Umeongea vizuri sanaLabda kuna watu wanaiona hii Vita ni ya Kidini na wakaamua wawe upande wa Dini zao.
Ila Mimi Naona hii Vita ni ya Kisiasa na Kiuchumi na wala sio Ya kidini.
Weng wanaofuatia hii vita wana upande waoauamini. Na wote kwa mitazamo yao naona wako sawa.
Kuna Waislam wako upande wa US-Israel na hivyo hivyo Wakristo. Na vice versa.
Kwa upande wangu huu ni mtazamo wangu na wala haifungaman na Dini.
Kama sio vita vya kidini kwanini Iran wanaporusha makombora wanatamka "Takbir" na IDF nao pamoja na Marekani kwanini wanamuomba Mungu awape ushindi?Labda kuna watu wanaiona hii Vita ni ya Kidini na wakaamua wawe upande wa Dini zao.
Ila Mimi Naona hii Vita ni ya Kisiasa na Kiuchumi na wala sio Ya kidini.
Weng wanaofuatia hii vita wana upande waoauamini. Na wote kwa mitazamo yao naona wako sawa.
Kuna Waislam wako upande wa US-Israel na hivyo hivyo Wakristo. Na vice versa.
Kwa upande wangu huu ni mtazamo wangu na wala haifungaman na Dini.
Kama sio vita vya kidini kwanini Iran wanaporusha makombora wanatamka "Takbir" na IDF nao pamoja na Marekani kwanini wanamuomba Mungu awape ushindi?
Alaf kuna akina sisi ambao tupo kati uislam wala ukristu ila tunaamini Mungu yupo. Kanisani naenda, msikitini naenda, sabato naenda ila tuu kwa nia ya kusali baaas…. Mungu wangu anisaidie hata sku moja nisije kuona dini flan haifai au inafaa sana.Wakristo wengi wamekuwa wakishangilia maumivu, vita na vifo vinavyosababishwa na majeshi ya Israeli, kwa kisingizio cha kuiunga mkono au kulibariki taifa la Israeli. Je, msimamo huo unaendana na mafundisho ya Yesu Kristo? Karibu tudadavue jibu la swali hilo kwa pamoja.
Kwanza kabisa, Yesu hakufundisha kushangilia mateso ya adui. Yesu alisema wazi: “Wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi.” (Mathayo 5:44). Hii ina maana Mkristo hapaswi kufurahia maangamizi ya watu, hata kama ni “maadui.” Badala yake anatakiwa kuwaombea.
Kwa hiyo, kushangilia mashambulizi ya Israeli dhidi ya Gaza, Lebanon, Syria, Iran na Yemen ni kinyume kabisa na mafundisho ya Kristo.
Pili, Yesu alikataza matumizi ya upanga kama njia ya kukabiliana na adui. Wakati ule watu walipoenda kumkamata Yesu, Petro aliuchomoa upanga wake akamkata sikio mtumishi wa Kuhani mkuu. Yesu alimwambia Petro: “Rudisha upanga wako mahali pake; maana wote waushikao upanga wataangamia kwa upanga. Ama wadhani ya kuwa mimi siwezi kumsihi Baba yangu, naye ataniletea sasa hivi zaidi ya majeshi kumi na mawili ya malaika?” (Mathayo 26:52)
Hapo Yesu ametupa fundisho: Mkristo wa kweli hapaswi kumwaga damu wala kufurahia damu ya mtu inapomwagika.
Tatu, kulipiza kisasi sio jukumu la Mkristo. “Msijilipize kisasi… kisasi ni changu, asema Bwana.” (Warumi 12:19)
Mkristo hatakiwi kulipa kisasi wala kushangilia mtu anapolipa kisasi dhidi ya adui yake. Badala yake Mkristo anapaswa kuwa mpatanishi kati ya mtu na adui yake. “Heri wapatanishi, maana hao wataitwa wana wa Mungu.” (Mathayo 5:9)
Hivyo badala ya kushabikia vita, Mkristo anapaswa kuombea amani na mapatano kati ya wanaopigana.
Shetani ndiye anayefurahia damu ya wanadamu inapomwagika, kwa sababu yeye ni muuaji tangu mwanzo (Yohana 8:44). Tumkatae anapotushawishi kujiingiza kwenye mijadala ya kuishangilia Israeli inapowapiga majirani. Tumpinge shetani, kwa Jina la Yesu, aache pia kuwashawishi watu kuuana (Yakobo 4:7).
Baada ya kujifunza yote hayo, bado unayo sababu ya kuendelea kushabikia mauaji yanayofanywa na IDF?
Duh, unawezaje kuyashika yote yanayosemwa msikitini na kanisani na kwa wasabato? Nahisi wewe ni vuguvugu.Alaf kuna akina sisi ambao tupo kati uislam wala ukristu ila tunaamini Mungu yupo. Kanisani naenda, msikitini naenda, sabato naenda ila tuu kwa nia ya kusali baaas…. Mungu wangu anisaidie hata sku moja nisije kuona dini flan haifai au inafaa sana.
Koma wee mm sitaki kufanana na mtu, sina udini na siutaki… Naamini katika Mungu. Nikija kweny biblia nasoma vifungu na story zinazonisaidia kimaisha pekee, kweny quran naskiliza surat zenye maana njema kwenye maisha yangu baaas… Naamin katika Mungu kwa matendo ninayosadiki mimi.Duh, unawezaje kuyashika yote yanayosemwa msikitini na kanisani na kwa wasabato? Nahisi wewe ni vuguvugu.
Unalielewaje andiko hili:
Ufu 3:15-16
"Nayajua matendo yako, ya kuwa hu baridi wala hu moto; ingekuwa heri kama ungekuwa baridi au moto."
Kama wewe ni Mkristo kweli, si unajua Biblia ndio mwongozo wa maisha yetu? If so, weka hapa Maandiko ya Biblia yanayo-support msimamo wakousitulazimishe tu-fight your battles, kwetu ni furaha na jambo la heri islamic republic kuangushwa na kuzikwa kabisa, so bomb bomb bomb the hell out of irgc ...
Sikiliza nikwambie: humu JF ni uhuru wa maoni kuhusu matukio ya duniani kutokana na interactions za jamii za wanadamu. Mkristo kwa kuangalia hao mahasimu wa Vita ya Iran, ataegemea upande wa Israel na US na siyo Iran inayowakandamiza Wakristo wenzao na Ukristo kwa Ujumla. Mungu yeye mara baada ya Yesu kujitoa kufa kama dhabihu ya Upatanishi baina ya Wanadamu na Mungu, Mungu ametoa nafasi kwa Wanadamu kutumia fursa hiyo kumrudia kabla ya yeye kuleta Hukumu yake ya Mwisho.Wakristo wengi wamekuwa wakishangilia maumivu, vita na vifo vinavyosababishwa na majeshi ya Israeli, kwa kisingizio cha kuiunga mkono au kulibariki taifa la Israeli. Je, msimamo huo unaendana na mafundisho ya Yesu Kristo? Karibu tudadavue jibu la swali hilo kwa pamoja.
Kwanza kabisa, Yesu hakufundisha kushangilia mateso ya adui. Yesu alisema wazi: “Wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi.” (Mathayo 5:44). Hii ina maana Mkristo hapaswi kufurahia maangamizi ya watu, hata kama ni “maadui.” Badala yake anatakiwa kuwaombea.
Kwa hiyo, kushangilia mashambulizi ya Israeli dhidi ya Gaza, Lebanon, Syria, Iran na Yemen ni kinyume kabisa na mafundisho ya Kristo.
Pili, Yesu alikataza matumizi ya upanga kama njia ya kukabiliana na adui. Wakati ule watu walipoenda kumkamata Yesu, Petro aliuchomoa upanga wake akamkata sikio mtumishi wa Kuhani mkuu. Yesu alimwambia Petro: “Rudisha upanga wako mahali pake; maana wote waushikao upanga wataangamia kwa upanga. Ama wadhani ya kuwa mimi siwezi kumsihi Baba yangu, naye ataniletea sasa hivi zaidi ya majeshi kumi na mawili ya malaika?” (Mathayo 26:52)
Hapo Yesu ametupa fundisho: Mkristo wa kweli hapaswi kumwaga damu wala kufurahia damu ya mtu inapomwagika.
Tatu, kulipiza kisasi sio jukumu la Mkristo. “Msijilipize kisasi… kisasi ni changu, asema Bwana.” (Warumi 12:19)
Mkristo hatakiwi kulipa kisasi wala kushangilia mtu anapolipa kisasi dhidi ya adui yake. Badala yake Mkristo anapaswa kuwa mpatanishi kati ya mtu na adui yake. “Heri wapatanishi, maana hao wataitwa wana wa Mungu.” (Mathayo 5:9)
Hivyo badala ya kushabikia vita, Mkristo anapaswa kuombea amani na mapatano kati ya wanaopigana.
Shetani ndiye anayefurahia damu ya wanadamu inapomwagika, kwa sababu yeye ni muuaji tangu mwanzo (Yohana 8:44). Tumkatae anapotushawishi kujiingiza kwenye mijadala ya kuishangilia Israeli inapowapiga majirani. Tumpinge shetani, kwa Jina la Yesu, aache pia kuwashawishi watu kuuana (Yakobo 4:7).
Baada ya kujifunza yote hayo, bado unayo sababu ya kuendelea kushabikia mauaji yanayofanywa na IDF?
Mbona hivyo vifungu havijakusaidia kujua jinsi ya kuwasiliana vema na watu? Vinginevyo usingeniambia: "Koma wee"Koma wee mm sitaki kufanana na mtu, sina udini na siutaki… Naamini katika Mungu. Nikija kweny biblia nasoma vifungu na story zinazonisaidia kimaisha pekee, kweny quran naskiliza surat zenye maana njema kwenye maisha yangu baaas… Naamin katika Mungu kwa matendo ninayosadiki mimi.
Umeanza vizuri comment yako lakini ulipofika hapo juu, nika-doubt. Kama Mungu ameruhusu Israeli na US iwashughulikie, mbona na wao wanapigwa? Hujaona magofu Israeli? Hujasikia ndege za US zilivyotunguliwa? Ndugu yangu, kikwazo sio Iran. Kikwazo chetu ni shetani. Na shetani hatu-deal naye kwa silaha za kimwili. Soma Waefeso 6:12Mungu ameruhusu Israel na US kumshughulikia ili kuondoa kikwazo chake.
Sio kweli wanaoshangilia ni walokole na sio wote, wakatoliki wanataka haki na amaniWakristo wengi wamekuwa wakishangilia maumivu, vita na vifo vinavyosababishwa na majeshi ya Israeli, kwa kisingizio cha kuiunga mkono au kulibariki taifa la Israeli. Je, msimamo huo unaendana na mafundisho ya Yesu Kristo? Karibu tudadavue jibu la swali hilo kwa pamoja.