Usilazimishe mtu kuamini unachokiamini… Utagombana na watu best😎😎. Umeniita vuguvugu n yes nimekujibu koma… ikiwa maana ya kukuzuia uniite unavyoamini wewe… Nataka urespect everyone believesMbona hivyo vifungu havijakusaidia kujua jinsi ya kuwasiliana vema na watu? Vinginevyo usingeniambia: "Koma wee"
Ndio sababu nilisema wewe ni vuguvugu. Amua leo kumkubali Yesu kisawasawa na ukubali kufuata maneno yake yote. Yesu ndiye njia na kweli na uzima.
Sawa na shia tuKwani walokole sio Wakristo?
Nikizungumzia kuruhusu, jaribu ku reflect tukio la Job alipojaribiwa na shetani: mazungumzo ya shetani na Mungu, halafu walichokuwa wanamwambia wale marafiki zake waliojaribu kum console. Aidha, pia kumbuka mateso ya Yesu: aliye mfanya Yuda akamsaliti na wale viongozi wa kiyahudi waliomtundika kwenye mti wa mateso na kumuua- Yesu aliwaambia awali kuwa wao ni wa Baba yao Ibilisi ( John 8:44) kuhusu Israel na US kupigwa, to small scale YES; but angalia outcome ya vita. Nakwambia Utawala wa Kiayatollah hautakuwepo.Umeanza vizuri comment yako lakini ulipofika hapo juu, nika-doubt. Kama Mungu ameruhusu Israeli na US iwashughulikie, mbona na wao wanapigwa? Hujaona magofu Israeli? Hujasikia ndege za US zilivyotunguliwa? Ndugu yangu, kikwazo sio Iran. Kikwazo chetu ni shetani. Na shetani hatu-deal naye kwa silaha za kimwili. Soma Waefeso 6:12
Vip upande wa pili mkuu?Wakristo wengi wamekuwa wakishangilia maumivu, vita na vifo vinavyosababishwa na majeshi ya Israeli, kwa kisingizio cha kuiunga mkono au kulibariki taifa la Israeli. Je, msimamo huo unaendana na mafundisho ya Yesu Kristo? Karibu tudadavue jibu la swali hilo kwa pamoja.
Kwanza kabisa, Yesu hakufundisha kushangilia mateso ya adui. Yesu alisema wazi: “Wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi.” (Mathayo 5:44). Hii ina maana Mkristo hapaswi kufurahia maangamizi ya watu, hata kama ni “maadui.” Badala yake anatakiwa kuwaombea.
Kwa hiyo, kushangilia mashambulizi ya Israeli dhidi ya Gaza, Lebanon, Syria, Iran na Yemen ni kinyume kabisa na mafundisho ya Kristo.
Pili, Yesu alikataza matumizi ya upanga kama njia ya kukabiliana na adui. Wakati ule watu walipoenda kumkamata Yesu, Petro aliuchomoa upanga wake akamkata sikio mtumishi wa Kuhani mkuu. Yesu alimwambia Petro: “Rudisha upanga wako mahali pake; maana wote waushikao upanga wataangamia kwa upanga. Ama wadhani ya kuwa mimi siwezi kumsihi Baba yangu, naye ataniletea sasa hivi zaidi ya majeshi kumi na mawili ya malaika?” (Mathayo 26:52)
Hapo Yesu ametupa fundisho: Mkristo wa kweli hapaswi kumwaga damu wala kufurahia damu ya mtu inapomwagika.
Tatu, kulipiza kisasi sio jukumu la Mkristo. “Msijilipize kisasi… kisasi ni changu, asema Bwana.” (Warumi 12:19)
Mkristo hatakiwi kulipa kisasi wala kushangilia mtu anapolipa kisasi dhidi ya adui yake. Badala yake Mkristo anapaswa kuwa mpatanishi kati ya mtu na adui yake. “Heri wapatanishi, maana hao wataitwa wana wa Mungu.” (Mathayo 5:9)
Hivyo badala ya kushabikia vita, Mkristo anapaswa kuombea amani na mapatano kati ya wanaopigana.
Shetani ndiye anayefurahia damu ya wanadamu inapomwagika, kwa sababu yeye ni muuaji tangu mwanzo (Yohana 8:44). Tumkatae anapotushawishi kujiingiza kwenye mijadala ya kuishangilia Israeli inapowapiga majirani. Tumpinge shetani, kwa Jina la Yesu, aache pia kuwashawishi watu kuuana (Yakobo 4:7).
Baada ya kujifunza yote hayo, bado unayo sababu ya kuendelea kushabikia mauaji yanayofanywa na IDF?
Sasa mbona hata hicho ulichoandika hujui au unafikir maandiko yanatafsir moja kama unavyoelewaWaje wenyewe waseme. Mimi imani yao siijui
Nimekupata kwa kiasi fulani. Naweza kukuunga mkono kwa kusema hivi: Yamkini vita hivyo ni njia ya kufungua mlango wa Injili katika eneo hilo, kwa kuwa Injili imezuiliwa kwa muda mrefu, na ni lazima unabii utimie kwamba Injili itahubiriwa ulimwenguni pote kuwa ushuhuda kwa mataifa yote hapo ndipo ule mwisho utakapokuja. Hata hivyo bado hilo halitupi ruhusa ya kushangilia mauaji hata kama vita vitatimiza mapenzi ya Mungu kwetu.Nikizungumzia kuruhusu, jaribu ku reflect tukio la Job alipojaribiwa na shetani: mazungumzo ya shetani na Mungu, halafu walichokuwa wanamwambia wale marafiki zake waliojaribu kum console. Aidha, pia kumbuka mateso ya Yesu: aliye mfanya Yuda akamsaliti na wale viongozi wa kiyahudi waliomtundika kwenye mti wa mateso na kumuua- Yesu aliwaambia awali kuwa wao ni wa Baba yao Ibilisi ( John 8:44) kuhusu Israel na US kupigwa, to small scale YES; but angalia outcome ya vita. Nakwambia Utawala wa Kiayatollah hautakuwepo.
Kuhusu Ephesians 6:12 Yes kwa sisi wakristo ili tupate uzima wa milele our struggle is not against flesh but rather against the wicked spirits. Ila kumbuka hao wote wanaopigana vita siyo sehemu ya mfumo wa Mungu, bali ni sehemu ya mfumo wa Shetani. Mfumo huu wa Shetani umefitinika na kuwa in conflict against one another. Ila katika conflicts zao ndimo humo humo kunatimizwa Unabii wa Mungu na pia Mapenzi ya Mungu kwa Watu wake ( Christians) yanatimia. Nikupe mfano: Unabii katika Isaiah ulipomtaja moja kwa moja Cyrus wa Persia kuwa "Mtumishi Wangu" atakaye warudisha nchi ya ahadi haikumaanisha kuwa Cyrus alikuja kuwa Muabudu wa Mungu wa Israel. Na pia haikumaanisha kuwa Cyrus ataenda kuipiga Babylon kwa Lengo la kuwakomboa Waisrael. Bali Cyrus kwa kufuatilia masilahi yake binafsi na Masilahi ya Persia alianzisha vita na Babylon ila bila kujua kumbe pia vita hiyo itatimiza mapenzi ya Mungu
Kama wewe ni Mkristo kweli, si unajua Biblia ndio mwongozo wa maisha yetu? If so, weka hapa Maandiko ya Biblia yanayo-support msimamo wako
Hapo safari umeongea point wewe utakuwa umefata mafunzo ya Yesu sio Paulo.Wakristo wengi wamekuwa wakishangilia maumivu, vita na vifo vinavyosababishwa na majeshi ya Israeli, kwa kisingizio cha kuiunga mkono au kulibariki taifa la Israeli. Je, msimamo huo unaendana na mafundisho ya Yesu Kristo? Karibu tudadavue jibu la swali hilo kwa pamoja.