Wakristo, na hasa Wakatoliki kaeni chonjo. Anawamaliza wote!

Anayeleta propaganda na udini ili kutugawa Watanganyika ni Samia.

Sisi Watanganyika hatuna udini wowote ule.
 
Tuliwaonya kipindi kile masheikh ccm mkacheka Sasa hivi ndo mnakumbika shuka kumekicha?
 
Hakuna Yuko sahihi kwani ni uongoze masheikh waliongelea ndani kaka si hadharani na Kila mtu aliona, mama kadai tec walitoka walaka nane hukusikia?
 
Weka uthibitisho kuwa its very low and stupid?

Masheikh hawakumsema Nchimbi na kumuhusisha na TEC?

Mwambe hajatekwa na kufichwa?

Marekani hajasema kuna persecution ya Wakristo Tanzania?
Masheikh wameua nani?

Jenister amefariki kwasababu gani?

Punguza ushabiki mandazi… sometimes muwe reasonable in hating

Inakua ngumu Mtu kukuchukulia serious if you become this fanatic
 
Masheikh wameua nani?

Jenister amefariki kwasababu gani?

Punguza ushabiki mandazi… sometimes muwe reasonable in hating

Inakua nguku Mtu kukuchukulia serious if you become this fanatic
Nimekuuliza masheikh hawakumsema Nchimbi wewe unauliza masheikh wamemuua nani? Una akili kweli wewe?

Ushabiki maandazi ni upi?

Jibu hapa masheikh hawakumsema Emmanuel Nchimbi na kumuhusisha na TEC? Nani aliwatuma? Kwa nini tangu waseme hawajachukuliwa hatua?

Jenista Muhagama alikuwa wapi? Kaumwa nini na lini?
 
Huyo kitima hamkutaka kumuua ? Nyie wenyewe
 
Iko wazi tangu taifa hili lizaliwa hakuna kipindi ambacho taifa limewahi kupasuka kidini kama kipindi hiki, kwanzia serikalini mpaka mitaani kuna mbegu mbaya sana inamea.

Yote haya kayaleta huyu mzanzibari hili tu aweze kutawala kwa nguvu licha ya watu kumkataa.
 
Muhusika mkuu ni Samia Suluhu Hassan. Kibibi mwenye chuki na Watanganyika na wakristo
 
Acha propaganda. Lkn kama kweli basi naikumbuka ile nyimbo, " aliejuu msubiri chini atashuka tu". Leo wakatoliki ndio wa kuombewa huruma humu jf? Nguvu zao tulioambiwa wanazo zimeendoka na upepo wa hidaya?
 
Muhusika mkuu ni Samia Suluhu Hassan. Kibibi mwenye chuki na Watanganyika na wakristo
Samia hana chuki nyinyi vijana ndio mmejawa na chuki. Ukiishi humu mijini huwezi kuona anayoyafanya tembea huko mikoani uone mengi yanayoendelea.

Mnaitengeneza roho fulani mbaya sana kwa sababu mnajidanganya hizi movement zinaweza kumtoa ikulu, ni upumbavu na utoto hakuna anayeweza kumtoa Rais ambaye JWTZ wameapa hadharani kumlinda muda wote.

Anayeweza kumtoa SSH ni Mungu kwa maamuzi yake ambayo binadamu hawezi kuyapinga kwa namna yoyote ile.

Unaweza kuweka ushahidi wa wazi kwamba wale mashekhe walitumwa na Samia kumsema Nchimbi?. Ushahidi wenye kuweza kutumika mahakamani sio umbea wa instagram au whatsapp.

Vijana mnajitwisha dhambi nzito bila ya kujua madhara yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…