Wakristo mnaoishangilia Israeli inapoipiga Iran, mnakosea sana

Wakristo mnaoishangilia Israeli inapoipiga Iran, mnakosea sana

Naona wahubiri wa kitanzania mnairuka Israel futi mia kwenye vita vyake na maadui zake, mmeamua kuja na mahubiri ya kinafiki kujifurahisha kwa maadui wa Israel. Sioni wahubiri wa kiislam wa kitanzania wakiisagia kunguni Iran kama wanafanya wahubiri wa kikristo wa kitanzania kuisagia kunguni Israel. Israel itaendelea kutoa kisago kwa maadui zake kikamilifu mpaka unabii utimie. Na hawa wahubiri uchwara wanatimiza unabii wa chuki dhidi ya Israel kuchukiwa na mataifa yote duniani. Wacha Amerika iungane naye tu dhidi ya maadui zake na itabarikiwa kwa hilo! Kumeibuka mahubiri ya kinafiki dhidi ya Israel, Israel haitashindwa na unafiki wa kidunia
 
Sasa mbona hata hicho ulichoandika hujui au unafikir maandiko yanatafsir moja kama unavyoelewa
Tafsiri ni moja tu iliyo sahihi. Nyingine ni tafsiri potofu
 
Hapo safari umeongea point wewe utakuwa umefata mafunzo ya Yesu sio Paulo.
Paulo aliitwa "live" na Yesu mwenyewe kuwa Mtume.
Ninamfuata pia Paulo kama Paulo anavyomfuata Yesu
1 Kor 11:1
 
Kwa mujibu ya ufahamu wako. Mwisho wa kufikiri. Nikuulize swali. Kuabudu ni kufanya ninini?
Sijaelewa kwanini umeuliza swali hilo.
Anyway,
Kuabudu ni kuheshimu, kupenda, na kujitoa kikamilifu kwa Mungu, kwa moyo, roho, na matendo. Ni kumweka Mungu wa kwanza katika maisha yako na kuishi kwa kufuata mapenzi yake.
Yohana 4:24
“Mungu ni Roho, nao wamwabuduo yeye imewapasa kumwabudu katika roho na kweli.”
Warumi 12:1
“…itoeni miili yenu iwe dhabihu iliyo hai… ndiyo ibada yenu yenye maana.”
Mathayo 22:37
“Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, na kwa akili zako zote.”

Kuabudu sio kuimba tu au kusali, bali ni maisha ya kila siku yanayompa Mungu heshima na utukufu.

Eleza na wewe maana unayoijua ya kuabudu.
 
Si unaona sasa. Haya swali jingine Mungu ni yupi.
 
Jicho la uadilifu linahitaji msingi sahihi wa imani ...
 
Back
Top Bottom