Ndugu zangu hiyo ndio kauli ya wakulima,Ndio kauli ya pamoja,Ndio msimamo wa wakulima,Ndio uamuzi wa wakulima, Ndio Hitimisho la wakulima. Wakulima wanasema na kuapa kuwa watamuunga mkono Rais Samia katika uongozi wake wa kuendesha serikali yake ya CCM, wameapa kumpa ushirikiano wa kutosha yeye na serikali yake.
Wakulima wanasema Tangia kupata Uhuru kwa nchi hii kwa Mara ya kwanza mkulima amekuwa na sauti katika soko la mazao, Sasa kilimo Ni Biashara yenye Faida, kilimo Ni ajira ya uhakika,kilimo Sasa Ni Tumaini la wanyonge,kilimo Sasa kinatoa Nuru katikati ya Giza,kilimo Sasa kinawatoa kimasomaso wakulima,kilimo Sasa kinapunguza umaskini wa Kaya mojamoja. Ardhi Sasa imekuwa na thamani,inatoa matumaini kwa yeyote atakaye weka jembe ardhini,inatoa Neema kwa kila atakaye
Mh Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani Anastahili pongezi katika mambo mengi Sana kwa kuwa kagusa kila secta,siyo kilimo tu Bali ukienda katika Afya Unakuta Ni matumaini kibao,ukienda katika Elimu unakuta Ni nuru tupu,ukienda katika uwekezaji na biashara unakuta mafanikio,ukienda katika diplomasia ya uchumi unakuta Ni ushindi mtupu,ukienda katika uchumi unakuta hatua zimepigwa
Pumbafu sana kutwa kucha kuandikaga mausenge Yako watu mtaani wamepigika mpaka miwa imepanda wewe na maujinga Yako una tetea maccm yalishatuchosha miaka yote menyewe tu acha yapumzike tupate kuongozwa na akili KUBWA