Na uzuri that day fr Kitima aliweka taadhari vyema kwamba naongea haya hata kama watanijua Baada ya hapa ..Ukiona mpaka Marekani wamesema ujue kuna mengi yanaendelea nyuma ya pazia hatuyafahamu.
Damu za tarehe 29 Oct zishamtia wazimu.Makamu wa Rais hajulikani yupo wapi na yupo kwenye hali gani. Siku chache zilizopita Masheikh waliotumwa walimsema wazi mbele ya Camera. Haikuwa bahati mbaya
Waziri Mstaafu Godfrey Mwambe yupo kizuizini kuhusishwa na Ukatoliki wake na ukaribu wake na Nchimbi.
Leo Jenista Muhagama. Waziri Mstaafu na Waziri Mwandamizi wa siku nyingi. Mkatoliki na moja ya Washirika Wakuu wa Emmanuel Nchimbi amefariki kifo cha utata kisichoelezeka. Haijulikani pia siku za hivi karibuni alikuwa wapi?
Kaeni chonjo. Hadi Marekani kasema kuna persecution na wakristo inaendelea Tanzania jueni kuna mambo ana ushahidi nayo yanaendelea.
Kama unajijua ni Mkristo, Mkatoliki na Team Nchimbi kaa chonjo tu lazima akumalize.
Ushirika wa wachawi haudumu.
Kwenye hotuba yake aliwasema Maaskofu waziwazi. Tena kwa lugha ya kejeli na majoho yao.... when the going gets tough THE TOUGH GET GOING!
KEEP THIS FIRE BURNING AND AS THE HEAT RISES SOME OF US AWAKEN AND I FEEL SORRY FOR WHOEVER THINKS THERE'S ANYTHING TO GAIN OTHER THAN ASHES AND ROT!
Nyinyi hata mauaji ya tarehe 29 mlisema ni Al, watu wenu ndio akina Chalamila kila akiongea anatema pumba.Takataka za kigogo usituletee humu
Tatizo la gen z ni uwezo mdogo wa kuchakata taarifa
Wameshindwa kuingia mtaani tarehe 9 Desemba wanaamua kueneza chuki za kidini ili wakuze hasira ya watu, ujinga ule ule aliokuwa akiufanya Kigogo wakati wa awamu ya JPM.Huu upuuzi wenu wa udini mngeachana nao kwanza ni ushamba kama uko kwenye siasa komaa na siasa ila kueneza chuki za kidini ni upumbavu wa kiwango cha juu mno,kama mtawala anafanya vibaya ni yeye na sio dini yake mpopoe uwezavyo,usituchonganishe kitaa na Imani zako za kijinga
Mkuu unamkumbuka Centano Habimana aliyesema Watutsi wavunjwe pua?Radio Télévision Libre des Mille Collines (RTLM).
Huwa wakishaamua kufanya kitu hawajiulizi mara mbili, hawajali madhara wanayoweza kuyapata.Takataka za kigogo usituletee humu
Tatizo la gen z ni uwezo mdogo wa kuchakata taarifa
Kuna anayeeneza chuki ya udini zaidi ya Samia? Aliyewasema Maaskofu waziwazi mbele ya camera huku akikiri kuuwa watu wakati maaskofu wananchodai ni haki tu?Wameshindwa kuingia mtaani tarehe 9 Desemba wanaamua kueneza chuki za kidini ili wakuze hasira ya watu, ujinga ule ule aliokuwa akiufanya Kigogo wakati wa awamu ya JPM.
Sasa lengo lao ni nini? CCM iwe chama cha waislam? Akili zao zinavyofanya kazi inafikirisha sana....yaani sasa hivi kuwanyanyasa wakristo iko waziwazi...mimi ni mtu mzima ila sijawahi kuona kiongozi wa taifa kusimamia ukandamizaji wa dini tofauti na yake kama huyu.Makamu wa Rais hajulikani yupo wapi na yupo kwenye hali gani. Siku chache zilizopita Masheikh waliotumwa walimsema wazi mbele ya Camera. Haikuwa bahati mbaya
Waziri Mstaafu Godfrey Mwambe yupo kizuizini kuhusishwa na Ukatoliki wake na ukaribu wake na Nchimbi.
Leo Jenista Muhagama. Waziri Mstaafu na Waziri Mwandamizi wa siku nyingi. Mkatoliki na moja ya Washirika Wakuu wa Emmanuel Nchimbi amefariki kifo cha utata kisichoelezeka. Haijulikani pia siku za hivi karibuni alikuwa wapi?
Kaeni chonjo. Hadi Marekani kasema kuna persecution na wakristo inaendelea jueni kuna mambo ana ushahidi nayo yanaendelea.
Kama unajijua ni Mkristo, Mkatoliki na Team Nchimbi kaa chonjo tu lazima akumalize.
Ushirika wa wachawi haudumu.
Hawana akili. Wanapambana sana kupush ajenda ya udini kwa Watanganyika.Sasa lengo lao ni nini? CCM iwe chama cha waislam? Akili zao zinavyofanya kazi inafikirisha sana....yaani sasa hivi kuwanyanyasa wakristo iko waziwazi...mimi ni mtu mzima ila sijawahi kuona kiongozi wa taifa kusimamia ukandamizaji wa dini tofauti na yake kama huyu.
Samia sio mjinga kama nyinyi vijana mnavyomchukulia.Anayeleta udini ni Samia na Masheikh wake anaowatuma kupandikiza udini wao.
Sie tunatafsiri tu mwenendo wao kwa lugha nyepesi ambayo wameshaiweka wazi wenyewe.
Duuh kama ni kweli hii ni hatariMakamu wa Rais hajulikani yupo wapi na yupo kwenye hali gani. Siku chache zilizopita Masheikh waliotumwa walimsema wazi mbele ya Camera. Haikuwa bahati mbaya
Waziri Mstaafu Godfrey Mwambe yupo kizuizini kuhusishwa na Ukatoliki wake na ukaribu wake na Nchimbi.
Leo Jenista Muhagama. Waziri Mstaafu na Waziri Mwandamizi wa siku nyingi. Mkatoliki na moja ya Washirika Wakuu wa Emmanuel Nchimbi amefariki kifo cha utata kisichoelezeka. Haijulikani pia siku za hivi karibuni alikuwa wapi?
Kaeni chonjo. Hadi Marekani kasema kuna persecution na wakristo inaendelea Tanzania jueni kuna mambo ana ushahidi nayo yanaendelea.
Kama unajijua ni Mkristo, Mkatoliki na Team Nchimbi kaa chonjo tu lazima akumalize.
Ushirika wa wachawi haudumu.
Kama kwa anayofanya anajiona mwerevu basi ana tatizo zaidi ya tunavyofikiria.Samia sio mjinga kama nyinyi vijana mnavyomchukulia.
Father Kitima ni campaign manager wa Lissu mwaka 2020, Samia alikuwa na haki ya kumshambulia kwani alichangia kuweka upinzani kwenye suala la DP World mwaka juzi akiwa hana uelewa wa kipi kinachokwenda kufanyika.Kuna anayeeneza chuki ya udini zaidi ya Samia? Aliyewasema Maaskofu waziwazi mbele ya camera huku akikiri kuuwa watu wakati maaskofu wananchodai ni haki tu?
Au hukuona press ya Masheikh wa Samia waliyomsema Nchimbi na kumuhusisha na TEC?
Hakuna ushahidi wowote kuhusiana na huu upuuzi ulioandika kwenye huu uzi.Kama kwa anayofanya anajiona mwerevu basi ana tatizo zaidi ya tunavyofikiria.
Umejiona ulivyo zwazwa? Eti Kitima alikuwa campaign manager wa Lissu?Father Kitima ni campaign manager wa Lissu mwaka 2020, Samia alikuwa na haki ya kumshambulia kwani alichangia kuweka upinzani kwenye suala la DP World mwaka juzi akiwa hana uelewa wa kipi kinachokwenda kufanyika.
Father Kitima alisambaza barua ya chuki makanisani akiita waraka, aliongelea mikataba huku akiandika habari za kupotosha umma, mkataba ulivyoweka wazi na ufafanuzi ukatolewa hadharani ikiwa aibu ya Father Kitima.
Juzi ameita press akijua kesho yake Rais anakwenda kuongea na umma, kimaadili yale ni makosa ni ukosefu wa heshima kwa mkuu wa nchi. Father Kitima pia ameongea kwa kutumia maneno yanayohamasisha vijana waingie mitaani kumbuka huyu ni mtu wa karibu wa Lissu kwa miaka mitano.
Samia amekwazwa na Father Kitima kwa muda mrefu alikuwa na haki ya kumkumbusha anachokifanya hakina afya kwa mustakabali wa muda mrefu wa TZ.
Samia kaamua kupita njia ile ile ya hayati JPM bila ya kuangalia wala kusikiliza mtu mmoja mmoja. Unataka kuniambia Father Kitima angeweza kuyatenda haya ingekuwa Rais ni hayati JPM?.
Natambua ukweli kwamba aliwahi kushambuliwa na watu pale Kurasini.
Stop rhis nonsenseMakamu wa Rais hajulikani yupo wapi na yupo kwenye hali gani. Siku chache zilizopita Masheikh waliotumwa walimsema wazi mbele ya Camera na kumuhusisha na TEC. Haikuwa bahati mbaya
Waziri Mstaafu Godfrey Mwambe yupo kizuizini kuhusishwa na Ukatoliki wake na ukaribu wake na Nchimbi.
Leo Jenista Muhagama. Waziri Mstaafu na Waziri Mwandamizi wa siku nyingi. Mkatoliki na moja ya Washirika Wakuu wa Emmanuel Nchimbi amefariki kifo cha utata kisichoelezeka. Haijulikani pia siku za hivi karibuni alikuwa wapi?
Kaeni chonjo. Hadi Marekani kasema kuna persecution na wakristo inaendelea Tanzania jueni kuna mambo ana ushahidi nayo yanaendelea.
Kama unajijua ni Mkristo, Mkatoliki na Team Nchimbi kaa chonjo tu lazima akumalize.
Ushirika wa wachawi haudumu.
Wewe ndio taahira wa Gen Z, tafuta rekodi sahihi kumhusu huyu Father. Mimi ni mkatoliki mkongwe.Umejiona ulivyo zwazwa? Eti Kitima alikuwa campaign manager wa Lissu?
Kumbe najibishana na taahira?
Weka hapa hiyo rekodi inayosema Kitima alikuwa campaign manager wa Lissu?Wewe ndio taahira wa Gen Z, tafuta rekodi sahihi kumhusu huyu Father. Mimi ni mkatoliki mkongwe.