Wakristo waliotokea mikoa isiyo na Waislam wengi wana uelewa potofu juu ya Uislam na Waislam

Wakristo waliotokea mikoa isiyo na Waislam wengi wana uelewa potofu juu ya Uislam na Waislam

Mkuu mm in mkristo ila hata makanisa ya kilokole ni kero we fikiria wanavyopiga mziki usiku kucha huoni kwamba ni kero. Mfano hapa napokaa kuna kanisa LA kilokole wanapiga mziki na maombi mpaka wanakesha wamekuwa kero

Pole sana kaka. Hao ni rahisi kuwasitisha. Nenda kwa mwenyekiti wa mtaa. Atamalizana nao.
 
Katika safari yangu ya masomo na kazi, nimekutana na watu wengi, nilichojifunza

Wakrito waliotokea mikoa ambayo haina waislam wengi, wanauelewa potofu juu ya Uislam na Waislam.

Wanawaona kama wako Backwards au wakizamani.

Wapo wanaoamini ukimuona Sheikh kafunga ndevu bas ujue anamajini 12

Wapo wanaodhani huwezi kuutenganisha uislam na majini

Lakini Kubwa zaidi, baadhi wanachuki na Waislam kabisa. Wengi zaidi ni wale wa mikoa ya Kaskazini au Nyanda za juu kusini.

Tofauti na wakristo waliokulia mikoa ya Pwani au yene mchanganyiko mkubwa na Waislam hawana shida kabisa.
Inferiority complex
 
wewe unawezaje kuutenganisha uislamu na majini? wakati mnahubiri kuwa kuna majini wema na wabaya, na kuna namna ya kuwaita hao majini mkaishi nao
Lakini la ajabu hayo majini yana tolewa kanisani tena mbele ya madhabahu na sio msikitini, na hapo ndipo mnapo onesha rangi zenu
 
Machame na Weruweru ni shule za serikali zinapokea watu wote
Majority wa ukanda huo, na pia haipo limited kwa hizo Shule Tu hadi mwika nimeona mapepo na mabinti kulala na kuamka wakiwa uwanjani. Matroni anaombea mapepo kila siku.
 
Kinacho wasumbua sana ni chuki na wivu wamaendeleo ya uislamu na waislamu, Ushirikina ni mwingi katika ukatoliki ila hausemwi.

Kuna schoolmate wangu muislamu alimaliza form four ana elimu ya madrasa nzuri tu karibu juzu 10, kwenye kampuni yake kaajiti wakuristo 8, wenye degree mbalimbali moja ni muhasibu ana CPA na waislamu wa 3, ila wale wa kuristo wanamsema vibaya wanatamani afe, ila kila ukicha mali zake zinaongezeka. Wamefanya ushirikina mpaka basi tu.......hao watu hawapendi wsislamu hata ufanye wame kiasi gani.
Hiyo stori ya kutunga, hamna mtu mwenye akili timamu anaweza kumuombea bosi wake njaa
 
Waisalma gani wana maendelao,hivi jamii ambayo ina watu ambao hawajasoma watakuwa na maendeleo gani zaidi ya umbea.
Hakuna mkoa hata mmoja wa waisilamu majority unasumbuliwa na utapiamlo, ila nyie the so called matajiri na wenye elimu mpaka leo tatizo dogo kama utapiamlo mnashindwa pambana nalo?

Watu wengi wa Pwani wana uchumi mzuri na wana elimu, Exposure na kujielewa.
 
Hao wanawaoneshea kile wamekibeba wakristo mnaoish nao, waislam ni jamii ngumu kuish nayo waislam ni kama mtoto wa mwisho , anajiona anastahili Kila kitu ila wengine hawastahili hata kdg , na ndio maana UKITAKA ish kama waislam bas mtauana tu , mawaidha ya Kiislam yamekaa kichochez sana
Waisilam ni jamii ngumu kuishi nayo lakini cha kushangaza mmejazana kwenye mikoa yao.
 
Mmmm
ukweli mchungu kwa hapa Tanzania uislamu ndio umewafelisha makabila ya mjini

kama wazaramo, wandengereko wasingekuwa waislamu leo hii wangekuwa hawashikiki kwa maendeleo.

ardhi yote ya dar es salaam ni mali ya babu zao. uhuru umepiganiwa mitaani kwao.

ila sababu uislamu uluwafanya wakomae na madrassa kukariri quran na kuachana na shule za formal education. wakaishia kuwa wajinga na kukosa fursa nyingi sana huku quran haijawapa fursa nyingi
Asilimia 75 ya watu waliko kusini mwa jangwa la Sahara ni wakirsito lakini ndo sehemu masikini kuliko sehemu yeyote ulimwenguni.
 
Waisalma gani wana maendelao,hivi jamii ambayo ina watu ambao hawajasoma watakuwa na maendeleo gani zaidi ya umbea.
Cha kushangaza ndo wamiliki wakubwa wa sekta zote za kiuchumi kuanzia viwanda , makampuni makubwa, michezo alafu nyinyi mlio soma ndo vibarua wao kwenye viwanda vyao.
 
wewe unawezaje kuutenganisha uislamu na majini? wakati mnahubiri kuwa kuna majini wema na wabaya, na kuna namna ya kuwaita hao majini mkaishi nao
Tatizo huwa kuna kuchanganya kati ya majini na malaika waovu, ni vitu viwili tofauti. Sasa mtu ambaye anaamini malaika muovu ndio jini ukija ukamwambia kuna jini mwema hawezi kukuelewa.

Waislamu wanapozungumzia majini huzungumzia viumbe wengine kabisa ambao si binaadamu wala malaika, ila wakristo wanazungumzia majini wanakusudia malaika ambao wameasi.
 
ukweli mchungu kwa hapa Tanzania uislamu ndio umewafelisha makabila ya mjini

kama wazaramo, wandengereko wasingekuwa waislamu leo hii wangekuwa hawashikiki kwa maendeleo.

ardhi yote ya dar es salaam ni mali ya babu zao. uhuru umepiganiwa mitaani kwao.

ila sababu uislamu uluwafanya wakomae na madrassa kukariri quran na kuachana na shule za formal education. wakaishia kuwa wajinga na kukosa fursa nyingi sana huku quran haijawapa fursa nyingi
Kwahiyo unataka kusema wazaramo wamesoma sana elimu ya dini?

Binafsi wazaramo nawajua kwa sifa ya kupenda ngoma na shughuli kwa ujumla, kuuwa msingi wa biashara kwa sababu ya kufanyia sherehe sio issue kwao.
 
Christmass inakaribia. Mahubiri utakayokutana nayo msikitini ndio utagundua nani ana chuki na mwenzaje.

Pia usisahau kupitia kurusa za Mohammed Salah akiwa kajipost na familia yake wanasherekea Christmass halafu pitia comments.
 
Uko sahihi ila kuhusu majini pia wako sahihi
Mimi naona kwamba wakristo hawana elimu kuhusu hao viumbe majini, mengi wanayoyajua kuhusu majini ni yale ambayo yanaelezwa na waislamu. Sasa mkristo anachukua maelezo yenye kueleza sifa za viumbe majini anaenda kumpa sifa hizo wale malaika waovu hapo ndio lilipo tatizo.
 
Back
Top Bottom