Wakristo tuisusie Azam TV, wanatutenga Krismasi

Si uhame azam hana hasara na nyinyi
 
Imani ndio ugonjwa mbaya kabisa wa akili kuwahi kuikumba dunia
 
Mara ya mwisho kwenda kanisani ilikuwa lini?
 
Mi ni mkristo na nimezaliwa kwenye ukristo.
Maada ya mtoa maada iko kinyume na ukristo.
Isitoshe Azam kama anatumia tv yake kutangaza dini yake kuna shida gani?
Yapo mambo ya msingi ya kujadili,, huu utopolo unatupotezea muda.
 
Hizo Dini za kigeni zime wapumbaza akili kama ningekua na uwezo basi hizi dini mbili ukiristo na uislamu ningezifutilia mbali, watu turudi kwenye dini zetu za asili
 
Ww ndio ulitakiwa kususwa. Kama umechoma moto king'amuzi cha Azam. Haytuhusu ujatushirikisha wakati wa manunuzi. Ni sawa umechoma moto pexa zako..
 
Unaangaika na Azama..Nini
Ntumie elfu kumi nikutumie Zawadi ya Xmass...Kadi, biscuits, cake na Chocolate.
Ukafurahie na Mama wototo..

Zitakuwa packaged to your satisfaction.
Analyst kama Analyst
 
Tena umenikumbusha,niende sasa hivi nikalipie kifurushi cha Azam cha elfu 28 ili nikahakikishe ni kweli usemayo.

Izi dini zilizoletwa kwenye majahazi zisituletee taabu mpaka kujazana chuki.
Unamjua owner wa hiyo media na interests zake?
 
Daudi this has nothing to do with his/her age. It has everything to do with his/her hatred against Islam
Show us that hate in our Bible and I'll show you your religion hate to Christianity from Koran!
 
Acha ujinga wakidini wewe. Ulitumwa kukinunua
 
Kama ni kweli nabonda kin'gsmuzi chao.Mbona Algezira wanaonyesha ujio wa xmas!!@
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…