Wakristo waliotokea mikoa isiyo na Waislam wengi wana uelewa potofu juu ya Uislam na Waislam

Kijijin kwetu huku usukuman ukisema kuwa wewe ni mwisilam watakushangaa sana na mara zote watajua kuwa wewe ni mchawi au mganga wa kienyeji

Huku kwetu hakuna waislam kabisa waislam mimi nimekuja kuwakuta huku mjini
Hata Mbeya tukuyu,mwakaleli na vijiji kibao mbeya ukionekana muislam wanajua jini kabisa coz hakuna muislam huko 🤣🤣😂😂
 
Ukisema majini ni viumbe vya shetani sasa huyo shetani ni kiumbe gani na majini ni viumbe gani?
Kwa mujibu wa biblia Mungu aliumba majini? Kama hajaumba hao majini walitokea wapi?
Walikuwa ni malaika ambao waliasi wakatupwa na Mungu pamoja na baba yao Shetani ambaye aliasi. Akiwa na jeshi lake ndo hao majini ambao walikuwa ni Makaika.
 
Mimi nashindwa kuelewa ni vp malaika waliyoasi wageuke majini yani wamekuwa na sifa za kimaumbile ambazo ni tofauti na malaika?
Jini hana umbile moja. Can change into anything. Majini ni viumbe vya Shetani.
 
Muhammad alizini na kijakazi
2. Muhammad alikuwa na changu doa
3. Muhammad alinyonya ulimi wa mwenzake
4. Muhammad alikuwa Mlevi
5. Muhammad alikuwa amerogwa
Wengi wenu labda hamkuwa mnazifahamu hizi siri ambazo Waislam wanazificha kila siku. Naam, naziita siri kwasababu huwa hawasemi huu ukweli wa Muhammad Mtume wa Allah.
MTUME MUHAMMAD ALIFUMANIWA NA KIJAKAZI WA MKEWE
Siku moja mtume (s.a.w) Alikuwa Nyumbani kwa Mkewe Hafsa bint Umar, Hafsa akaenda kwa Baba yake kumjulia hali, Mtume (s.a.w) alimwita Mjakazi wake bibi Mariya Alqbitiyya, akawa nae Chumbani, Aliporudi Hafsa Akasema Maneno makali kwa Mtume juu ya tendo hilo (s.a.w) Mtume akasema nakuhakikishia Kuwa: Kuanzia Leo Sitamwingilia tena, mjakazi wako.
(Tafsir Ibn Kathir J. 6 Uk. 367)
Je, huku kufumaniwa ndio sifa za kitume?
MTUME MUHAMAMD ALIKUWA NA CHANGU DOA
Sunan Abu-Dawud, Kitabu 38, Namba 4458: Amehadithia Ali ibn AbuTalib: "Mtumwa wa Kisichana ambaye alikuwa mali ya nyumba ya Mtume wa Allah aligawa Uroda kwa Rafiki ya Muhammad. Basi Nabii wa Allah akasema kwa Ali: Nenda na ukampe adhabu Muasherati wangu kwa kufanya Ngono bila ya ruhusa yangu. Ali akaharakisha kwenda alipo yule Mtumwa wa Kisichana wa Muhammad na kuona damu ilikuwa inatiririka kutoka kwake, na bila kuacha. Hivyo Muhammad alikwenda kwake na akasema: Mwache damu iendelee kutiririka mpaka itakopo simama; kisha mpe adhabu kwa mujibu wa dhambi yake".
Je, kuwa na chagu doa ni sifa ya kiutume?
MTUME MUHAMMAD ALINYONYA ULIMI WA AL HASSAN
Hadith Idadi 16,245: "maneno ya Washami," Hadith ya Mu'awiya Ibn Abu Sufyan": "Nilimwona Nabii wa Allah(saw) - akimnyonya ulimi na kulamba mdomo wa Al-Hassan Mwana wa Ali, Mwenyezi Mungu amrehemu, maana hakuna mtu atakaye teswa kwa Moto wa Jehannam baada ya kunyonywa ulimi na kulambwa midomo na Nabii wa Allah.
Mnaona tabia chafu ya Nabii wa Allah? Eti akikula denda na kukulamba midomo basi wewe huto kwenda Jehannam. Pia alisema, "Siku baadaye tuliomba muuguzi kwa ajili yake (Ali) lakini alikataa, basi tukamwita Nabii Muhammad - SAW -.ambaye alimnyonya ulimi "Ali" kwa kinywa chahe mpaka akalala. Hivi ndivyo Allah alivyo taka Ali afanyiwe na Nabii wake
Je, Muhammad kunyonya ulimi watu wa jinsia yake, ni sifa ya kitume?
MTUME MUHAMMAD ALIKUWA MLEVI
Sahihi Muslim 3753:'' Sisi tulikuwa pamoja na Mtume wa Allah, na Yeye Mtume wa Allah alikuwa na kiu na mtu mmoja akasema: Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu, Je, UNATAKA KUNYWA MVINYO? Mtume Muhammad akasema: NDIO. Basi yule Mtu alikwenda kuleta mvinyo. Mtume wa Allah akamwambia: Lete MVINYO ULIO MKALI ILI NINYWE; Basi Mtume wa Allah alipo kunywa ule MVINYO MKALI ALILEWA
Je, kula ulabu ni sifa ya kitume?
MTUME MUHAMMAD ALIKUWA AMEROGWA
Pia, kwa mujibu wa Sahih Bukhari juzuu ya 4, Kitabu cha 54, Hadithi namba 490 na Sahih Bukhari, juzuu ya 7, kitabu cha 71, hadithi namba 658; Muhammad alirogwa na akazurika na uchawi. Kisa cha mtume kurogwa na kuzurika na uchawi pia kinasimuliwa katika quran Tafsiri ya Sheikh Abdullah Saleh Al-Farsy ukurasa wa 977 na 978.
Je, kurogwa ni sifa ya utume?
 
Walikuwa ni malaika ambao waliasi wakatupwa na Mungu pamoja na baba yao Shetani ambaye aliasi. Akiwa na jeshi lake ndo hao majini ambao walikuwa ni Makaika.
Walikuwa au bado ni malaika? asili yao ni malaika au walibadilika na kuwa viumbe wengine tofauti na malaika?
 
Mkuu bado haujathibithibitisha kimaandiko kwamba kuna pepo wema ndio malaika, hapo umeonyesha Yesu akikemea mapepo ambao waliwaingia watu, ni wapi inaonyesha malaika ni mapepo?
 
Sasa ukikataa mapepo sio malaika utaweza kuleta andiko kwenye biblia kuonesha kuwa Mungu aliumba mapepo/majini?
Hakuna kitu kinaitwa pepo wema kwenye Bibilia mkuu, kwenye Bibilia kuna malaika ambao wako upande wa Mungu, wanaitwa Malaika sio mapepo wema, hicho kitu cha mapepo/majini wema wanacho waislamu
 
Usukumani sehemu gani wilaya na kijiji gani kwenu, huenda unaishi mbuga za wanyama, hamna kijiji usulumami kisio kua namskiti.
Vipo Vijiji vingi tu hakuna muslims ukiingia mbeya ndani yuko mwakaleli,tukuyu nk,ukija iringa ndani huko udzungwa shuleni kule hukuti muslims na vijiji vingi sana mikoani hata rukwa huko
 
wewe unawezaje kuutenganisha uislamu na majini? wakati mnahubiri kuwa kuna majini wema na wabaya, na kuna namna ya kuwaita hao majini mkaishi nao
Hiyo yakua unaweza kuwaita na kuishi nao umeitoa kwenye Aya ipi ya Qur an au HADITH ili na mimi niweze kuwaita na kuishi nao.
Kuwepo wazuri na wabaya ni sawa sawa na wanaadamu wapo wazuri na wabaya.

Wapo watakao ingia peponi na wapo watakao kusanywa pamoja na makafiri wa kibin Adam na mawe wakawe Kuni za Jahannam
 
Huku ruvuma nenda sehemu inayoitwa mbinga, vijiji vya huko kukuta muislamu ni ngumu Sana.

Wao wanaamini nchi yote iko hivyo kumbe Kuna sehemu waislamu ni majority
Hata njombe,mbeya,iringa ndani huko hukuti muslims🤣🤣😂😂
 
mkuu mbona kuna mabandiko mengi tu humu yakielekeza namna unavyoweza kuyaita majini na kuishi nayo
 
Kwamba Mkuu unataka kusema kuna kombe linaandikwa kwa kutumia aya za Injili au Zaburi?
Kingine ubaguzi wa waziwazi unaofanywa na imani hiyo umewafanya wengi kuwaona kama watu wasiostaarabika kwa kuheshimu imani za wengine, kitendo cha kuwaita Makafiri wale wasio waumini wa dini ya Kiislamu na kitendo cha kujiona kuwa mna hatimiliki ya kuchinja vitoweo na kujinasibisha waziwazi kuwa akichinja wa imani nyingine inakuwa kibudu ni ukosefu wa uungwana.
Jamii inayoheshimu haki za Binadamu na usawa kwa watu wote hawawezi kuchangamana na imani inayochochea ubaguzi na kutweza utu wa watu wengine.
 
Hakuna kitu kinaitwa pepo wema kwenye Bibilia mkuu, kwenye Bibilia kuna malaika ambao wako upande wa Mungu, wanaitwa Malaika sio mapepo wema, hicho kitu cha mapepo/majini wema wanacho waislamu
Waislamu hawasemi mapepo bali majini na kwa mafundisho ya waislamu majini ni viumbe waliyoumbwa na Mungu ukiacha malaika na binaadamu, wakristo ndio wanawaita hao majini kuwa ni malaika waliyoasi na kuwa ndio mapepo.

Tofauti inaanzia kwamba aliyeasi kwa mujibu wa waislamu alikuwa ni jini na si malaika kwa sababu malaika huwa hamuasi Mungu, ila kwa mujibu wa wakristo aliyeasi ni malaika. Sasa sijaelewa ikawaaje hao malaika waliyoasi wakaja kuitwa majini?
 
Hakuna kitu kinaitwa pepo wema kwenye Bibilia mkuu, kwenye Bibilia kuna malaika ambao wako upande wa Mungu, wanaitwa Malaika sio mapepo wema, hicho kitu cha mapepo/majini wema wanacho waislamu
Kwenye Uislamu hakuna pepo wema, Wala Ibilisi wema, Wala kinyamkera mwema. Wala shetani mwema. Usipotoshe.
Mungu aliumba viumbe wengi sana wengine Wala hatuwafamu.
Malaika wameumbwa kumtii Mungu tu hanahiari Wala hawakupewa utashi wa kumuasi. Wanaadamu na Majini wameonyeshwa Jema na Baya na matokeo kufuata kati ya Jema na Baya na mwisho wakapewa UTASHI wa kuchagua. Utachagua MOTO au PEPO ?
 
Nachosema ni kwamba aya za Zaburi hutumika kurogea, kwamba unaweza ukaroga kwa kutumia Zaburi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…