eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,214
- 15,853
Mkuu mm in mkristo ila hata makanisa ya kilokole ni kero we fikiria wanavyopiga mziki usiku kucha huoni kwamba ni kero. Mfano hapa napokaa kuna kanisa LA kilokole wanapiga mziki na maombi mpaka wanakesha wamekuwa kero
Pole sana kaka. Hao ni rahisi kuwasitisha. Nenda kwa mwenyekiti wa mtaa. Atamalizana nao.