GeoMex
JF-Expert Member
- Jan 10, 2014
- 5,431
- 19,913
Sio kweli
Huu uzi ni wa kuanzia Jumamosi sijui wameshaunganisha nyuzi karibia nne humu. Hadi umepoteza maana
Ila walishanirekebisha pia mkuu kwamba Rais ni Nyaisonga kwa sasa. Shukran
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kweli
Au na katekista kama rugeAcha wivu, kwa taarifa yako wewe utazikwa na shemasi
Haya mambo tumejiwekea watu tu.Ndo mana sometimes mimi naona Mungu haexist.... mbona matendo ya kibaguzi namna hii yanatokea, tena yanafanywa na wapakwa mafuta, yet Mungu yupo kimya.. he must be very unfair
askofu ni mkubwa kuliko padre yeye anaongoza jimbo na huyu mwingine parokia lakini wote ni mapadre. sielewi vizuri sanaHivi kuna utofauti gani kati ya Askofu na Padre/Padri ? Itakuwa vyema zaidi kama mtanipa maana ya wawili hawa.
Ahsanteni.
Askofu anaruhusiwa kuoa lakini Padri haoi...!! Walutheri tuna Askofu no Mapadri..askofu ni mkubwa kuliko padre yeye anaongoza jimbo na huyu mwingine parokia lakini wote ni mapadre. sielewi vizuri sana
Wote ni mapadreHivi kuna utofauti gani kati ya Askofu na Padre/Padri ? Itakuwa vyema zaidi kama mtanipa maana ya wawili hawa.
Ahsanteni.
Umejibu vizuri mkuu, lakini pia kwa cheo alichokuwa nacho marehemu anafahamika na amefahamiana na watu wengi mpaka hata kwa kutembeleana na wakawa marafiki. Kwa mantiki hiyo maaskofu kama mwanadamu wa kawaida anamarafiki na mmoja wapo ni huyo marehemu anayemsema.Levels baby...ipo world wide hiyo sio kwenye dini peke yake.
Ni suala la simple management logic.Naomba kuuliza wakristo wenzangu kuhusu taratibu za msiba. Akifariki mtu wa kawaida basi Padre tu husimamia ibada. Lakini akifariki mtu maarufu au tajiri basi huja Askofu tena akiwa na viongozi wengine kuendesha hiyo ibada.
Kwanini Askofu asiendeshe hiyo misa hata angalau kwa msiba wa kapuku mmoja ili kuondoa hii hali ya kuonekana Askofu yuko kwa ajili ya watu fulani tu?
Kimsingi kama itawezekana Wakristo tujitafakari upya taratibu zetu zote za mazishi. Kuna mambo hayako sawa.
Karibuni tuchangie
Naomba kuuliza wakristo wenzangu kuhusu taratibu za msiba. Akifariki mtu wa kawaida basi Padre tu husimamia ibada. Lakini akifariki mtu maarufu au tajiri basi huja Askofu tena akiwa na viongozi wengine kuendesha hiyo ibada.

Jopo la mapadre au maaskofu kuongoza ibada ni kawaida si tu kwenye mazishi bali hata ibada za kawaida za Dominica . Wanaweza kuongoza ibada wote kwa kuachiana sehemu fulani fulani ,mfano moja anaweza akaanzisha ibada mpaka kwenye neno (masomo) halafu akahubiri mwingine baada ya hapo kwenye mageuzo wanaweza kushiriki wote kwa pamoja halafu mwingine akahitimisha. Misa iliyofanyika pale Uhuru siku ya juma pili haikuwa misa ya mazishi bali misa ya Dominica (Misa za kawaida ya jumapili)Sijawahi ona Masheikh wakiunda jopo la kuongoza ibada. Waislamu wanaweza kujibu vzr zaidi
Wajumbe wa ccmAskofu na padri ni akina nani hao???
Hii aya ya mwisho haikuwa na haja ya kumshushua. Ulishanena vyema katika aya ya kwanza.Elewa kwamba pale altareni padre na askofu wanakuwa na hadhi sawa upadre ni sacramenti na uaskofu ni kama cheo tu. Kwa hiyo misa ya mazishi inapoendeshwa na askofu au padre inabaki kuwa na hadhi ile ile.....
Simple logic ni kwamba aliyefariki ni Raisi mstaafu hivyo ana hadhi ya tofauti mbona hukujisikia vibaya makapuku kutoagwa uwanja wa uhuru au hili umeona ni jambo la kawaida
Naomba kuuliza wakristo wenzangu kuhusu taratibu za msiba. Akifariki mtu wa kawaida basi Padre tu husimamia ibada. Lakini akifariki mtu maarufu au tajiri basi huja Askofu tena akiwa na viongozi wengine kuendesha hiyo ibada.
Kwanini Askofu asiendeshe hiyo misa hata angalau kwa msiba wa kapuku mmoja ili kuondoa hii hali ya kuonekana Askofu yuko kwa ajili ya watu fulani tu?
Kimsingi kama itawezekana Wakristo tujitafakari upya taratibu zetu zote za mazishi. Kuna mambo hayako sawa.
Karibuni tuchangie
Akili za Mungu sio sawa na binadamu hata wewe kitendo cha ku fikilia ha- exist angekufutilia mbali basi ni rehema zake tuNdo mana sometimes mimi naona Mungu haexist.... mbona matendo ya kibaguzi namna hii yanatokea, tena yanafanywa na wapakwa mafuta, yet Mungu yupo kimya.. he must be very unfair
[emoji23]Acha wivu, kwa taarifa yako wewe utazikwa na shemasi
Na huu utaratibu wa kumuanika maiti mmeutoa wapi?Naomba kuuliza wakristo wenzangu kuhusu taratibu za msiba. Akifariki mtu wa kawaida basi Padre tu husimamia ibada. Lakini akifariki mtu maarufu au tajiri basi huja Askofu tena akiwa na viongozi wengine kuendesha hiyo ibada.