Wakristo wenye wadada wa kazi wa Kiisilamu acheni kuwanyanyasa kwasababu ya kufunga Ramadhani

Mnapenda fea sana mm ikifika kipindi anataka kufunga afunge bila kuadhiri kazi zake huo mfungo ni wake haunihusu mm so mahitaji ni yake haunihusu atawajibika yeye kwa vitu vyake
 
Kheri wakristo wanawaajiri waisilamu kuliko waisilamu hawawajiri wakristu, kuna kampuni moja walitska kumuajiri binti yangu na bosi yao alikuwa akiniita kaka, shida ilikuja binti alipopeleka barua na kujilikana ni mkristu bosi hakutaka hata kuijibu na akakata mawasiliano nami, hata hivyo nilimuelewa kwani ni wale waislamu wa Afughanistani.
 
Hao wanaofutari ugali,wali nk labda huko kwenu Koromije huku nilipo wanataka vitu lainilaini tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…