Wakristo mnaoishangilia Israeli inapoipiga Iran, mnakosea sana

Kwani Israel ni Taifa la kikiristo??
 
Sahihi kabisa
 
Tembo wakipigana ziumiazo ni nyasi. Wewe endelea tu kushangilia, siku ukikosa kabisa petroli ndio akili itakukaa sawa uanze kuombea amani. 😎
Wanyoshane tu ni sawa tu, vitali vya mafuta hata sisi tunavyo...
 
Sawa, Matthew 24:14 lakini pia kuna unabii wa ufufuo 17: yule kahaba na Babilon Mkuu anayebebwa na Mnyama mwenye pembe 10. Huyo mnyama atamgeukia na kumuangamiza yule kahaba. Huu unabii unamaanisha Serikali za Dunia kupitia Azimio la UN wataiangamiza Dini. Endapo Utawala wa Kiayatollah, ambao unafungamanisha Dini ya Shia na Serikali ungebaki ingekuwa wao vigumu kuunga mkono Azimio hilo na kujipiga marufuku
Kumbuka pia hao wanaouawa huko Iran, Gaza nk wengi wanauawa kabla ya kumwamini Yesu. Hii inapaswa kuwa huzuni kwetu, maana watu hao hawatapata uzima wa milele.
Kwanza nikwambie. The fact to mtu amekufa anakuwa ameisha tumikia adhabu yake ya dhambi mshahara wa dhambi ni mauti. Pia soma Romans 6:7 na uzingatie andiko hilo.
Miongoni mwa hao waislamu wako ambao si Waovu, bali ni victims wa Uongo unaoenezwa na akina Hamas na Maayatollah. Hao Mungu ana njia yake ya kuwapa ufufuo Acts 24:15 ... there is going to be a resurrection of both the righteous and the unrighteous. Si ajabu wakafaidika na hukumu kipitia dhamiri (conscience) zao Roman 2:14&15
Nikukumbushe tena hatushangilii bali tunawataarifu wasioamini facts. Vile vile ukumbuke tofauti kati ya wewe unayebaki hadi wakati huyo Yesu anakuja kutenganisha Kondoo na Mbuzi na hao waliokufa ni kwamba wewe huenda hiki Kifo cha Kwanza kisikupate. John 11: 26 everyone who is living and exercises faith in me will never die at all.
Sasa kuna ile miaka 1000, ambapo kitabu kipya cha Sheria kitafunguliwa. Endapo mtu (yule aliyefufuliwa na yule ambaye hajafa) atatii na kuishi kulingana na Sheria za hicho kitabu kipya, basi huyo ataepuka yale mauti ya Pili ( Ufunuo 21:8)
 
Sio kwamba waisraeli ndio wanawaona wakristu ndio mashetani wakubwa mpaka wamewazuia ukuwaji ndani ya nchi yao na birth control
Iweje miaka nenda rudi idadi yao haizidi asilimia 2

 
Hivi wewe ng'weng'we ulisoma kweli mpaka sekondari au ulikuwa unasindikiza
Yaani hilo fuvu imejaa mavi tu sijui mnyama mwenye pembe, wewe pumbavu kabisa
 
Hivi wewe ng'weng'we ulisoma kweli mpaka sekondari au ulikuwa unasindikiza
Yaani hilo fuvu imejaa mavi tu sijui mnyama mwenye pembe, wewe pumbavu kabisa
Elimu hii iko juu ya kiwango chako sheikh ubwabwa; wewe jiandae tu kushiriki mashindano ya kukariri kurani
 
Elimu hii iko juu ya kiwango chako sheikh ubwabwa; wewe jiandae tu kushiriki mashindano ya kukariri kurani
Kilaza wewe shule ilikupita kushoto, ndio maana umeaangukia kwenye ulokole mavi, fuvu limejaa tope walimu shuleni walikukatia tamaa pole sana
 
Sio kwamba waisraeli ndio wanawaona wakristu ndio mashetani wakubwa mpaka wamewazuia ukuwaji ndani ya nchi yao na birth control
Iweje miaka nenda rudi idadi yao haizidi asilimia 2

View attachment 3568649

siyo israeli tu bali hilo eneo lote la middle east lilikuwa Christian, btw nchi za oic (organization of islamic) zote hazikuanza kama muslim, originally zilikuwa Christian kabla ya uvamizi wa muslims.

algeria ilikuwa Christian, St.Augustine alikuwa ni mberber kutoka nchi ijulikanayo kama algeria leo hii, waberber siyo warabu...
 
Huu uadui wa Wakristo na Iran unatokana na nini?
 
Sio middle East yote mkuu! Maeneo ya Misri, Palestina, Syria na Uturuki zilikuwq dola za kikristo na sababu ni Byzantine ilikuwa Dola tawala maeneo hayo, lakini Iran wao walikuwa na dini yao Zoroastrianism ukipata muda jifunze kuisoma hiyo dini iliyokuwepo kabla ya Yesu kuja utapata madini humo, maeneo ya Iraq pia hakukuwa na Ukristo ila Saudia Arabia ilikuwa mchanganyiko wa mbalimbali.

Tusisahau kuwa Dola la Rumi mara baada ya kuukubali Ukristo karne 4 na mara baada Dola la Rumi kugawanyika kati ya East na West hawa Byzantine walitawala East ambapo kulikuwa Uturuki (Constantinople) Kwaiyo basi! Ata kabla Dola la Rumi kutawala hawa wenyeji wa huku walikuwa na tamaduni zao na ibada zao pia. Ukristo na Uislamu wote walikuja tu baadae
 
Naona wahubiri wa kitanzania mnairuka Israel futi mia kwenye vita vyake na maadui zake, mmeamua kuja na mahubiri ya kinafiki kujifurahisha kwa maadui wa Israel. Sioni wahubiri wa kiislam wa kitanzania wakiisagia kunguni Iran kama wanafanya wahubiri wa kikristo wa kitanzania kuisagia kunguni Israel. Israel itaendelea kutoa kisago kwa maadui zake kikamilifu mpaka unabii utimie. Na hawa wahubiri uchwara wanatimiza unabii wa chuki dhidi ya Israel kuchukiwa na mataifa yote duniani. Wacha Amerika iungane naye tu dhidi ya maadui zake na itabarikiwa kwa hilo! Kumeibuka mahubiri ya kinafiki dhidi ya Israel, Israel haitashindwa na unafiki wa kidunia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…