Wakristo waliotokea mikoa isiyo na Waislam wengi wana uelewa potofu juu ya Uislam na Waislam

Ukweli ni kwamba Uislam unaambatana na itikadi flani hivi ambazo zinautata, nadhani shida inaanzia kwenye mafundisho ambapo asilimia kubwa ya wanawafundisha watoto madrasa kipindi cha nyuma walikua wana chuki dhidi ya makafili na hata mafundisho yalikuwa yakifundishwa kwa mihemko na hisia kali za chuki.

Hao watu sio bahati mbaya kua na mtizamo huo dhidi ya Uislam bali Uislam unastahili kuchukuliwa hivyo kwasababu ndio hali halisi
= makafiri.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Hivi hao waliyoshika dini(ukristo na uislamu) kiasi cha kuwa wavivu hawafanyi kazi wanategemea maombi tu wako wengi kiasi gani ukilinganisha na watu ambao hawajashika sana dini kiasi hiko ?
Mkuu naona shida yako ni kubishana, Mimi ubishi siuwezi .
ambao hawafuatilii kabisa mambo ya dini ili tuone uhalisia wa hayo madai ya dini kuwa sehemu ya sababu ya umasikini afrika?
Labda niseme hivi ndio utanielewa, Umasikini unachangiwa na vitu vingi ikiwemo Ujinga, Uvivu, Uzembe, Magonjwa, Upotofu wa dini, sababu za kisiasa, kiuchumi, kihistoria na nyinginezo.

NB: Nadhani tumeelewana sasa Mr Tz mbongo.
 
Katika safari yangu ya masomo na kazi, nimekutana na watu wengi, nilichojifunza

Wakrito waliotokea mikoa ambayo haina waislam wengi, wanauelewa potofu juu ya Uislam na Waislam.

Wanawaona kama wako Backwards au wakizamani.

Wapo wanaoamini ukimuona Sheikh kafunga ndevu bas ujue anamajini 12

Wapo wanaodhani huwezi kuutenganisha uislam na majini

Lakini Kubwa zaidi, baadhi wanachuki na Waislam kabisa. Wengi zaidi ni wale wa mikoa ya Kaskazini au Nyanda za juu kusini.

Tofauti na wakristo waliokulia mikoa ya Pwani au yene mchanganyiko mkubwa na Waislam hawana shida kabisa.
Mm

Tofauti na wakristo waliokulia mikoa ya Pwani au yene mchanganyiko mkubwa na Waislam hawana shida kab
Katika safari yangu ya masomo na kazi, nimekutana na watu wengi, nilichojifunza

Wakrito waliotokea mikoa ambayo haina waislam wengi, wanauelewa potofu juu ya Uislam na Waislam.

Wanawaona kama wako Backwards au wakizamani.

Wapo wanaoamini ukimuona Sheikh kafunga ndevu bas ujue anamajini 12

Wapo wanaodhani huwezi kuutenganisha uislam na majini

Lakini Kubwa zaidi, baadhi wanachuki na Waislam kabisa. Wengi zaidi ni wale wa mikoa ya Kaskazini au Nyanda za juu kusini.

Tofauti na wakristo waliokulia mikoa ya Pwani au yene mchanganyiko mkubwa na Waislam hawana shida kabisa.
Mimi mkrsto ila najua wapo ndugu zangu kabsaa Wana Imani potofu kabsaa dhidi ya waisalamu ,
 
Kinacho wasumbua sana ni chuki na wivu wamaendeleo ya uislamu na waislamu, Ushirikina ni mwingi katika ukatoliki ila hausemwi.

Kuna schoolmate wangu muislamu alimaliza form four ana elimu ya madrasa nzuri tu karibu juzu 10, kwenye kampuni yake kaajiti wakuristo 8, wenye degree mbalimbali moja ni muhasibu ana CPA na waislamu wa 3, ila wale wa kuristo wanamsema vibaya wanatamani afe, ila kila ukicha mali zake zinaongezeka. Wamefanya ushirikina mpaka basi tu.......hao watu hawapendi wsislamu hata ufanye wame kiasi gani.
Tuwaonee wivu gani wa kimaendeleo wakati hamna hata hospital moja ya kiislamu?
Kuanzia elimu, bidhaa, simu, mifumo ya elimu, ndege n.k wametengeneza wasiyo waislamu ambao wewe unawaita makafiri?
Hapo ulipo umetumia simu iliyotengenezwa na makafiri kuweka maoni yako kwenye platform iliyotengenezwa na makafiri halafu unaona kama kuna mtu au watu wanawaonea wivu waislamu😀😀😀😀😀
1. Zanzibar ikifika muda wa Ramadhan, mashekh na Maustadhi wanatembea na viboko kuchapa watu wanaokula hadharani. Funga yako inanihusu nini mimi? Mbona huku ambao kuna wakristo wengi hatulazimishwi kufunga pamoja nao?
2. Kuna video na audio nyingi za mikutano ya waislamu wakiuokosoa Ukristo. Unazijua. Ila wakristo wangefanya mikutano kuukosoa uislamu mngeanza kuwavamia na kuwaua
3. Kesi za wachungaji na viongozi wengi wa kikristo kumwagiwa tindikali na makanisa kuchomwa moto. Siku viongozi wa kiislamu wa uhamsho walipofungwa hii tabia ilikoma.
4. Kujifanya nyie watakatifu kuliko wengine na nyie wengi wenu kuwalazimisha watu wachache kufuata dini yako. Mfano Zanzibar. Unapanda ndege iliyotengenezwa na makafiri unaenda Macca kumponda mawe shetani huku unajiona wewe wa thamani sana na wengine makafiri😀😀😀
Huyo muislamu mwenzenu aliyesoma elimu ya madarasa angeajiri waislamu wenzao wenye elimu ya madrasa kufanya hiyo kazi na siyo kuchukua watu wenye elimu ya kikafiri kufanya kazi za kiislamu.
 
Katika safari yangu ya masomo na kazi, nimekutana na watu wengi, nilichojifunza

Wakrito waliotokea mikoa ambayo haina waislam wengi, wanauelewa potofu juu ya Uislam na Waislam.

Wanawaona kama wako Backwards au wakizamani.

Wapo wanaoamini ukimuona Sheikh kafunga ndevu bas ujue anamajini 12

Wapo wanaodhani huwezi kuutenganisha uislam na majini

Lakini Kubwa zaidi, baadhi wanachuki na Waislam kabisa. Wengi zaidi ni wale wa mikoa ya Kaskazini au Nyanda za juu kusini.

Tofauti na wakristo waliokulia mikoa ya Pwani au yene mchanganyiko mkubwa na Waislam hawana shida kabisa.
Huwezi kuutenganisha dini ya kiislamu na majini.
Wenye dini yao kwenye Quran kuna sura ya majini inayoitwa Al Jinn hata wao wanajua kuna majini mazuri na mabaya tena yanaswali msikitini hadi huko Macca na Madina kuna msikiti wa majini.
Tuwaonee wivu nini wakati mifumo yote ni ya makafiri? Mkiwa wachache ohh dini ya uislamu ni nzuri mkiwa wengi mnaanza kuchapa viboko watu wanaokutamanisha wewe ule
 
Mkuu naona shida yako ni kubishana, Mimi ubishi siuwezi .

Labda niseme hivi ndio utanielewa, Umasikini unachangiwa na vitu vingi ikiwemo Ujinga, Uvivu, Uzembe, Magonjwa, Upotofu wa dini, sababu za kisiasa, kiuchumi, kihistoria na nyinginezo.

NB: Nadhani tumeelewana sasa Mr Tz mbongo.
Kwahiyo kuhoji ni ubishi kwamba ulitaka nikubali tu huo mtazamo hata kama kwangu naona hauna uhalisia?

Mkuu watu tunatofautiana usikimbilie kuniona tu mbishi, wengine hatuishii kusoma na kuelewa tu bali tunataka kupata ukweli wa hicho tulichosoma.
Inawezekana ukawa sahihi ila sijaona hoja zenye hoja zenye kushawishi.
 
Huwezi kuutenganisha dini ya kiislamu na majini.
Wenye dini yao kwenye Quran kuna sura ya majini inayoitwa Al Jinn hata wao wanajua kuna majini mazuri na mabaya tena yanaswali msikitini hadi huko Macca na Madina kuna msikiti wa majini.
Tuwaonee wivu nini wakati mifumo yote ni ya makafiri? Mkiwa wachache ohh dini ya uislamu ni nzuri mkiwa wengi mnaanza kuchapa viboko watu wanaokutamanisha wewe ule
Ila kuna vitu mie bado vinanishangaza, yani kwanini kuna watu wanalazimisha kuwa majini ndio malaika waliyoasi ila wanakataa kuwa Issa sio Yesu?
 
Katika safari yangu ya masomo na kazi, nimekutana na watu wengi, nilichojifunza

Wakrito waliotokea mikoa ambayo haina waislam wengi, wanauelewa potofu juu ya Uislam na Waislam.

Wanawaona kama wako Backwards au wakizamani.

Wapo wanaoamini ukimuona Sheikh kafunga ndevu bas ujue anamajini 12

Wapo wanaodhani huwezi kuutenganisha uislam na majini

Lakini Kubwa zaidi, baadhi wanachuki na Waislam kabisa. Wengi zaidi ni wale wa mikoa ya Kaskazini au Nyanda za juu kusini.

Tofauti na wakristo waliokulia mikoa ya Pwani au yene mchanganyiko mkubwa na Waislam hawana shida kabisa.
This rolls boths sides

Hata waislamu wanauelewa tofauti kuhusu wakristo! Hivyo ni kawaida nafikiri kumuelewa mtu vibaya kama hujaidhi nae
 
Kwahiyo kuhoji ni ubishi kwamba ulitaka nikubali tu huo mtazamo hata kama kwangu naona hauna uhalisia?
Mtizamo gani huo ambao hauna uhalisia?
Mkuu watu tunatofautiana usikimbilie kuniona tu mbishi, wengine hatuishii kusoma na kuelewa tu bali tunataka kupata ukweli wa hicho tulichosoma.
Si kweli, ungekua unaelewa unachokisoma, ungekua na uwezo wa kujenga hoja, ningekutana na swali kama kivipi dini zimechangia umasikini?
Inawezekana ukawa sahihi ila sijaona hoja zenye hoja zenye kushawishi.
Hilo ni sahihi, sababu Kazi yangu sio kubadilisha watu wala kuwashawishi watu kua kama mimi, Hivyo hoja zangu hua maranyingi haziko kwenye mfumo wa kushawishi bali kuelekeza .

Ufahamu wako umeegamia sana upande wako yaani kila mjadala unaokwenda tofauti na Imani yako unahisi unalengo la kukushawishi kukutoa ulipo, Yaani kila anaekuelekeza unadhani anakushawishi kubadilika, mwisho unaishia kujenga hoja za kujitetea [Protection] mwisho ubishi .
 
Ila kuna vitu mie bado vinanishangaza, yani kwanini kuna watu wanazimisha kuwa majini ndio malaika waliyoasi ila wanakataa kuwa Issa sio Yesu?
Biblia ilianza kisha ikafuata Quran kwahiyo Yesu ni wa kwenye Biblia na Issa ni wa kwenye Quran.
Tafuta muda msome Yesu na Issa ndiyo utagundua hawa ni watu wawili tofauti na hawana uhusiano wowote
  • Yesu alizaliwa kwenye zizi la ng'ombe wakati Issa alizaliwa chini ya mtende jangwani
  • Yesu alibatizwa lakini Issa hakubatizwa
  • Yesu alisurubiwa, akatundikwa juu ya msalaba na siku ya tatu akafufuka lakini Issa hakusurubiwa wala hakufa. Kajisomee zaidi
Waislamu huwa wanalazimisha Issa ndiyo Yesu ila jibu ni HAPANA
 
Mtizamo gani huo ambao hauna uhalisia?

Si kweli, ungekua unaelewa unachokisoma, ungekua na uwezo wa kujenga hoja, ningekutana na swali kama kivipi dini zimechangia umasikini?

Hilo ni sahihi, sababu Kazi yangu sio kubadilisha watu wala kuwashawishi watu kua kama mimi, Hivyo hoja zangu hua maranyingi haziko kwenye mfumo wa kushawishi bali kuelekeza .

Ufahamu wako umebase sana kwamba kila mjadala unaokwenda tofauti na Imani yako unalenga kukushawishi kukutoa ulipo, Yaani kila anaekuelekeza unadhani anakushawishi kubadilika, mwisho unaishia kujenga hoja za ubishi.
Nimeuliza hao wenye imani kali ambao inafanya wanakuwa wavivu wenye kutegemea maombi hawafanyi kazi wako idadi gani ukilinganisha na wasiokuwa na imani kiasi hiko au wasiofuata imani? ili tuone uhalisia wa kwa vp na kwa kiasi gani dini inachangia umasikini afrika. Ila matokeo yake ukaniambia mie ni mbishi.

Basi sawa mkuu mie mbishi.
 
Biblia ilianza kisha ikafuata Quran kwahiyo Yesu ni wa kwenye Biblia na Issa ni wa kwenye Quran.
Tafuta muda msome Yesu na Issa ndiyo utagundua hawa ni watu wawili tofauti na hawana uhusiano wowote
  • Yesu alizaliwa kwenye zizi la ng'ombe wakati Issa alizaliwa chini ya mtende jangwani
  • Yesu alibatizwa lakini Issa hakubatizwa
  • Yesu alisurubiwa, akatundikwa juu ya msalaba na siku ya tatu akafufuka lakini Issa hakusurubiwa wala hakufa. Kajisomee zaidi
Waislamu huwa wanalazimisha Issa ndiyo Yesu ila jibu ni HAPANA
Sasa mbona wakristo wanalazimisha majini ndio malaika waliyoasi?
 
W
Nimeuliza hao wenye imani kali ambao inafanya wanakuwa wavivu wenye kutegemea maombi hawafanyi kazi wako idadi gani ukilinganisha na wasiokuwa na imani kiasi hiko au wasiofuata imani? ili tuone uhalisia wa kwa vp na kwa kiasi gani dini inachangia umasikini afrika. Ila matokeo yake ukaniambia mie ni mbishi.

Basi sawa mkuu mie mbishi.
Wingi si hoja, Hoja ni kwamba wako watu ambao dini imewatia umasikini.
 
Wingi ni hoja mkuu ikiwa madai yanasema dini ni moja ya sababu ya umasikini afrika, sasa kama ikiwa ni baadhi tu ya watu basi hata pombe na kamari vimewatia umasikini pia baadhi ya watu.
 
Huwezi kuutenganisha dini ya kiislamu na majini.
Wenye dini yao kwenye Quran kuna sura ya majini inayoitwa Al Jinn hata wao wanajua kuna majini mazuri na mabaya tena yanaswali msikitini hadi huko Macca na Madina kuna msikiti wa majini.
Tuwaonee wivu nini wakati mifumo yote ni ya makafiri? Mkiwa wachache ohh dini ya uislamu ni nzuri mkiwa wengi mnaanza kuchapa viboko watu wanaokutamanisha wewe ule

Duuu
So Majini ni uislam na uislam ni majini.
 
Wewe unakielewa kilatini kilichoandikwa kwenye bibilia yenu

Biblia zimetafsiriwa katika lugha nyingine nyingi kutia ndani kiswahili. Hilo ni jambo zuri kwa maana lugha inabadilika. Maneno huzaliwa hukua halafu hufa. Hata lugha ya kiarabu ambayo imeandikwa kwenye kiruwan, inapitwa na wakati. Ndiyo maana kiarabu hicho hata aliye muarabu hakielewi vizuri. Na kwa mtu ambaye si muarabu anabakia kukariri. Hivyo zile swala 5 mnazofanya. Hazitoki akilini wala moyoni, bali zinaimbwa kama kasuku. Au njiwa pori yule anayelia kuku kukukuku kuku kukukuku.
 
Wingi ni hoja mkuu ikiwa madai yanasema dini ni moja ya sababu ya umasikini afrika, sasa kama ikiwa ni baadhi tu ya watu basi hata pombe na kamari vimewatia umasikini pia baadhi ya watu.
Sahihi .
 
Biblia zimetafsiriwa katika lugha nyingine nyingi kutia ndani kiswahili. Hilo ni jambo zuri kwa maana lugha inabadilika. Maneno huzaliwa hukua halafu hufa. Hata lugha ya kiarabu ambayo imeandikwa kwenye kiruwan, inapitwa na wakati. Ndiyo maana kiarabu hicho hata aliye muarabu hakielewi vizuri. Na kwa mtu ambaye si muarabu anabakia kukariri. Hivyo zile swala 5 mnazofanya. Hazitoki akilini wala moyoni, bali zinaimbwa kama kasuku. Au njiwa pori yule anayelia kuku kukukuku kuku kukukuku.
Ina maana kweli hujui kama hata Qur'an imetafsiriwa kwa kiswahili pia? Labda nikuulize hivi biblia kutafsiriwa kwa kiswahili hiyo inafanya kila mwenye kujua kiswahili kuwa anaweza akajisomea tu biblia mwenyewe na ikatosha kuijua biblia?
 
Back
Top Bottom