Wakulima waapa kumpigania na kumuunga mkono Rais Samia na CCM

Ndugu zangu hiyo ndio kauli ya wakulima,Ndio kauli ya pamoja,Ndio msimamo wa wakulima,Ndio uamuzi wa wakulima, Ndio Hitimisho la wakulima. Wakulima wanasema na kuapa kuwa watamuunga mkono Rais Samia katika uongozi wake wa kuendesha serikali yake ya CCM, wameapa kumpa ushirikiano wa kutosha yeye na serikali yake.

Wakulima wanasema Tangia kupata Uhuru kwa nchi hii kwa Mara ya kwanza mkulima amekuwa na sauti katika soko la mazao, Sasa kilimo Ni Biashara yenye Faida, kilimo Ni ajira ya uhakika,kilimo Sasa Ni Tumaini la wanyonge,kilimo Sasa kinatoa Nuru katikati ya Giza,kilimo Sasa kinawatoa kimasomaso wakulima,kilimo Sasa kinapunguza umaskini wa Kaya mojamoja. Ardhi Sasa imekuwa na thamani,inatoa matumaini kwa yeyote atakaye weka jembe ardhini,inatoa Neema kwa kila atakaye weka mbegu ardhini,inatoa matumaini kwa yeyote mwenye kulishika jembe

Wakulima wanamshukuru Rais Samia kwa namna alivyokikuza na kukipa thamani kilimo,kwa namna alivyomjari mkulima,kwa namna alivyomfungulia milango ya biashara mkulima,kwa namna alivyokipa heshima na kukiheshimisha kilimo na kukipa Thamani. Sasa vijana wanakimbilia katika kilimo,Sasa vijana wanatafuta ardhi ili walime,Sasa vijana wanajitupa katika kilimo ili watoke na kuinuka kiuchumi.

Hapa ndipo wakulima kwa kauli moja wanaposema kuwa Rais Mama Samia Atoshaa,Amekonga nyoyo za wakulima na wao wameamua kumlipa kwa kumuunga mkono na kushirikiana naye. Huwaambii kitu wakulima kwa Sasa juu ya Rais Samia kutokana na namna wanavyompenda na kumkubali,hasa baada ya kutoa mabillioni ya Ruzuku katika mbolea na hivyo kupelekea kushuka kwa Bei sokoni.

Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu: 0742-676627
Hata familia yake hawatafanya hivyo.
 
Uliwaona wapi wanaapa?Acha fixes bwana Luca!
 
Mpaka unatoa namba, unatafuta uteuzi ndugu. Pole maana hutaupata!!
 
Wapi hao? Wanao pelekewa kwa sasa mahindi ya msaada?
 
Hakuna kitu kinachoitwa mahindi ya msaada Ila Kuna mahindi ya Bei nafuu yanayotoleqa na serikali. Vipi umesikia mkoa gani wa nyanda za juu kusini ukilia njaa? Karibu upewe Shamba ulime
 
Jana jion niliongea na rafiki yangu yeye analangua mpinga vijijin halafu anawauzia wapemba.

Kasema sahiz mkulima unamnembeleza akuuzie mazao then jambo la msingi alimalizia kwa kusema biashara imekua na mzunguko mkubwa yaani ukifikisha mashineni tu wateja hawa hapa wanasubir umenye wakulipe kibunda chako, even though kasema faida ni ndogo lkn akaongeza ni heri kuliko kabla.

Katika hili namuunga mkono lkn katika mambo mengine bado hajiwezi.!
 
Mh Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani Anastahili pongezi katika mambo mengi Sana kwa kuwa kagusa kila secta,siyo kilimo tu Bali ukienda katika Afya Unakuta Ni matumaini kibao,ukienda katika Elimu unakuta Ni nuru tupu,ukienda katika uwekezaji na biashara unakuta mafanikio,ukienda katika diplomasia ya uchumi unakuta Ni ushindi mtupu,ukienda katika uchumi unakuta hatua zimepigwa
 
Kupita bila kupingwa kwa hujuma ndio kura ama?
CCM inapita bila kupingwa kutokana na udhaifu na ugoigoi wa vyama vya upinzani. Si unaona saiz wapo kuzurula ulaya badala ya kuwa karibu na wananchi? Sasa hao wazungu ndio watakuja kupiga kura? Kweli akili za chadema wanazijuwa wenyewe
 
Ndugu zangu hiyo ndio kauli ya wakulima. Ndio kauli ya pamoja, Ndio msimamo wa wakulima, Ndio uamuzi wa wakulima, Ndio Hitimisho la wakulima. Wakulima wanasema na kuapa kuwa watamuunga mkono Rais Samia katika uongozi wake wa kuendesha serikali yake ya CCM, wameapa kumpa ushirikiano wa kutosha yeye na serikali yake.

Wakulima wanasema Tangia kupata Uhuru kwa nchi hii kwa Mara ya kwanza mkulima amekuwa na sauti katika soko la mazao, Sasa kilimo Ni Biashara yenye Faida, kilimo Ni ajira ya uhakika, kilimo Sasa Ni Tumaini la wanyonge, kilimo Sasa kinatoa Nuru katikati ya Giza, kilimo Sasa kinawatoa kimasomaso wakulima, kilimo Sasa kinapunguza umaskini wa Kaya mojamoja. Ardhi Sasa imekuwa na thamani, inatoa matumaini kwa yeyote atakaye weka jembe ardhini, inatoa Neema kwa kila atakaye weka mbegu ardhini, inatoa matumaini kwa yeyote mwenye kulishika jembe

Wakulima wanamshukuru Rais Samia kwa namna alivyokikuza na kukipa thamani kilimo, kwa namna alivyomjari mkulima, kwa namna alivyomfungulia milango ya biashara mkulima, kwa namna alivyokipa heshima na kukiheshimisha kilimo na kukipa Thamani. Sasa vijana wanakimbilia katika kilimo,Sasa vijana wanatafuta ardhi ili walime. Sasa vijana wanajitupa katika kilimo ili watoke na kuinuka kiuchumi.

Hapa ndipo wakulima kwa kauli moja wanaposema kuwa Rais Mama Samia Atoshaa, Amekonga nyoyo za wakulima na wao wameamua kumlipa kwa kumuunga mkono na kushirikiana naye. Huwaambii kitu wakulima kwa Sasa juu ya Rais Samia kutokana na namna wanavyompenda na kumkubali, hasa baada ya kutoa mabillioni ya Ruzuku katika mbolea na hivyo kupelekea kushuka kwa Bei sokoni.

Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu: 0742-676627
Nonsense.
 
Na wataendelea kuwa wakulima maisha yao yote
Kilimo Ni biashara inayolipa na isiyo mtupa mkulima,nchi Kama uingereza ilifanikiwa kiviwanda kutokana na mapinduzi ya kilimo njia ambayo ndio Rais wetu anatuongoza na kutupitisha watanzania
 
Ndugu zangu hiyo ndio kauli ya wakulima,Ndio kauli ya pamoja,Ndio msimamo wa wakulima,Ndio uamuzi wa wakulima, Ndio Hitimisho la wakulima. Wakulima wanasema na kuapa kuwa watamuunga mkono Rais Samia katika uongozi wake wa kuendesha serikali yake ya CCM, wameapa kumpa ushirikiano wa kutosha yeye na serikali yake.

Wakulima wanasema Tangia kupata Uhuru kwa nchi hii kwa Mara ya kwanza mkulima amekuwa na sauti katika soko la mazao, Sasa kilimo Ni Biashara yenye Faida, kilimo Ni ajira ya uhakika,kilimo Sasa Ni Tumaini la wanyonge,kilimo Sasa kinatoa Nuru katikati ya Giza,kilimo Sasa kinawatoa kimasomaso wakulima,kilimo Sasa kinapunguza umaskini wa Kaya mojamoja. Ardhi Sasa imekuwa na thamani,inatoa matumaini kwa yeyote atakaye weka jembe ardhini,inatoa Neema kwa kila atakaye weka mbegu ardhini,inatoa matumaini kwa yeyote mwenye kulishika jembe

Wakulima wanamshukuru Rais Samia kwa namna alivyokikuza na kukipa thamani kilimo,kwa namna alivyomjari mkulima,kwa namna alivyomfungulia milango ya biashara mkulima,kwa namna alivyokipa heshima na kukiheshimisha kilimo na kukipa Thamani. Sasa vijana wanakimbilia katika kilimo,Sasa vijana wanatafuta ardhi ili walime,Sasa vijana wanajitupa katika kilimo ili watoke na kuinuka kiuchumi.

Hapa ndipo wakulima kwa kauli moja wanaposema kuwa Rais Mama Samia Atoshaa,Amekonga nyoyo za wakulima na wao wameamua kumlipa kwa kumuunga mkono na kushirikiana naye. Huwaambii kitu wakulima kwa Sasa juu ya Rais Samia kutokana na namna wanavyompenda na kumkubali,hasa baada ya kutoa mabillioni ya Ruzuku katika mbolea na hivyo kupelekea kushuka kwa Bei sokoni.

Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu: 0742-676627
Baba umedhamiria😂😂 hawajakupigia hata simu moja? Kaza baba utaitwa tu ila unawasaliti wazazi wako ambao ni wakulima kwa njaa binafsi 😂
 
Back
Top Bottom