kati ya mada za kidwanzi kwa mwaka huu wa 2022.

Angalia tu hata mwanzo wake! "Nimekuta baadhi ya Wakristo wanalalamika.........."!!!!

Huwezi ukawa mtu mzima na akili zako timamu, ukaandika ujinga kama huu.
 
Moja kati ya mada za kidwanzi kwa mwaka huu wa 2022.

Angalia tu hata mwanzo wake! "Nimekuta baadhi ya Wakristo wanalalamika.........."!!!!

Huwezi ukawa mtu mzima na akili zako timamu, ukaandika ujinga kama huu.
Una kifafa cha mimba? Au kichaa cha mimba? Mbona povu limekutoka sana? Shida nini mamieee....? Anyway yataisha tu omba uzima.
 
Nimesoma, dini kubwa nne. Ukristo, Budha, uislam na juda. Najua slogan zao siongei Kwa kubahatisha. Kuna baadhi ya jumbe pia huwa zinaandikwa kwenye magari Kwa lugha mbali mbali pia huwa nazisoma na kuzielewa vema.
 
Nimesoma, dini kubwa nne. Ukristo, Budha, uislam na juda. Najua slogan zao siongei Kwa kubahatisha. Kuna baadhi ya jumbe pia huwa zinaandikwa kwenye magari Kwa lugha mbali mbali pia huwa nazisoma na kuzielewa vema.


Kweli Umesoma Uisilamu vyema??!!--- Uisilamu mafundisho yake kwanza yanapatikana katika Qur'an na pili yanapatikana katika sunna na Hadithi sahihi za mtume Muhammad (saw), haya kwa kuusoma uisilamu kupitia vyanzo hivyo unasemaje juu ya Uisilamu??!!
 
Kweli Umesoma Uisilamu vyema??!!--- Uisilamu mafundisho yake kwanza yanapatikana katika Qur'an na pili yanapatikana katika sunna na Hadithi sahihi za mtume Muhammad (saw), haya kwa kuusoma uisilamu kupitia vyanzo hivyo unasemaje juu ya Uisilamu??!!
Uislam ni uislam Kwa mitazamo ya waislamu. Ila uislam si uislam Kwa mitazamo ya wasio waislam. Kama ukielewa wewe ni mwerevu Sana.
 
Uislam ni uislam Kwa mitazamo ya waislamu. Ila uislam si uislam Kwa mitazamo ya wasio waislam. Kama ukielewa wewe ni mwerevu Sana.


Wewe unadai umezisoma dini kuu 4 za dunia ikiwemo Uisilamu, swali ni hili; kwa huo usomi wako umeuelewa vipi Uisilamu??!!

Hilo swali ninataka kujua kama kweli unauelewa vyema uisilamu kwani yawezekana umeusoma uisilamu kupitia waisilamu wasioujua uisilamu au umeusoma kupitia maadui wa Uisilamu ambao hawapendi kusikia kwamba Uisilamu ndio dini inayokuwa kwa kasi kubwa kuliko dini zote duniani.
 
see, unasema all morals comes from the single source God... ni kweli kabisa ila nakazia kwamba hauhitaji kuwa na dini to have morals, kama unafanya mambo mema ili uje kulipwa siku ya kihama na haufanyi mambo mabaya kwa kuogopa adhabu ya kaburi na kuchomwa moto basi hiyo ni hofu ndo maana unatii.Dini nyingi zimecreate fear.
 
Ka
Kama kukua Kwa kasi ndio kipimo ni sahihi kabisaaa. Maana hata ushoga unakua Kwa kasi, mmomonyoko wa maadili unakua Kwa kasi, ugaidi unakua Kwa kasi, ubadhilifu unakua Kwa kasi, kuvujisha mitihani kunakua Kwa kasi, makosa ya kijinai yanaongezeka pia. Na wenyewe uache tu.
 
Mmbunifu wa jezi ya Yanga ni mkristo, ingekuwa vzr umuulize yeye kwanini hakuweka kanisa, lakini ktk uchochezi wako huu nikukumbushe tu kuwa kanisa siyo jengo ni neno.
 
K
Iyo haijafanyika bahati mbaya
Yanga na simba kwa muda mrefu zimekuwa religion oriented

Kuna nguvu kubwa ipo nyuma ya pazia inataka kubadilisha utamaduni wa nchi yetu

Hawa waarabu wa yanga wanatunza pesa za wanasiasa fulani wanaoiumiza nchi
Klabu zote kubwa zinafadhiliwa na Waislamu bila ubaguzi Punguza mihemko isiyo ya lazima
 
Nadhani Kama Kuna viashiria vya ubaguzi hiyo jezi itasitishwa, kwani wapenzi wa timu hiyo ni zaidi ya jezi zinazotengenezwa kila mwaka!
 


Hivi huwa unasoma kinachoandikwa na kuelewa au unapita tu??!!

Nani kasema kwamba kukukua kwa kasi kwa uisilamu duniani ndio kipimo sahihi (cha ukweli wa Uisilamu)??!!---- mimi nimesema watu hasa wasiokuwa waisilamu WANACHUKIA WANAPOSIKIA KWAMBA UISILAMU NDIO DINI INAYOKUWA KWA KASI KULIKO DINI ZOTE. umeelewa??.

Kama unata tuweke mada ya ubora wa dini sema.
 
Waambie hao waingie kwenye huo msikiti uliopo kwenye hiyo jezi waswali rakaa mbili Kwanza, afu ndio tuendelee na mujaddala
 


Mimi sijasema mtu anahitaji dini ili ajue Morals ninachosema ni kwamba Morals zote hata zile zinazotekelezwa na wasiokuwa na dini zimetoka kwa Mungu kupitia dini, swali ni hili mwanadamu amejuaje kwamba zinaa, wizi, uongo, uuaji, ushoga , Rushwa nk, ni makosa??!!, ni kupitia dini na manabii ndio tumejua universally kwamba mambo hayo ni uovu na hata serikali zetu nyingi zimetunga sheria dhidi ya mambo hayo kwa neno zima ni kwamba sheria za kidunia (secular laws) zinao msingi kutoka katika religious morals.

Watu wa nabii Luti walikuwa mashoga na Luti (as) alitumwa na Mungu kuwakataza uchafu huo kama Luti asingalitumwa basi watu hao wangaliona ushoga ni jambo la kawaida na ingalikuwa ni utamaduni wao na hata sisi leo tusingaliweza kujua kwamba ushoga ni kitu kichafu.

Kuhusu kushika morals za dini kutokana na uoga ni hivi; Kulingana na Qur'an Mungu anatoa nasaha kwa watu katika njia mbili, ya kwanza ni njia kuonyesha afhabu na njia ya pili ni njia ya kuonyesha faraja, njia zote hizo zinaweza kumjenga mtu Morally, mfano wewe unapokuwa unamlea mwanao sio siku zote utampa faraja kuna wakati inabidi uwe mkali ili akuelewe.na aeleke, mfano unaweza kumpa faraja kwamba akifauku mtihani shuleni utamnunulia baiskeli hii ni kumfanya afanye bidii na masomo na kuna wakati mwingine anapokuwa haelekei faraja hapo haitafaa kitu hapo sasa unaingiza ukali kwamba asipofaulu mtihani utamcharaza viboko, hizo njia ni kwa ajili ya kumjenga na hivyohivyo sisi binadamu tumeiga hiyo staili ya Mungu katika mambo yetu mengi, kumbuka kwamba binadamu anashika mazingatio ya wema kwa njia ya hofu na faraja.
 
Ni Kama umefungiwa kwenye box la dini hivi, je huwezi kuwazq zaidi Kwa manufaa ya watanzania wote? Mimi Nina dini yangu ninayoiamini, lakini ninawaza Kwa ajili ya JMT. Na sipendi mtu apofanya Jambo Kwa maslahi ya watu wa dini yake tu. Ukiangalia Sana wenye dini sisi ndio tunaoliharibu taifa. Kuna wakati naona ni heri wote tungekuwa hatuna dini labda umoja wa kitaifa ungekuwa imara zaidi. Dini za kigeni wazungu, waarabu, wabudha na nyinginezo zinatugawa na kuharibu umoja wa taifa. KAMA ningekuwa na mamlaka ningeanzisha dini ya WATANZANIA KAMA ilivyo Kwa lugha ya Kiswahili. Uwe na amani ndugu nilitaka kukupa chalenji tu. Ubarikiwe Sana. Mimi na wewe ni marafiki Wala si vinginevyo
 
Wasomi mafisadi
Kwani huko kwenye mpira hakuna mafisadi? Si kila siku wanagombanaga huko! Unajua mwenzio akiwa na nacho hata kama ni halali utajua kaiba, kumbe sio alipiga umande wakati wengine wapo kwenye kubet[emoji23][emoji23][emoji23] aise mie simo humo hiyo jezi wenyewe chafu utazani mti wa mwarobaini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…