Wakristo mnaoishangilia Israeli inapoipiga Iran, mnakosea sana

Usilazimishe mtu kuamini unachokiamini… Utagombana na watu best😎😎. Umeniita vuguvugu n yes nimekujibu koma… ikiwa maana ya kukuzuia uniite unavyoamini wewe… Nataka urespect everyone believes
 
Ni kazi sana upande mmoja kushangilia mauwaji ya upande mwingine mala nyingi wanaumizwa na kufa hata hawapo msitari wa mbele
 
Nikizungumzia kuruhusu, jaribu ku reflect tukio la Job alipojaribiwa na shetani: mazungumzo ya shetani na Mungu, halafu walichokuwa wanamwambia wale marafiki zake waliojaribu kum console. Aidha, pia kumbuka mateso ya Yesu: aliye mfanya Yuda akamsaliti na wale viongozi wa kiyahudi waliomtundika kwenye mti wa mateso na kumuua- Yesu aliwaambia awali kuwa wao ni wa Baba yao Ibilisi ( John 8:44) kuhusu Israel na US kupigwa, to small scale YES; but angalia outcome ya vita. Nakwambia Utawala wa Kiayatollah hautakuwepo.
Kuhusu Ephesians 6:12 Yes kwa sisi wakristo ili tupate uzima wa milele our struggle is not against flesh but rather against the wicked spirits. Ila kumbuka hao wote wanaopigana vita siyo sehemu ya mfumo wa Mungu, bali ni sehemu ya mfumo wa Shetani. Mfumo huu wa Shetani umefitinika na kuwa in conflict against one another. Ila katika conflicts zao ndimo humo humo kunatimizwa Unabii wa Mungu na pia Mapenzi ya Mungu kwa Watu wake ( Christians) yanatimia. Nikupe mfano: Unabii katika Isaiah ulipomtaja moja kwa moja Cyrus wa Persia kuwa "Mtumishi Wangu" atakaye warudisha nchi ya ahadi haikumaanisha kuwa Cyrus alikuja kuwa Muabudu wa Mungu wa Israel. Na pia haikumaanisha kuwa Cyrus ataenda kuipiga Babylon kwa Lengo la kuwakomboa Waisrael. Bali Cyrus kwa kufuatilia masilahi yake binafsi na Masilahi ya Persia alianzisha vita na Babylon ila bila kujua kumbe pia vita hiyo itatimiza mapenzi ya Mungu
 
Acha Israel na USA wakapige hao magaidi wa Iran
Iran ndo mfadhili mkuu wa ugaidi na anatishia Imani ya Dunia
Mungu ni Mungu wa vita
 
Vip upande wa pili mkuu?
 
USA alishagraduate kutoka ukristo Vs Uislam kitambo sana kabla hata ya Vita vya kwanza.

Sasaivi USA anachofocus ni USA Vs China
 
Nimekupata kwa kiasi fulani. Naweza kukuunga mkono kwa kusema hivi: Yamkini vita hivyo ni njia ya kufungua mlango wa Injili katika eneo hilo, kwa kuwa Injili imezuiliwa kwa muda mrefu, na ni lazima unabii utimie kwamba Injili itahubiriwa ulimwenguni pote kuwa ushuhuda kwa mataifa yote hapo ndipo ule mwisho utakapokuja. Hata hivyo bado hilo halitupi ruhusa ya kushangilia mauaji hata kama vita vitatimiza mapenzi ya Mungu kwetu.

Kumbuka pia hao wanaouawa huko Iran, Gaza nk wengi wanauawa kabla ya kumwamini Yesu. Hii inapaswa kuwa huzuni kwetu, maana watu hao hawatapata uzima wa milele.
 
Kama wewe ni Mkristo kweli, si unajua Biblia ndio mwongozo wa maisha yetu? If so, weka hapa Maandiko ya Biblia yanayo-support msimamo wako

this is your problem, usitake kuwaingiza Christians kwenye hiyo equation, piganeni na hali zenu, Christians haiwahusu na wala Christians hawapaswi ku-side na muslims/communists popote, wote (muslims, communists) ni antiChrists, sasa kwa nini Christian achukuwe upande wa shetani? ...
 
Hapo safari umeongea point wewe utakuwa umefata mafunzo ya Yesu sio Paulo.
 
MWAGA MOTO MWINGI KAMA MADRAGONI KWA NETANYAHU KIBOKO YA ALLAH NA MAGAIDI 🔥 🔥 🔥 🔥

Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ameposti hii picha na kuwaka maneno ya

"Tunaendelea na usafi wa Pasaka ya Kiyahudi tunamshambulia adui wa Iran"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…