Wakristo waliotokea mikoa isiyo na Waislam wengi wana uelewa potofu juu ya Uislam na Waislam

Wakristo waliotokea mikoa isiyo na Waislam wengi wana uelewa potofu juu ya Uislam na Waislam

Kinacho wasumbua sana ni chuki na wivu wamaendeleo ya uislamu na waislamu, Ushirikina ni mwingi katika ukatoliki ila hausemwi.

Kuna schoolmate wangu muislamu alimaliza form four ana elimu ya madrasa nzuri tu karibu juzu 10, kwenye kampuni yake kaajiti wakuristo 8, wenye degree mbalimbali moja ni muhasibu ana CPA na waislamu wa 3, ila wale wa kuristo wanamsema vibaya wanatamani afe, ila kila ukicha mali zake zinaongezeka. Wamefanya ushirikina mpaka basi tu.......hao watu hawapendi wsislamu hata ufanye wame kiasi gani.
Wakristo ni Wakatoliki tu? pia tambua kuwa ushirikina ni Mtu binafsi na siyo dhehebu na wala Kanisa Katoliki haliwezi kuwa na chuki na uislamu.
 
Kuna utofauti kwa sababu kwenye mafundisho ya ukristo sidhani kama kumeelezwa kwamba Mungu kaumba malaika,majini na binaadamu. Mkristo anapomzungumzia jini anakusudia kiumbe malaika aliyeasi na si kwamba kuna aina nyengine ya kiumbe tofauti na malaika au binaadamu. Waislamu mafundisho yao hueleza kuwa Mungu kaumba malaika,majini na binaadamu.
Hivi kuna kiumbe ambacho hakikuimbwa na Mungu.
 
Waislami hata wakisoma hawaelimiki hawastaarabiki sijui ni kwa Nini?

Hawezi kujudge mambo kwa logic
Dini yao Haiwafundishwi Upendo
Wao ni kuuana tu na ugaidi
Mbona hawaja kuuwa ww na ndugu zako?
 
Katika safari yangu ya masomo na kazi, nimekutana na watu wengi, nilichojifunza

Wakrito waliotokea mikoa ambayo haina waislam wengi, wanauelewa potofu juu ya Uislam na Waislam.

Wanawaona kama wako Backwards au wakizamani.

Wapo wanaoamini ukimuona Sheikh kafunga ndevu bas ujue anamajini 12

Wapo wanaodhani huwezi kuutenganisha uislam na majini

Lakini Kubwa zaidi, baadhi wanachuki na Waislam kabisa. Wengi zaidi ni wale wa mikoa ya Kaskazini au Nyanda za juu kusini.

Tofauti na wakristo waliokulia mikoa ya Pwani au yene mchanganyiko mkubwa na Waislam hawana shida kabisa.
Twende mbele turudi nyuma suala la dini ni kawaida kumuona amabye sio ya dini yako kama mtu aliepotea

Na hii kawaida ya mwamba ngoma, ila kusema mtu anakuchukia kisa wewe dini hiyo nakataa ni mtazamo tu wa mtu

Kuna watu wanachukiana huko kwenye taasisi ya dini moja tena wote wazoefu kabisa sembuse dini baki


Nadeclare mimi ni mmoja ya watu ambao nimekulia kwenye maeneo ya wakristo wengi na msikiti ni wa kutafuta kwa tochi karibu mji mzima, lakini mpaka kesho tuliosoma nao waislamu kwa wakristo hatukuwahi kubaguana ukiachana na matani ya hapa na pale kwenye udini ambacho ni kitu cha kawaida kutambiana

Mpaka kesho kutwa tupo vizuri na tunapeana michongo, hiyo chuki inatokea wapi????

Itatokea kwa mtu mwenye mitazamo ya kipuuzi pekee na sio eneo analotoka
 
Kuna sehemu nyingine ukiwa muislamu watu wanakushangaa na kukuona kama mtu uliyepotea kiimani.
 
Hivi kuna kiumbe ambacho hakikuimbwa na Mungu.
Issue ni kwamba katika mafundisho ya wakristo hayasemi kuwa Mungu aliumba majini kama kiumbe tofauti na malaika. Waislamu mafunzo yao yanaeleza kuwa Mungu aliumba majini.
 
Hata ukiugeuza huu uzi usomeke hivi
"Waislamu waliotokea mikoa isiyo na wakristo wengi wanauelewa mdogo juu ya ukristo" bado inaleta maana..

Kiufupi dini zenu zote mbili mnashindana sana na hua nashindwa kuelewa mnashindania nini?
Yaani bifu ni kati ya hizi dini mbili tu. Dini nyingine wala. Kuna shida kwenye hizi dini 2.
 
Hapo kwenye swala tano hapo. Binafsi naona ni kusababisha noise polution kwa wakazi wanozunguka misikiti. Wee wanaanza kuita na ma loudspeakers lugha ambayo wala jamii inayozunguka hawaijui. Wanarudia maneno yale yale kwa muda wa nusu saa. Wanaharibu usingizi wa watu. Yaani mkiwa na watoto au wazee karibu na msikiti ni janga. Wanapiga kelele muda ambao kisheria siyo reasonable hours yaani kuanzia saa 12 asubuhi mpaka saa 12 jioni.
Sijui ni aya gani ambayo inawaambia mkiwasumbua wengine kwa makelele ya kurudia rudia kwa lugha isiyoeleweka ndiyo unapata thawabu.
Sio misikiti tu. Mimi nipo jirani na kanisa la EAGT, yaani wakianza kulia usiku wanakera. Najiuliza , hivi wanaliaga nini kila siku. Makelele mtindo mmoja
 
Huku ruvuma nenda sehemu inayoitwa mbinga, vijiji vya huko kukuta muislamu ni ngumu Sana.

Wao wanaamini nchi yote iko hivyo kumbe Kuna sehemu waislamu ni majority
Hata Songea vijijini, baadhi ya vijiji iko hivyo.
 
Huo sio uelewa mdogo, ndo uelewa sahihi.
Ongezea hao wanaofuga madevu na kujitanda ninja ukipanda nao basi moja hawachelewi kujilipua, kingine wanapenda ngono sana kuoa vitoto under 18, wana roho mbaya, wanashirikiana na majini mapepo
Leo hii bunge la Iraq linajadili ili kupunguza umri wa mtoto wa kike aweze kuolewa kuanzia miaka 9. Yale yale ya Mtume Muhammad na kale katoto Aisha hadi akakaoa.
 
Kaskazini tena, huku kijijini ni kweli yaani wakiskia muislam basi watakuogopaa.Utaskia usmchezee yule ni muislam eti😁😁
Sema kwa kuwa tulisoma kdogo na kuishi nao , tunawajua ni watu wazuri sana...tena mno ..
Meku Umepata Mchumba Shehe ??
 
Sasa hizi chuki hata mimi huwa sizipendi kama wewe ni muslim nashukuru kuona namna gani unazidi kuleta amani kama mmoja wao.
Zamani chuki zilikuwepo nowdays mambo yanapungua.
Wachungaji wao wawape darasa kuwa waache chuki za kidini, ni nadra humu muislam kuanza mada ya dhahiri ya kushambulia ukristo. Wakristo ni watu wa matusi na dhiaka juu ya uislam, chuki za kidini na ukabila ni mbaya sana sana kama zikiachwa ziendelee, nchi kama Rwanda yalitokea mahuaji kisa chuki za kidini na ukabila, afrika ya kati pia ivyoivyo,


Tuache huu upuuzi, mitaani mbona wote tunaishi pamoja waislam na wakristo na wapagani pia.
 
KANISANI HUWA QURAN HAITAMBULIWI WALA KUZUNGUMZIWA SABABU NI KITABU CHA KISHETANI. UMESOMA SATANIC VERSES CHA SALMAN RUSHDIE?

Hili neno chuki naona ndo siku hizi Sheikh Kitinku aliwafundisha kutumia kujilaghai. Hujasema uongo ni upi. Sababu hujui hata Quran yenyewe unajibishia na mistari ipo hapo. Je Muddy hakubaka katoto ka miaka 9?
Kwanza hamna mstari hata mmoja wa Quran ulioandika kwenye huo uongo wako Kausome uislam uujue hata wenzako waliosilimu walikuwa na maneno kama yako ila baada ya kuusoma uislam waliachana na ukafiri na propaganda zake.
 
Kwani mkuu sie waafrika mavazi yetu yenye kutambulisha tamaduni zetu ni yapi? Usipovaa hizo kanzu na baibui utavaa mavazi ya jamii zengine tu.
Nachojua haya mambo ya tamaduni huingiliana na ndio maana waislamu hao ndio hula sana vyakula vyenye asili ya wahindi.

Naona tuhamie zile za masai. Inawesa dumisha mila
😛
 
Back
Top Bottom