Ila Waislamu ndugu zetu Mkiambiwa dini yenu Ina kama kalaana hamkubali karibu nchi zenu zote zenye watu wenye itikadi yenu utakuta wanauana kama Kuku na hata hawajali sio Somalia,Syria, Afghanistan,Lebanon,Iran Iraq Yani nyie ni watu wa fujofujo tu hivi hata nyie wa Huku Tanzania hamuogopi viashiria vya Vurugu kwenye Nchi za Washirika wenzenu? Wa dini yenu Hivi ni mungu Gani huyo ambaye mnamwita Allah Ambaye kamwe hapendi Amani na Upendo kwa viumbe na Watoto wake? Ni nini hicho mnachokiamini kama tu nyie kwa Nyie hamuelewani Yani Waarabu kwa Waarabu wanaabaguana na Kuuana?
Sijasema ukristo uko Perfect Yani kama ni Ukristo nao una makandokando yake kibao lakini Unahubiri Upendo na Amani ndugu zanguni waislam lakini Kuna kitu cha kujifunza nyie kwa nyie haswa Waislamu wa Hapa kwetu
Naanza Kufunguka macho kwa nini hata Mungu alideal zaidi na Uzao wa YAKOBO badala ya ISHMAEL Yani alikua akiufatilia zaidi huo Uzao wa YAKOBO/YAKUB kuliko ISHMAEL pengine Kuna chembechembe za Ukaidi alishaziona kwa ISHMAEL akaamua kumweka Bench na Kudeal na Yakobo
Sio Waislam walioanzisha vita kuu mbili za dunia, hizo nchi zote za kiislam ulizozitaja ukizijumlisha idadi ya watu waliouawa katika hizo vita zao hazifikii idadi ya waliokufa kutokana na vita kuu za dunia ambazo hazikuanzishwa na Waislam.
Sio Waislam waliochinja mayahudi milioni 6 wala sio Waislam waliotumia mabomu ya nyuklia (zote hizo ni vita kuu ya pili ya dunia), mabomu ya nyuklia yametumika mara mbili tu na waliotumia sio Waislam.
Sio dola za Waislam zilizoua mamilioni huko Korea na Vietnam.
Sio Waislam wanaoongoza na kuanzisha magenge ya kuuza madawa ya kulevya huko Latin America (drug cartels na narco-terrorism) magenge ya uhalifu na ya madawa ya kulevya ya Latin America yanafanya ukatili na unyama ISIS/Daesh hawaoni ndani.
Sio nchi za Kiislam zinaongoza kwa gun violence. Wala rape.
Hata baadhi ya nchi ulizotaja kama Afghanistan na Iraq unaelewa zilichafuka kwa sababu gani.
Wanaoichochea Congo izidi kuwaka moto nadhani unawajua.
Sio Waislam walioanzisha genocide Cambodia wala Rwanda.
King Leopold wa pili ambaye utawala wake uliua mamilioni Congo, hakuwa Muislam.
Sio Waislam walioua nakufanya genocide dhidi ya native Americans.
Nadhani unajua kuwa mpaka karne ya 20, nchi za Ulaya zilikuwa zinapigana vita zisizo na kichwa wala miguu. Kama Hundred Years' War, The Thirty Years' War, The Seven Years' War na kadhalika
Stalin, Mao Ze Dong, Polpot, Lenin, Trotsky hawakuwa waislam (walikuwa atheists). Kusanya watu wote unaodhani waliuawa na Waislam hawafikii idadi ya waliouawa chini ya hao.
Nadhani unajua ni nani aliwafuata Waislam Palestina, sio Waislam ni mayahudi wazungu kutoka Ulaya ambao sio Waislam, ambao ironically walikimbilia Mashariki ya Kati kukimbia mateso ya "ndugu" zao ambao pia sio Waislam. Na sasa unaona wanachowafanyia ndugu zetu huko Palestine (Allah awanusuru ndugu zetu wanaoteseka Palestina na kwengine kote Duniani).
Ukristo unahubiri upendo wa Crusades? Genocide dhidi ya wenyeji Marekani? Kuwaua wenyeji Canada, Australia na New Zealand na kuwapokonya ardhi zao?
Sio Waislam walioanzisha Apartheid Regime Afrika Kusini.
Struggles dhidi ya Ukoloni zilizomwaga damu huko Zimbabwe, Angola, Namibia, Msumbiji na Afrika Kusini hazikuwa struggle za kupambana na Waislam. Zilikuwa za kupambana na dhulma za wasio Waislam.
Ooh! Nilitaka kuisahau Ukraine!
Na kadhalika na kadhalika.
Halafu Ya'aqub na Ismaa'eel (Amani iwe juu yao wote) ni manabii wa Allah wote kutoka kizazi cha Nabii Ibraahiim (Amani iwe juu yake), hawakuwa na uadui wala chuki baina yao, walikuwa wanamuabudu Allah peke yake bila ya kumshirikisha na chochote, Walikuwa Waislam.