Wakulima Manyara wamuunga mkono Rais Samia
Hili lote ni picha linalotengenezwa, ili uonekane Dkt Bashiru hana maana.

DKT BASHIRU, SONGA MBELE

Ni kawaida, Ukweli Mmoja, hupigwa na Mauongo zaidi ya buku.

Walakini, ukweli ni ukweli, na hushinda.

Tunakupenda na tunakuamini Dkt Bashiru, endelea kusimamia Falsafa zako na uwasameee wanyonge.

Haki ya nani hiki chama kimenishinda tabia.. Kwahiyo yote haya ni kumjibu Kakurwa?[emoji23]


Benki ya Dunia (WB) imeipatia Tanzania mikopo nafuu ya TZS trilioni 1.24 kwa ajili ya miradi miwili, mmoja wa kusambaza umeme vijiji (REA) na mwingine wa kukabiliana na mafuriko katika Bonde la Mto Msimbazi, Dar es Salaam.
 
FiKVp5ZWIAEvq5k.jpg
FiKBzkfWIAEn3ke.jpg

Rais Samia Suluhu leo yuko ziarani mkoani Manyara na wakulima wilayani Babati mkoani Manyara wameandamana kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwapunguzia bei ya mbolea.

Wakijiandaa kumpokea Rais ambaye anaanza ziara mkoani humo leo wamesema walikuwa wakinunua mbolea kwa TZS 150,000 lakini sasa wananunua kwa TZS 70,000 tu.

Sababu kubwa iliyopelekea wananchi wampongeze ni kuongeza bajeti ya Kilimo (2021/22 mpaka 2022/23) kutoka 250b hadi 950b,bajeti ya ugani kutoka 603m hadi 15b, uzalishaji mbegu kutoka 10.53 hadi 43.03b, umwagiliaji kutoka 46.5 -lhadi361.5b

Ninaona wakulima wana kila sababu ya kumpongeza Rais Samia Suluhu maana amefanikiwa kupunguza gharama za kilimo, sasa mbolea wananunua kwa nusu bei, mama amefanikisha masoko ya mazao ya uhakika pia wakulima wanauza mazao kwa bei nzuri ukilinganisha na awali

pia Waziri wa kilimo, Mhe. Hussein Bashe anasema matatizo ya kilimo yamekua yakitatuliwa kwa matukio lakini Serikali ya awamu ya sita imeamua kutatua matatizo ya msingi kwa kuwekeza kwa muda mrefu ikiwemo uwekezaji wa mbegu na miradi ya umwagiliaji na ameongeza kua hakuna Mtanzania atakayekufa kwa njaa serikali imetunza chakula cha kutosha

Lengo la serikali ya Rais Samia Suluhu ni kuboresha sekta ya kilimo na maslahi ya wakulima, Sekta ya kilimo imeimarika chini ya Rais Samia Suluhu
 
Pongezi ni halali yake. Mbolea kwenye world market bei haikamatiki. Bei ya Leo UREA $980 per ton DAP $1012 per ton nani naweza ku afford io bei Kwa mkulima wa kawaida. So kwenye kilimo mpen pongezi, ni halali yake.
 
Kwa nini nisiamini kuwa Bashiru ndiye mwanaccm mwenye akili nyingi kuliko wote kwa sasa. Maneno yake machache yamefanya CCM na Serikali yake yote ijambe jambe tangu juzi hakuliki hakukaliki. Bashiru amejua kuwajambisha kinoma. BASHIRU KAPIGA PALE PALE KWENYE MSHONO, KUDADADADEKI !!!!!!!!!!
 
Kwa nini nisiamini kuwa Bashiru ndiye mwanaccm mwenye akili nyingi kuliko wote kwa sasa. Maneno yake machache yamefanya CCM na Serikali yake yote ijambe jambe tangu juzi hakuliki hakukaliki. Bashiru amejua kuwajambisha kinoma. BASHIRU KAPIGA PALE PALE KWENYE MSHONO, KUDADADADEKI !!!!!!!!!!
Kaka ww n mkulima bei ya mbolea ungeiweza Mzee
UREA CIF Dar es salaam unajua bei yake au unaongea tuu huyu mama mumshukuru sana mngekufa njaa masikini nyie
 
Kaka ww n mkulima bei ya mbolea ungeiweza Mzee
UREA CIF Dar es salaam unajua bei yake au unaongea tuu huyu mama mumshukuru sana mngekufa njaa masikini nyie
Mbona unaandika kama umetoka kuukalia wewe mbwiga, pumbavu kabisa wewe.
 
Jamaa wametafuta vijamaa vyenye njaaa, wameviandalia mabango chapchap, nakuviingiza mabarabarani

Enyi walamba Asali, kubalini, Dkt Bashiru, kweli zake ni za haki, ziwasaidie kufanya mageuzi.
Wakulima lazima tumtie moyo Rais wetu
Bei ya mbolea kwenye soko la Dunia ni kubwa kiasi kwqnba bila ruzuku wakulima wasingeweza kulama mfano DAP $1019 per ton na ikiwa CIF Dar es sa $1215 equivalent to 140 nani mkulima.angeweza

Muwe mnampa HEKO mtu akifanya vyema
 
Back
Top Bottom