Wakristo waliotokea mikoa isiyo na Waislam wengi wana uelewa potofu juu ya Uislam na Waislam

Wakristo ni Wakatoliki tu? pia tambua kuwa ushirikina ni Mtu binafsi na siyo dhehebu na wala Kanisa Katoliki haliwezi kuwa na chuki na uislamu.
 
Hivi kuna kiumbe ambacho hakikuimbwa na Mungu.
 
Waislami hata wakisoma hawaelimiki hawastaarabiki sijui ni kwa Nini?

Hawezi kujudge mambo kwa logic
Dini yao Haiwafundishwi Upendo
Wao ni kuuana tu na ugaidi
Mbona hawaja kuuwa ww na ndugu zako?
 
Twende mbele turudi nyuma suala la dini ni kawaida kumuona amabye sio ya dini yako kama mtu aliepotea

Na hii kawaida ya mwamba ngoma, ila kusema mtu anakuchukia kisa wewe dini hiyo nakataa ni mtazamo tu wa mtu

Kuna watu wanachukiana huko kwenye taasisi ya dini moja tena wote wazoefu kabisa sembuse dini baki


Nadeclare mimi ni mmoja ya watu ambao nimekulia kwenye maeneo ya wakristo wengi na msikiti ni wa kutafuta kwa tochi karibu mji mzima, lakini mpaka kesho tuliosoma nao waislamu kwa wakristo hatukuwahi kubaguana ukiachana na matani ya hapa na pale kwenye udini ambacho ni kitu cha kawaida kutambiana

Mpaka kesho kutwa tupo vizuri na tunapeana michongo, hiyo chuki inatokea wapi????

Itatokea kwa mtu mwenye mitazamo ya kipuuzi pekee na sio eneo analotoka
 
Kuna sehemu nyingine ukiwa muislamu watu wanakushangaa na kukuona kama mtu uliyepotea kiimani.
 
Hivi kuna kiumbe ambacho hakikuimbwa na Mungu.
Issue ni kwamba katika mafundisho ya wakristo hayasemi kuwa Mungu aliumba majini kama kiumbe tofauti na malaika. Waislamu mafunzo yao yanaeleza kuwa Mungu aliumba majini.
 
Hata ukiugeuza huu uzi usomeke hivi
"Waislamu waliotokea mikoa isiyo na wakristo wengi wanauelewa mdogo juu ya ukristo" bado inaleta maana..

Kiufupi dini zenu zote mbili mnashindana sana na hua nashindwa kuelewa mnashindania nini?
Yaani bifu ni kati ya hizi dini mbili tu. Dini nyingine wala. Kuna shida kwenye hizi dini 2.
 
Sio misikiti tu. Mimi nipo jirani na kanisa la EAGT, yaani wakianza kulia usiku wanakera. Najiuliza , hivi wanaliaga nini kila siku. Makelele mtindo mmoja
 
Huku ruvuma nenda sehemu inayoitwa mbinga, vijiji vya huko kukuta muislamu ni ngumu Sana.

Wao wanaamini nchi yote iko hivyo kumbe Kuna sehemu waislamu ni majority
Hata Songea vijijini, baadhi ya vijiji iko hivyo.
 
Huo sio uelewa mdogo, ndo uelewa sahihi.
Ongezea hao wanaofuga madevu na kujitanda ninja ukipanda nao basi moja hawachelewi kujilipua, kingine wanapenda ngono sana kuoa vitoto under 18, wana roho mbaya, wanashirikiana na majini mapepo
Leo hii bunge la Iraq linajadili ili kupunguza umri wa mtoto wa kike aweze kuolewa kuanzia miaka 9. Yale yale ya Mtume Muhammad na kale katoto Aisha hadi akakaoa.
 
Kaskazini tena, huku kijijini ni kweli yaani wakiskia muislam basi watakuogopaa.Utaskia usmchezee yule ni muislam eti😁😁
Sema kwa kuwa tulisoma kdogo na kuishi nao , tunawajua ni watu wazuri sana...tena mno ..
Meku Umepata Mchumba Shehe ??
 
Sasa hizi chuki hata mimi huwa sizipendi kama wewe ni muslim nashukuru kuona namna gani unazidi kuleta amani kama mmoja wao.
Zamani chuki zilikuwepo nowdays mambo yanapungua.
Wachungaji wao wawape darasa kuwa waache chuki za kidini, ni nadra humu muislam kuanza mada ya dhahiri ya kushambulia ukristo. Wakristo ni watu wa matusi na dhiaka juu ya uislam, chuki za kidini na ukabila ni mbaya sana sana kama zikiachwa ziendelee, nchi kama Rwanda yalitokea mahuaji kisa chuki za kidini na ukabila, afrika ya kati pia ivyoivyo,


Tuache huu upuuzi, mitaani mbona wote tunaishi pamoja waislam na wakristo na wapagani pia.
 
Kwanza hamna mstari hata mmoja wa Quran ulioandika kwenye huo uongo wako Kausome uislam uujue hata wenzako waliosilimu walikuwa na maneno kama yako ila baada ya kuusoma uislam waliachana na ukafiri na propaganda zake.
 

Naona tuhamie zile za masai. Inawesa dumisha mila
😛
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…