Wakristo waliotokea mikoa isiyo na Waislam wengi wana uelewa potofu juu ya Uislam na Waislam

Wakristo waliotokea mikoa isiyo na Waislam wengi wana uelewa potofu juu ya Uislam na Waislam

Lakini Kubwa zaidi, baadhi wanachuki na Waislam kabisa. Wengi zaidi ni wale wa mikoa ya Kaskazini au Nyanda za juu kusini.

Hayo maneno yako hapo 👆 juu ni kinyume chake.

Note: Mimi udogo wangu nimekuwa kwenye nchi yenye waislam wengi na nimecheza sana misikitini...baba yangu mkubwa ni Shekhe mkubwa sana hilo eneo nililokulia..

1. Ni kweli tupu kuwa Mwislam anamchukia sana Mkristo...mfano huyo baba yangu mkubwa zaidi ya miaka 30+ hajawahi kumpenda mdogo wake wala familia kisa tu ni aliingia Ukristo ..hadi kesho amejaa chuki nzito sana.

2. Ni ukweli mtupu Mkristo kuingia msikitini ni najisi sawa na mbwa akiingia msikitini.

3. Ukweli mchungu...mkristo ni mtu mwenye upendo sana hasa akiweza kumshawishi Mwislam aje ibadani anafurahi sana.

4. Kati ya hizi dini 2 nchi za Kiislam huwatesa sana Wakristo na hata kuchoma moto makanisa...je umeshuhudia mara ngapi misikiti ikichomwa moto?
sanalii
Wakristo wa jamii forums huwa mnafurahisha
Achana na huko kwenu hapa jamiiforums ni fullproof

Ila wewe unasema uislam ndiyo wenye chuki na wakristo ni watu wa upendo huku ni kujidanganya mkuu(huu ni uongo mliokaririshwa ili ku-justify chuki mliyonayo)

Nyie wakristo mnachuki kubwa juu ya uislam hapa jukwaani na duniani kote ni wazi na inaonekana, hii ni kutokana na mafundisho potofu mnayopewa juu ya uislam na nyie kukariri uongo huo na kuuamini.
 
Hata hivyo waganga wengi ni waislamu na wanaodondoka na majini shuleni wengi ni watoto wa kike wa kiislamu. Uislamu na majini hautenganishwi
 
Sababu ndio zipo huku kwetu, Tanzania tuna uhaba sana wa habari za Nje Africa na Nchi za Magharibi.

Ukifuatilia nchi ambazo Budhism/Hinduism zipo majority kuna tension kubwa tu nchi kama India, Myanmar na nchi nyengine za huo ukanda.
Tunazo taharifa nyingi zaidi kuhusu Islam na Christian sababu hawa ndiyo waliotutawala...

Kama Tungetawaliwa na Wachina na Wahindi, hapa leo ingekua battle ya Buddhsm na Hinduism..
 
Unataka kubisha kwamba koran sio kitabu cha majini? Na unajua wazi majini yana surah nzima yanatamba yao
Tarjuma ya Quran Tukufu kwa kiswahili

72.Surat Al-Jinn

Imeshuka MakkaIna aya 28

KWA JINA LA MWENYEEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU0

1. Sema: Imefunuliwa kwangu ya kuwa kundi moja la majini lilisikiliza,na likasema: Hakika sisi tumeisikia Qur'ani ya ajabu!1

2. Inaongoza kwenye uwongofu, kwa hivyo tumeiamini, wala hatutamshirikishayeyote na Mola wetu Mlezi.2

3. Na kwa hakika utukufu wa Mola wetu Mlezi umetukuka kabisa; hanamke wala mwana.3

4. Na kwa hakika wapumbavu miongoni mwetu walikuwa wakisema uwongoulio pindukia mipaka juu ya Mwenyezi Mungu.4

5. Nasi tulidhani kuwa watu na majini hawamzulii uwongo MwenyeziMungu.5

6. Na hakika walikuwako wanaume katika watu walio kuwa wakitafutakujikinga kwa wanaume wa kijini; kwa hivyo wakawazidisha madhambi.6

7. Na kwa hakika wao walidhani, kama mlivyo dhani nyinyi, ya kuwaMwenyezi Mungu hatamleta Mtume.7

8. Nasi tulizigusa mbingu, na tukaziona zimejaa walinzi wenye nguvuna vimondo.8

9. Na hakika tulikuwa tukikaa humo katika baadhi ya makao ili kusikiliza;lakini sasa anaye taka kusikiliza atakuta kimondo kinamvizia!9

10. Nasi hatujui kama wanatakiwa shari wale wanao kaa kwenye ardhiau Mola wao Mlezi anawatakia uwongofu.10

11. Na hakika katika sisi wamo walio wema, na wengine wetu ni kinyumena hivyo. Tumekuwa njia mbali mbali.11

12. Nasi tulijua kuwa hatutomshinda Mwenyezi Mungu duniani, walahatuwezi kumponyoka kwa kukimbia.12

13. Nasi tulipo usikia uwongofu tuliuamini. Basi mwenye kumuaminiMola wake Mlezi basi haogopi kupunjwa wala kudhulumiwa.13

14. Na hakika wamo katika sisi Waislamu, na wamo kati yetu wanaoacha haki. Basi walio silimu, hao ndio walio tafuta uwongofu.14

15. Na ama wanao acha haki, hao watakuwa kuni za Jahannamu.15

16. Na lau kama wangeli simama sawasawa juu ya njia tungeli wanyweshamaji kwa wingi,16

17. Ili tuwajaribu kwa hayo. Na anaye puuza kumkumbuka Mola wakeMlezi atamsukuma kwenye adhabu ngumu.17

18. Na hakika misikiti ni ya Mwenyezi Mungu, basi msimuabudu yeyotepamoja na Mwenyezi Mungu.18

19. Na hakika Mja wa Mwenyezi Mungu alipo simama kumwomba, wao walikuwakaribu kumzonga!19

20. Sema: Hakika mimi namwomba Mola wangu Mlezi, wala simshirikishiYeye na yeyote.20

21. Sema: Mimi sina mamlaka ya kukudhuruni wala kukuongozeni.21

22. Sema: Hakika hapana yeyote awezae kunilinda na Mwenyezi Mungu,wala sitapata pa kukimbilia isipo kuwa kwake Yeye tu.22

23. Ila nifikishe Ujumbe utokao kwa Mwenyezi Mungu na risala zake.Na wenye kumuasi Mwenyezi Mungu na Mtume wake, basi hakika hao watapataMoto wa Jahannamu wadumu humo milele.23

24. Hata watakapo yaona wanayo ahidiwa, ndipo watakapo jua ni nanimwenye msaidizi dhaifu, na mchache wa idadi.24

25. Sema: Sijui kama yapo karibu hayo mnayo ahidiwa, au Mola wanguMlezi atayawekea muda mrefu.25

26. Yeye ndiye Mwenye kujua ya siri, wala hamdhihirishii yeyote siriyake,26

27. Isipo kuwa Mtume wake aliye mridhia. Naye huyo humwekea walinzimbele yake na nyuma yake.27

28. Ili Yeye ajue kwamba wao wamefikisha ujumbe wa Mola wao Mlezi,na Yeye anayajua vyema yote walio nayo, na amedhibiti idadi ya kila kitu.28

hindio tafsiri ya surati jini.wewe unasikiatu kunasura inaitwa surati jini ujawai kuisoma .
 
Lakini la ajabu hayo majini yana tolewa kanisani tena mbele ya madhabahu na sio msikitini, na hapo ndipo mnapo onesha rangi zenu
Hayo majini allah katamka wazi kwenye koran kwamba yeye ndie anayatuma kanisani , sasa ulitaka wakristo wakubali ? Wasipambane na allah na majini yake?
 
Kuna schoolmate wangu muislamu alimaliza form four ana elimu ya madrasa nzuri tu karibu juzu 10, kwenye kampuni yake kaajiti wakuristo 8, wenye degree mbalimbali moja ni muhasibu ana CPA na waislamu wa 3, ila wale wa kuristo wanamsema vibaya wanatamani afe, ila kila ukicha mali zake zinaongezeka. Wamefanya ushirikina mpaka basi tu.......hao watu hawapendi wsislamu hata ufanye wame kiasi gani.
Wewe jamaa huwaga muongo muongo sana sometimes unaandika pumba sana,yaani unipe ajira mwisho wa mwezi unanilipa nakula na familia yangu tunashiba halafu mimi huyu huyu nikuroge tena?atanilipa nani siku ukiwa huna?ukifa nitaenda wapi kupata ajira nyengine?

Kwanini kujibunia tu hata ujinga unaandika ni nini unatafuta?likes?then what for?yaani unaandika ujinga tu na kama ni chuki hizo chuki unazo wewe.
 
Kinacho wasumbua sana ni chuki na wivu wamaendeleo ya uislamu na waislamu, Ushirikina ni mwingi katika ukatoliki ila hausemwi.

Kuna schoolmate wangu muislamu alimaliza form four ana elimu ya madrasa nzuri tu karibu juzu 10, kwenye kampuni yake kaajiti wakuristo 8, wenye degree mbalimbali moja ni muhasibu ana CPA na waislamu wa 3, ila wale wa kuristo wanamsema vibaya wanatamani afe, ila kila ukicha mali zake zinaongezeka. Wamefanya ushirikina mpaka basi tu.......hao watu hawapendi wsislamu hata ufanye wame kiasi gani.
Maendeleo yapi waislamu wanayo mpaka waonewe wivu?
 
Mimi nashukuru kwamba ni mtu ambaye naweza kusikiliza hoja za imani nyingine bila kuwa offended.
Mimi mkristo lakini 90% ya marafiki nilionao ni waislamu. Wananifunza mengi ya dini yao mengi hunivutia na pia nahisi nikioa ntaoa binti kutoka upande huo.
Wanawake wavaa manguo kibao na walivyowafupi wanakuwa kama visiki
 
Hakuna mkoa hata mmoja wa waisilamu majority unasumbuliwa na utapiamlo, ila nyie the so called matajiri na wenye elimu mpaka leo tatizo dogo kama utapiamlo mnashindwa pambana nalo?

Watu wengi wa Pwani wana uchumi mzuri na wana elimu, Exposure na kujielewa.
hawa ambao mabinti zao huzalia nyumbani? Hawa ambao hula moo mmoja kwa siku!
 
Tarjuma ya Quran Tukufu kwa kiswahili

72.Surat Al-Jinn

Imeshuka MakkaIna aya 28

KWA JINA LA MWENYEEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU0

1. Sema: Imefunuliwa kwangu ya kuwa kundi moja la majini lilisikiliza,na likasema: Hakika sisi tumeisikia Qur'ani ya ajabu!1

2. Inaongoza kwenye uwongofu, kwa hivyo tumeiamini, wala hatutamshirikishayeyote na Mola wetu Mlezi.2

3. Na kwa hakika utukufu wa Mola wetu Mlezi umetukuka kabisa; hanamke wala mwana.3

4. Na kwa hakika wapumbavu miongoni mwetu walikuwa wakisema uwongoulio pindukia mipaka juu ya Mwenyezi Mungu.4

5. Nasi tulidhani kuwa watu na majini hawamzulii uwongo MwenyeziMungu.5

6. Na hakika walikuwako wanaume katika watu walio kuwa wakitafutakujikinga kwa wanaume wa kijini; kwa hivyo wakawazidisha madhambi.6

7. Na kwa hakika wao walidhani, kama mlivyo dhani nyinyi, ya kuwaMwenyezi Mungu hatamleta Mtume.7

8. Nasi tulizigusa mbingu, na tukaziona zimejaa walinzi wenye nguvuna vimondo.8

9. Na hakika tulikuwa tukikaa humo katika baadhi ya makao ili kusikiliza;lakini sasa anaye taka kusikiliza atakuta kimondo kinamvizia!9

10. Nasi hatujui kama wanatakiwa shari wale wanao kaa kwenye ardhiau Mola wao Mlezi anawatakia uwongofu.10

11. Na hakika katika sisi wamo walio wema, na wengine wetu ni kinyumena hivyo. Tumekuwa njia mbali mbali.11

12. Nasi tulijua kuwa hatutomshinda Mwenyezi Mungu duniani, walahatuwezi kumponyoka kwa kukimbia.12

13. Nasi tulipo usikia uwongofu tuliuamini. Basi mwenye kumuaminiMola wake Mlezi basi haogopi kupunjwa wala kudhulumiwa.13

14. Na hakika wamo katika sisi Waislamu, na wamo kati yetu wanaoacha haki. Basi walio silimu, hao ndio walio tafuta uwongofu.14

15. Na ama wanao acha haki, hao watakuwa kuni za Jahannamu.15

16. Na lau kama wangeli simama sawasawa juu ya njia tungeli wanyweshamaji kwa wingi,16

17. Ili tuwajaribu kwa hayo. Na anaye puuza kumkumbuka Mola wakeMlezi atamsukuma kwenye adhabu ngumu.17

18. Na hakika misikiti ni ya Mwenyezi Mungu, basi msimuabudu yeyotepamoja na Mwenyezi Mungu.18

19. Na hakika Mja wa Mwenyezi Mungu alipo simama kumwomba, wao walikuwakaribu kumzonga!19

20. Sema: Hakika mimi namwomba Mola wangu Mlezi, wala simshirikishiYeye na yeyote.20

21. Sema: Mimi sina mamlaka ya kukudhuruni wala kukuongozeni.21

22. Sema: Hakika hapana yeyote awezae kunilinda na Mwenyezi Mungu,wala sitapata pa kukimbilia isipo kuwa kwake Yeye tu.22

23. Ila nifikishe Ujumbe utokao kwa Mwenyezi Mungu na risala zake.Na wenye kumuasi Mwenyezi Mungu na Mtume wake, basi hakika hao watapataMoto wa Jahannamu wadumu humo milele.23

24. Hata watakapo yaona wanayo ahidiwa, ndipo watakapo jua ni nanimwenye msaidizi dhaifu, na mchache wa idadi.24

25. Sema: Sijui kama yapo karibu hayo mnayo ahidiwa, au Mola wanguMlezi atayawekea muda mrefu.25

26. Yeye ndiye Mwenye kujua ya siri, wala hamdhihirishii yeyote siriyake,26

27. Isipo kuwa Mtume wake aliye mridhia. Naye huyo humwekea walinzimbele yake na nyuma yake.27

28. Ili Yeye ajue kwamba wao wamefikisha ujumbe wa Mola wao Mlezi,na Yeye anayajua vyema yote walio nayo, na amedhibiti idadi ya kila kitu.28

hindio tafsiri ya surati jini.wewe unasikiatu kunasura inaitwa surati jini ujawai kuisoma .
vipi kuhusu Satanic Verses
 
Hii kwetu nyanda za juu kusini ipo hasa wale wa kuacha macho tu wanaogopwa sana sijui ndug zangu wamawafikiriaje hahaha.
Mkuu acha tu wawaogope!

Kupigwa bomb na hujamchokoza mtu unaona jambo rahisi?hao wakichafukwa muda wowote wanakinukisha mimi nashauri watu wa mikoani waendelee kukaa nao kwa nukta.
 
Issue sio jini mzuri au mbaya ila ni kwamba kwa mujibu wa waislamu jini ni kiumbe kilichoumbwa na Mungu na kina utashi wa kufanya baya au zuri kama ilivyo kwa binaadamu hiyo ndio point ya msingi. Sasa issue ya kwamba malaika waovu kuitwa majini sijui ilikuaje hadi ikawa hivyo?

Kwa mustakabali huo ni kwamba jini = malaika. Anaweza kuwa mzuri au mbaya.
 
Katika safari yangu ya masomo na kazi, nimekutana na watu wengi, nilichojifunza

Wakrito waliotokea mikoa ambayo haina waislam wengi, wanauelewa potofu juu ya Uislam na Waislam.

Wanawaona kama wako Backwards au wakizamani.

Wapo wanaoamini ukimuona Sheikh kafunga ndevu bas ujue anamajini 12

Wapo wanaodhani huwezi kuutenganisha uislam na majini

Lakini Kubwa zaidi, baadhi wanachuki na Waislam kabisa. Wengi zaidi ni wale wa mikoa ya Kaskazini au Nyanda za juu kusini.

Tofauti na wakristo waliokulia mikoa ya Pwani au yene mchanganyiko mkubwa na Waislam hawana shida kabisa.
Hata waislamu wa pwani mwaka 2019 walinishangaza hapo chamazi ETI BROTHER MMOJA ALITAKA CHUMBA CHA KUPANGA AKAULIZWA DINI ALIPO SEMA NI MKRISTO MWENYE NYUMBA AKASEMA HAWEZI KUMPANGISHA MKRISTO ETI ATAKUA ANAPIGA KWAYA NA KULA KITIMOTO😂😂
 
Maendeleo yapi waislamu wanayo mpaka waonewe wivu?
Matajiri wote Tanzania top five kama siyo top ten ni wao pia wapo wengi kwa wanaojua wanasema 68% ni wao hizo 32% zilizobaki ni dini nyengine atheist included.

NB:Siyo maneno yangu,nilikatiza pale masjid Idrisa Kariakoo nikamsikia sheikh kwenye kipaza sauti anahanikiza kwa ukali tathmini hiyo.
 
Madras watoto wanafundishwa kuwachukia wakristo. Kuna watoto wakitoka madras,nafikiri wamelishwa sumu ya chuki.. wakamrushia sista wa RC maji machafu barabarani,wakaanza kumzomea (ilikuwa tanga,maeneo bombo hospital),2004.. nakumbuka vizuri tukio.
 
Matajiri wote Tanzania top five kama siyo top ten ni wao pia wapo wengi kwa wanaojua wanasema 68% ni wao hizo 32% zilizobaki ni dini nyengine atheist included.

NB:Siyo maneno yangu,nilikatiza pale masjid Idrisa Kariakoo nikamsikia sheikh kwenye kipaza sauti anahanikiza kwa ukali tathmini hiyo.
😂😂😂😂Hao matajiri ni wale wa nje waliokuja kuwekeza huku, zungumzia hawa waswahili wenzetu
 
Back
Top Bottom