Kwani Israel ni Taifa la kikiristo??Wakristo wengi wamekuwa wakishangilia maumivu, vita na vifo vinavyosababishwa na majeshi ya Israeli, kwa kisingizio cha kuiunga mkono au kulibariki taifa la Israeli. Je, msimamo huo unaendana na mafundisho ya Yesu Kristo? Karibu tudadavue jibu la swali hilo kwa pamoja.
Kwanza kabisa, Yesu hakufundisha kushangilia mateso ya adui. Yesu alisema wazi: “Wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi.” (Mathayo 5:44). Hii ina maana Mkristo hapaswi kufurahia maangamizi ya watu, hata kama ni “maadui.” Badala yake anatakiwa kuwaombea.
Kwa hiyo, kushangilia mashambulizi ya Israeli dhidi ya Gaza, Lebanon, Syria, Iran na Yemen ni kinyume kabisa na mafundisho ya Kristo.
Pili, Yesu alikataza matumizi ya upanga kama njia ya kukabiliana na adui. Wakati ule watu walipoenda kumkamata Yesu, Petro aliuchomoa upanga wake akamkata sikio mtumishi wa Kuhani mkuu. Yesu alimwambia Petro: “Rudisha upanga wako mahali pake; maana wote waushikao upanga wataangamia kwa upanga. Ama wadhani ya kuwa mimi siwezi kumsihi Baba yangu, naye ataniletea sasa hivi zaidi ya majeshi kumi na mawili ya malaika?” (Mathayo 26:52)
Hapo Yesu ametupa fundisho: Mkristo wa kweli hapaswi kumwaga damu wala kufurahia damu ya mtu inapomwagika.
Tatu, kulipiza kisasi sio jukumu la Mkristo. “Msijilipize kisasi… kisasi ni changu, asema Bwana.” (Warumi 12:19)
Mkristo hatakiwi kulipa kisasi wala kushangilia mtu anapolipa kisasi dhidi ya adui yake. Badala yake Mkristo anapaswa kuwa mpatanishi kati ya mtu na adui yake. “Heri wapatanishi, maana hao wataitwa wana wa Mungu.” (Mathayo 5:9)
Hivyo badala ya kushabikia vita, Mkristo anapaswa kuombea amani na mapatano kati ya wanaopigana.
Shetani ndiye anayefurahia damu ya wanadamu inapomwagika, kwa sababu yeye ni muuaji tangu mwanzo (Yohana 8:44). Tumkatae anapotushawishi kujiingiza kwenye mijadala ya kuishangilia Israeli inapowapiga majirani. Tumpinge shetani, kwa Jina la Yesu, aache pia kuwashawishi watu kuuana (Yakobo 4:7).
Baada ya kujifunza yote hayo, bado unayo sababu ya kuendelea kushabikia mauaji yanayofanywa na IDF?
Sahihi kabisaLabda kuna watu wanaiona hii Vita ni ya Kidini na wakaamua wawe upande wa Dini zao.
Ila Mimi Naona hii Vita ni ya Kisiasa na Kiuchumi na wala sio Ya kidini.
Weng wanaofuatia hii vita wana upande waoauamini. Na wote kwa mitazamo yao naona wako sawa.
Kuna Waislam wako upande wa US-Israel na hivyo hivyo Wakristo. Na vice versa.
Kwa upande wangu huu ni mtazamo wangu na wala haifungaman na Dini.
Wameamua kupigana, wacchieni wanyoshane mpaka akili ziwakae sawa...Hayo Maandiko hayajakugusa tu?
Wanyoshane tu ni sawa tu, vitali vya mafuta hata sisi tunavyo...Tembo wakipigana ziumiazo ni nyasi. Wewe endelea tu kushangilia, siku ukikosa kabisa petroli ndio akili itakukaa sawa uanze kuombea amani. 😎
Sawa, Matthew 24:14 lakini pia kuna unabii wa ufufuo 17: yule kahaba na Babilon Mkuu anayebebwa na Mnyama mwenye pembe 10. Huyo mnyama atamgeukia na kumuangamiza yule kahaba. Huu unabii unamaanisha Serikali za Dunia kupitia Azimio la UN wataiangamiza Dini. Endapo Utawala wa Kiayatollah, ambao unafungamanisha Dini ya Shia na Serikali ungebaki ingekuwa wao vigumu kuunga mkono Azimio hilo na kujipiga marufukuNimekupata kwa kiasi fulani. Naweza kukuunga mkono kwa kusema hivi: Yamkini vita hivyo ni njia ya kufungua mlango wa Injili katika eneo hilo, kwa kuwa Injili imezuiliwa kwa muda mrefu, na ni lazima unabii utimie kwamba Injili itahubiriwa ulimwenguni pote kuwa ushuhuda kwa mataifa yote hapo ndipo ule mwisho utakapokuja. Hata hivyo bado hilo halitupi ruhusa ya kushangilia mauaji hata kama vita vitatimiza mapenzi ya Mungu kwetu.
Kwanza nikwambie. The fact to mtu amekufa anakuwa ameisha tumikia adhabu yake ya dhambi mshahara wa dhambi ni mauti. Pia soma Romans 6:7 na uzingatie andiko hilo.Kumbuka pia hao wanaouawa huko Iran, Gaza nk wengi wanauawa kabla ya kumwamini Yesu. Hii inapaswa kuwa huzuni kwetu, maana watu hao hawatapata uzima wa milele.
Sio kwamba waisraeli ndio wanawaona wakristu ndio mashetani wakubwa mpaka wamewazuia ukuwaji ndani ya nchi yao na birth controlthis is your problem, usitake kuwaingiza Christians kwenye hiyo equation, piganeni na hali zenu, Christians haiwahusu na wala Christians hawapaswi ku-side na muslims/communists popote, wote (muslims, communists) ni antiChrists, sasa kwa nini Christian achukuwe upande wa shetani? ...
Hivi wewe ng'weng'we ulisoma kweli mpaka sekondari au ulikuwa unasindikizaSawa, Matthew 24:14 lakini pia kuna unabii wa ufufuo 17: yule kahaba na Babilon Mkuu anayebebwa na Mnyama mwenye pembe 10. Huyo mnyama atamgeukia na kumuangamiza yule kahaba. Huu unabii unamaanisha Serikali za Dunia kupitia Azimio la UN wataiangamiza Dini. Endapo Utawala wa Kiayatollah, ambao unafungamanisha Dini ya Shia na Serikali ungebaki ingekuwa wao vigumu kuunga mkono Azimio hilo na kujipiga marufuku
Elimu hii iko juu ya kiwango chako sheikh ubwabwa; wewe jiandae tu kushiriki mashindano ya kukariri kuraniHivi wewe ng'weng'we ulisoma kweli mpaka sekondari au ulikuwa unasindikiza
Yaani hilo fuvu imejaa mavi tu sijui mnyama mwenye pembe, wewe pumbavu kabisa
Kilaza wewe shule ilikupita kushoto, ndio maana umeaangukia kwenye ulokole mavi, fuvu limejaa tope walimu shuleni walikukatia tamaa pole sanaElimu hii iko juu ya kiwango chako sheikh ubwabwa; wewe jiandae tu kushiriki mashindano ya kukariri kurani
Sio kwamba waisraeli ndio wanawaona wakristu ndio mashetani wakubwa mpaka wamewazuia ukuwaji ndani ya nchi yao na birth control
Iweje miaka nenda rudi idadi yao haizidi asilimia 2
View attachment 3568649
Huu uadui wa Wakristo na Iran unatokana na nini?Kwanza kabisa, Yesu hakufundisha kushangilia mateso ya adui. Yesu alisema wazi: “Wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi.” (Mathayo 5:44). Hii ina maana Mkristo hapaswi kufurahia maangamizi ya watu, hata kama ni “maadui.” Badala yake anatakiwa kuwaombea.
Sio middle East yote mkuu! Maeneo ya Misri, Palestina, Syria na Uturuki zilikuwq dola za kikristo na sababu ni Byzantine ilikuwa Dola tawala maeneo hayo, lakini Iran wao walikuwa na dini yao Zoroastrianism ukipata muda jifunze kuisoma hiyo dini iliyokuwepo kabla ya Yesu kuja utapata madini humo, maeneo ya Iraq pia hakukuwa na Ukristo ila Saudia Arabia ilikuwa mchanganyiko wa mbalimbali.siyo israeli tu bali hilo eneo lote la middle east lilikuwa Christian, btw nchi za oic (organization of islamic) zote hazikuanza kama muslim, originally zilikuwa Christian kabla ya uvamizi wa muslims.
algeria ilikuwa Christian, St.Augustine alikuwa ni mberber kutoka nchi ijulikanayo kama algeria leo hii, waberber siyo warabu...
Ni andiko gani linasema adui yako ni Iran?Unatokana na kutoyajua Maandiko. Ila sasa leo nimeyafunua mapenzi ya Mungu. Naamini watu watabadilika
Poor Brain a.k.a Imamu Hussein 😎.secretarybird na Poor Brain njoo mumpokee Yesu