Wakristo waliotokea mikoa isiyo na Waislam wengi wana uelewa potofu juu ya Uislam na Waislam

Ndio ndio mkuu
Kwahiyo tatizo ni tafsiri ya ugaidi ndio imebadilika huko zamani hadi Mandela ambaye hakuwa muislamu ila aliwahi kuitwa gaidi, ila siku hizi ugaidi imekuwa ni neno ambalo hutumika kwa uhalifu ambao unafanywa na muislamu tu na kama si muislamu basi uhalifu huo utaitwa kwa jina lengine.
 
"Wapo wanaosema huwezi kutenganisha uislam na majini".

Likitokea tukio la mauzauza utasikia "tulikutana na mtu mreefu kavaa kanzu" huu msemo hauko kwa bahati mbaya.
Wakristo wa jamii zengine huko mfano wazungu wao hawana sana stori za majini wao ni habari za Aliens, hata wakiona mauzauza kuona kiumbe cha ajabu huita alien hukuti wanahusisha waislamu na majini. Sasa sijui labda majini wa ulaya huko sio waislamu.
 
Hebu iongelee pemba unguja na lindi tupate kujua kuhusu waislamu wa huko na maoni yao kuhusu ukristo?
 
Kijijin kwetu huku usukuman ukisema kuwa wewe ni mwisilam watakushangaa sana na mara zote watajua kuwa wewe ni mchawi au mganga wa kienyeji

Huku kwetu hakuna waislam kabisa waislam mimi nimekuja kuwakuta huku mjini
Ni mji uliopo wewe,au kijiji gani ulichopo wewe ambacho hakuna waislamu kabisa?
 
wewe unawezaje kuutenganisha uislamu na majini? wakati mnahubiri kuwa kuna majini wema na wabaya, na kuna namna ya kuwaita hao majini mkaishi nao
Katika hilo la Majini Wakristo na Waislam wanafanana. Majini ni viumbe, katika viumbe kuna wema na wabaya. Hata wakristo wanahubiri kuhusu majini ila wao huwatumii jina la "majini" bali "mapepo" hata wakristo wanahubiri kuwa kuna "mapepo" wema (malaika) na mapepo wabaya.
Mungu aliumba vyote, vinavyo onekana na visivyo onekana.
Kwenye namna ya kuishi nayo na jinsi ya kuyatumikisha hapo ndiyo wanatofautiana.
 
Nimeamini watu ni waongo na hizo ndio mada mnadanganyana huko,
Kwa mfani, maria qibtiyyah alikua mie wa Mtume, na walipata mtoto mmoja,
Si mchepuko kama unavyotaka kuaminisha watu,
Jidanganye wewe na maamuma wenzio. Huyu alikuwa mtumwa
Mary the Copt (Arabic: مارية القبطية Mariyah Al-Qibtiyah‎), also known as Maria Qubtiyya, was one of the concubines/sex slaves of the prophet Muhammad. Although she is considered an umm al-mu'minin أم ألمؤمنين (Mother of the Believers) she was never actually the wife of the prophet according to the accepted historical sources by orthodox Sunni Islam.[1][2] The Muslim academic scholar Jonathan Brown has examined in detail the evidences cited by modern writers who believe Muhammad married Mariyah, but found in each case that the source was "both extremely rare and unreliable, or it is ambiguous"
 
Inasikitisha sana mkuu
 
Waislamu waongo. Wewe ni muongo. Mapepo/majini ni machafu hakuna wema. Ndo maana Wakristo wanawatoa.nyie waisilamu hao ni ndugu zenu. Walisilimu baada ya Muhamad. Na msikitini mnawasalimia kabla ya swala. Majini ni wachafu hakuna wema wala wazuri. Ni malaghai.
 
Muhamad alihalalishiwa Kutumia aina mbalimbali ya wanawake kingono na allah. Aliruhusiwa na alipenda sana ngono.

Suratul Al Ah'Zab 50: Ewe Nabii! Tumekuhalalishia wake zako ulio wapa mahari yao, na ulio wamiliki kwa mkono wako wa kulia katika alio kupa Mwenyezi Mungu, na mabinti ami zako, na mabinti wa shangazi zako, na mabinti wa wajomba zako, na mabinti wa dada za mama yako walio hama pamoja nawe; na mwanamke Muumini akijitoa mwenyewe kwa Nabii, kama mwenyewe Nabii akitaka kumwoa. Ni halali kwako wewe tu, si kwa Waumini wengine. Sisi tunajua tuliyo wafaridhia wao katika wake zao na wanawake ilio wamiliki mikono yao ya kulia. Ili isiwe dhiki kwao. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu.
 
Nadhani wana hoja maana sijawahi kusikia jini anaitwa Eliza au Janeth, mostly majina yao ndiyo yale yale na sijawahi kuona aya za Biblia zikitumika kwaajili ya kuagua but mostly utasikia ni surat.......
Kingine sijawahi kusikia gaidi akiitwa Anthony, Erick n.k. ila majina yanayohusika ni yale yale, kwa muktadha huo nadhani unaweza ukaona wapi wanapata locus ya kuona kuwa upande huo mara nyingi unakuwa unanasubishwa na mambo meusi na ya hatari.
Kwahiyo mpaka uje umuaminishe kuwa sio wote ni wa hivyo inachukua muda kubadilisha dhana ambayo imewakuza juu ya imani hiyo.
Binafsi sikuwahi kujua kuwa kuna kitu kinaitwa kurogwa sijui kutupiwa Mnyama and the alike kabla sijaanza kuwakula mabinti wavaa hijabu maana katika story unakuta binti anakuhadithia visanga vinavyotokea kwenye familia na ukoo wao mpaka unaona hapa nimepotea njia na soon nitakuwa Zombie.
 
Waislami hata wakisoma hawaelimiki hawastaarabiki sijui ni kwa Nini?

Hawezi kujudge mambo kwa logic
Dini yao Haiwafundishwi Upendo
Wao ni kuuana tu na ugaidi
 
What funny is watz wanatambiana dini walizoletewa na wakoloni wao. Lini mtaamka kutoka huko?
 
Haha yani ni wazi kabisa ww mwenyewe unajua umeandika uongo juu ya Mtume
Muhammad(SAW) kutokana na chuki dhidi ya Uislam.Lakini ndivyo ulivyofundishwa kanisani so nakushauri kamsome Mtume vizuri kwa akili yako na si hii ya kushikiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…