FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
= ubarikiweUbalikiwe sana mtumish kwa kukimbia hiyo dini moton ndo ilikuwa sehemu yako
YESU ni mwema
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
= ubarikiweUbalikiwe sana mtumish kwa kukimbia hiyo dini moton ndo ilikuwa sehemu yako
YESU ni mwema
= makafiri.Ukweli ni kwamba Uislam unaambatana na itikadi flani hivi ambazo zinautata, nadhani shida inaanzia kwenye mafundisho ambapo asilimia kubwa ya wanawafundisha watoto madrasa kipindi cha nyuma walikua wana chuki dhidi ya makafili na hata mafundisho yalikuwa yakifundishwa kwa mihemko na hisia kali za chuki.
Hao watu sio bahati mbaya kua na mtizamo huo dhidi ya Uislam bali Uislam unastahili kuchukuliwa hivyo kwasababu ndio hali halisi
Mkuu naona shida yako ni kubishana, Mimi ubishi siuwezi .Hivi hao waliyoshika dini(ukristo na uislamu) kiasi cha kuwa wavivu hawafanyi kazi wanategemea maombi tu wako wengi kiasi gani ukilinganisha na watu ambao hawajashika sana dini kiasi hiko ?
Labda niseme hivi ndio utanielewa, Umasikini unachangiwa na vitu vingi ikiwemo Ujinga, Uvivu, Uzembe, Magonjwa, Upotofu wa dini, sababu za kisiasa, kiuchumi, kihistoria na nyinginezo.ambao hawafuatilii kabisa mambo ya dini ili tuone uhalisia wa hayo madai ya dini kuwa sehemu ya sababu ya umasikini afrika?
MmKatika safari yangu ya masomo na kazi, nimekutana na watu wengi, nilichojifunza
Wakrito waliotokea mikoa ambayo haina waislam wengi, wanauelewa potofu juu ya Uislam na Waislam.
Wanawaona kama wako Backwards au wakizamani.
Wapo wanaoamini ukimuona Sheikh kafunga ndevu bas ujue anamajini 12
Wapo wanaodhani huwezi kuutenganisha uislam na majini
Lakini Kubwa zaidi, baadhi wanachuki na Waislam kabisa. Wengi zaidi ni wale wa mikoa ya Kaskazini au Nyanda za juu kusini.
Tofauti na wakristo waliokulia mikoa ya Pwani au yene mchanganyiko mkubwa na Waislam hawana shida kabisa.
Katika safari yangu ya masomo na kazi, nimekutana na watu wengi, nilichojifunza
Wakrito waliotokea mikoa ambayo haina waislam wengi, wanauelewa potofu juu ya Uislam na Waislam.
Wanawaona kama wako Backwards au wakizamani.
Wapo wanaoamini ukimuona Sheikh kafunga ndevu bas ujue anamajini 12
Wapo wanaodhani huwezi kuutenganisha uislam na majini
Lakini Kubwa zaidi, baadhi wanachuki na Waislam kabisa. Wengi zaidi ni wale wa mikoa ya Kaskazini au Nyanda za juu kusini.
Tofauti na wakristo waliokulia mikoa ya Pwani au yene mchanganyiko mkubwa na Waislam hawana shida kab
Mimi mkrsto ila najua wapo ndugu zangu kabsaa Wana Imani potofu kabsaa dhidi ya waisalamu ,Katika safari yangu ya masomo na kazi, nimekutana na watu wengi, nilichojifunza
Wakrito waliotokea mikoa ambayo haina waislam wengi, wanauelewa potofu juu ya Uislam na Waislam.
Wanawaona kama wako Backwards au wakizamani.
Wapo wanaoamini ukimuona Sheikh kafunga ndevu bas ujue anamajini 12
Wapo wanaodhani huwezi kuutenganisha uislam na majini
Lakini Kubwa zaidi, baadhi wanachuki na Waislam kabisa. Wengi zaidi ni wale wa mikoa ya Kaskazini au Nyanda za juu kusini.
Tofauti na wakristo waliokulia mikoa ya Pwani au yene mchanganyiko mkubwa na Waislam hawana shida kabisa.
Tuwaonee wivu gani wa kimaendeleo wakati hamna hata hospital moja ya kiislamu?Kinacho wasumbua sana ni chuki na wivu wamaendeleo ya uislamu na waislamu, Ushirikina ni mwingi katika ukatoliki ila hausemwi.
Kuna schoolmate wangu muislamu alimaliza form four ana elimu ya madrasa nzuri tu karibu juzu 10, kwenye kampuni yake kaajiti wakuristo 8, wenye degree mbalimbali moja ni muhasibu ana CPA na waislamu wa 3, ila wale wa kuristo wanamsema vibaya wanatamani afe, ila kila ukicha mali zake zinaongezeka. Wamefanya ushirikina mpaka basi tu.......hao watu hawapendi wsislamu hata ufanye wame kiasi gani.
Huwezi kuutenganisha dini ya kiislamu na majini.Katika safari yangu ya masomo na kazi, nimekutana na watu wengi, nilichojifunza
Wakrito waliotokea mikoa ambayo haina waislam wengi, wanauelewa potofu juu ya Uislam na Waislam.
Wanawaona kama wako Backwards au wakizamani.
Wapo wanaoamini ukimuona Sheikh kafunga ndevu bas ujue anamajini 12
Wapo wanaodhani huwezi kuutenganisha uislam na majini
Lakini Kubwa zaidi, baadhi wanachuki na Waislam kabisa. Wengi zaidi ni wale wa mikoa ya Kaskazini au Nyanda za juu kusini.
Tofauti na wakristo waliokulia mikoa ya Pwani au yene mchanganyiko mkubwa na Waislam hawana shida kabisa.
Kwahiyo kuhoji ni ubishi kwamba ulitaka nikubali tu huo mtazamo hata kama kwangu naona hauna uhalisia?Mkuu naona shida yako ni kubishana, Mimi ubishi siuwezi .
Labda niseme hivi ndio utanielewa, Umasikini unachangiwa na vitu vingi ikiwemo Ujinga, Uvivu, Uzembe, Magonjwa, Upotofu wa dini, sababu za kisiasa, kiuchumi, kihistoria na nyinginezo.
NB: Nadhani tumeelewana sasa Mr Tz mbongo.
Wewe unakielewa kilatini kilichoandikwa kwenye bibilia yenuWaislamu wengi wamekariri quran yote.
ila hawaelewi maana ya kiarabu kilichoandikwa kwenye quran
Ila kuna vitu mie bado vinanishangaza, yani kwanini kuna watu wanalazimisha kuwa majini ndio malaika waliyoasi ila wanakataa kuwa Issa sio Yesu?Huwezi kuutenganisha dini ya kiislamu na majini.
Wenye dini yao kwenye Quran kuna sura ya majini inayoitwa Al Jinn hata wao wanajua kuna majini mazuri na mabaya tena yanaswali msikitini hadi huko Macca na Madina kuna msikiti wa majini.
Tuwaonee wivu nini wakati mifumo yote ni ya makafiri? Mkiwa wachache ohh dini ya uislamu ni nzuri mkiwa wengi mnaanza kuchapa viboko watu wanaokutamanisha wewe ule
This rolls boths sidesKatika safari yangu ya masomo na kazi, nimekutana na watu wengi, nilichojifunza
Wakrito waliotokea mikoa ambayo haina waislam wengi, wanauelewa potofu juu ya Uislam na Waislam.
Wanawaona kama wako Backwards au wakizamani.
Wapo wanaoamini ukimuona Sheikh kafunga ndevu bas ujue anamajini 12
Wapo wanaodhani huwezi kuutenganisha uislam na majini
Lakini Kubwa zaidi, baadhi wanachuki na Waislam kabisa. Wengi zaidi ni wale wa mikoa ya Kaskazini au Nyanda za juu kusini.
Tofauti na wakristo waliokulia mikoa ya Pwani au yene mchanganyiko mkubwa na Waislam hawana shida kabisa.
Mtizamo gani huo ambao hauna uhalisia?Kwahiyo kuhoji ni ubishi kwamba ulitaka nikubali tu huo mtazamo hata kama kwangu naona hauna uhalisia?
Si kweli, ungekua unaelewa unachokisoma, ungekua na uwezo wa kujenga hoja, ningekutana na swali kama kivipi dini zimechangia umasikini?Mkuu watu tunatofautiana usikimbilie kuniona tu mbishi, wengine hatuishii kusoma na kuelewa tu bali tunataka kupata ukweli wa hicho tulichosoma.
Hilo ni sahihi, sababu Kazi yangu sio kubadilisha watu wala kuwashawishi watu kua kama mimi, Hivyo hoja zangu hua maranyingi haziko kwenye mfumo wa kushawishi bali kuelekeza .Inawezekana ukawa sahihi ila sijaona hoja zenye hoja zenye kushawishi.
Biblia ilianza kisha ikafuata Quran kwahiyo Yesu ni wa kwenye Biblia na Issa ni wa kwenye Quran.Ila kuna vitu mie bado vinanishangaza, yani kwanini kuna watu wanazimisha kuwa majini ndio malaika waliyoasi ila wanakataa kuwa Issa sio Yesu?
Nimeuliza hao wenye imani kali ambao inafanya wanakuwa wavivu wenye kutegemea maombi hawafanyi kazi wako idadi gani ukilinganisha na wasiokuwa na imani kiasi hiko au wasiofuata imani? ili tuone uhalisia wa kwa vp na kwa kiasi gani dini inachangia umasikini afrika. Ila matokeo yake ukaniambia mie ni mbishi.Mtizamo gani huo ambao hauna uhalisia?
Si kweli, ungekua unaelewa unachokisoma, ungekua na uwezo wa kujenga hoja, ningekutana na swali kama kivipi dini zimechangia umasikini?
Hilo ni sahihi, sababu Kazi yangu sio kubadilisha watu wala kuwashawishi watu kua kama mimi, Hivyo hoja zangu hua maranyingi haziko kwenye mfumo wa kushawishi bali kuelekeza .
Ufahamu wako umebase sana kwamba kila mjadala unaokwenda tofauti na Imani yako unalenga kukushawishi kukutoa ulipo, Yaani kila anaekuelekeza unadhani anakushawishi kubadilika, mwisho unaishia kujenga hoja za ubishi.
Sasa mbona wakristo wanalazimisha majini ndio malaika waliyoasi?Biblia ilianza kisha ikafuata Quran kwahiyo Yesu ni wa kwenye Biblia na Issa ni wa kwenye Quran.
Tafuta muda msome Yesu na Issa ndiyo utagundua hawa ni watu wawili tofauti na hawana uhusiano wowote
Waislamu huwa wanalazimisha Issa ndiyo Yesu ila jibu ni HAPANA
- Yesu alizaliwa kwenye zizi la ng'ombe wakati Issa alizaliwa chini ya mtende jangwani
- Yesu alibatizwa lakini Issa hakubatizwa
- Yesu alisurubiwa, akatundikwa juu ya msalaba na siku ya tatu akafufuka lakini Issa hakusurubiwa wala hakufa. Kajisomee zaidi
Wingi si hoja, Hoja ni kwamba wako watu ambao dini imewatia umasikini.Nimeuliza hao wenye imani kali ambao inafanya wanakuwa wavivu wenye kutegemea maombi hawafanyi kazi wako idadi gani ukilinganisha na wasiokuwa na imani kiasi hiko au wasiofuata imani? ili tuone uhalisia wa kwa vp na kwa kiasi gani dini inachangia umasikini afrika. Ila matokeo yake ukaniambia mie ni mbishi.
Basi sawa mkuu mie mbishi.
Wingi ni hoja mkuu ikiwa madai yanasema dini ni moja ya sababu ya umasikini afrika, sasa kama ikiwa ni baadhi tu ya watu basi hata pombe na kamari vimewatia umasikini pia baadhi ya watu.W
Wingi si hoja, Hoja ni kwamba wako watu ambao dini imewatia umasikini.
Huwezi kuutenganisha dini ya kiislamu na majini.
Wenye dini yao kwenye Quran kuna sura ya majini inayoitwa Al Jinn hata wao wanajua kuna majini mazuri na mabaya tena yanaswali msikitini hadi huko Macca na Madina kuna msikiti wa majini.
Tuwaonee wivu nini wakati mifumo yote ni ya makafiri? Mkiwa wachache ohh dini ya uislamu ni nzuri mkiwa wengi mnaanza kuchapa viboko watu wanaokutamanisha wewe ule
Wewe unakielewa kilatini kilichoandikwa kwenye bibilia yenu
Sahihi .Wingi ni hoja mkuu ikiwa madai yanasema dini ni moja ya sababu ya umasikini afrika, sasa kama ikiwa ni baadhi tu ya watu basi hata pombe na kamari vimewatia umasikini pia baadhi ya watu.
Ina maana kweli hujui kama hata Qur'an imetafsiriwa kwa kiswahili pia? Labda nikuulize hivi biblia kutafsiriwa kwa kiswahili hiyo inafanya kila mwenye kujua kiswahili kuwa anaweza akajisomea tu biblia mwenyewe na ikatosha kuijua biblia?Biblia zimetafsiriwa katika lugha nyingine nyingi kutia ndani kiswahili. Hilo ni jambo zuri kwa maana lugha inabadilika. Maneno huzaliwa hukua halafu hufa. Hata lugha ya kiarabu ambayo imeandikwa kwenye kiruwan, inapitwa na wakati. Ndiyo maana kiarabu hicho hata aliye muarabu hakielewi vizuri. Na kwa mtu ambaye si muarabu anabakia kukariri. Hivyo zile swala 5 mnazofanya. Hazitoki akilini wala moyoni, bali zinaimbwa kama kasuku. Au njiwa pori yule anayelia kuku kukukuku kuku kukukuku.