Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 13,942
- 15,371
Hapana Rais sasa ni Askofu Mkuu Gervais Mwasikwabhila John Nyaisonga, Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Mbeya. Yeye leo alikuwa kule Lupaso. Jamani mnatala Rais azikwe na Padre tu bila Askofu?Yule Ngalekumtwa wa Iringa ndo mkuu wa Baraza la maaskofu TEC ( Sijui anaitwa Rais wa TEC/mwenyekiti)
Kwa maana hiyo ndio kiongozi wa Maaskofu wote wa Katoliki Tanzania