Wakulima waapa kumpigania na kumuunga mkono Rais Samia na CCM

Hata familia yake hawatafanya hivyo.
 
Uliwaona wapi wanaapa?Acha fixes bwana Luca!
 
Mpaka unatoa namba, unatafuta uteuzi ndugu. Pole maana hutaupata!!
 
Wapi hao? Wanao pelekewa kwa sasa mahindi ya msaada?
 
Wapi hao? Wanao pelekewa kwa sasa mahindi ya msaada?
Hakuna kitu kinachoitwa mahindi ya msaada Ila Kuna mahindi ya Bei nafuu yanayotoleqa na serikali. Vipi umesikia mkoa gani wa nyanda za juu kusini ukilia njaa? Karibu upewe Shamba ulime
 
Jana jion niliongea na rafiki yangu yeye analangua mpinga vijijin halafu anawauzia wapemba.

Kasema sahiz mkulima unamnembeleza akuuzie mazao then jambo la msingi alimalizia kwa kusema biashara imekua na mzunguko mkubwa yaani ukifikisha mashineni tu wateja hawa hapa wanasubir umenye wakulipe kibunda chako, even though kasema faida ni ndogo lkn akaongeza ni heri kuliko kabla.

Katika hili namuunga mkono lkn katika mambo mengine bado hajiwezi.!
 
Mh Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani Anastahili pongezi katika mambo mengi Sana kwa kuwa kagusa kila secta,siyo kilimo tu Bali ukienda katika Afya Unakuta Ni matumaini kibao,ukienda katika Elimu unakuta Ni nuru tupu,ukienda katika uwekezaji na biashara unakuta mafanikio,ukienda katika diplomasia ya uchumi unakuta Ni ushindi mtupu,ukienda katika uchumi unakuta hatua zimepigwa
 
Kupita bila kupingwa kwa hujuma ndio kura ama?
CCM inapita bila kupingwa kutokana na udhaifu na ugoigoi wa vyama vya upinzani. Si unaona saiz wapo kuzurula ulaya badala ya kuwa karibu na wananchi? Sasa hao wazungu ndio watakuja kupiga kura? Kweli akili za chadema wanazijuwa wenyewe
 
Nonsense.
 
Na wataendelea kuwa wakulima maisha yao yote
Kilimo Ni biashara inayolipa na isiyo mtupa mkulima,nchi Kama uingereza ilifanikiwa kiviwanda kutokana na mapinduzi ya kilimo njia ambayo ndio Rais wetu anatuongoza na kutupitisha watanzania
 
Baba umedhamiria😂😂 hawajakupigia hata simu moja? Kaza baba utaitwa tu ila unawasaliti wazazi wako ambao ni wakulima kwa njaa binafsi 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…