Wakulima waapa kumpigania na kumuunga mkono Rais Samia na CCM

Baba umedhamiria😂😂 hawajakupigia hata simu moja? Kaza baba utaitwa tu ila unawasaliti wazazi wako ambao ni wakulima kwa njaa binafsi 😂
Familia za wakulima Zina furaha amani na upendo mkubwa Sana kwa Rais Samia kutokana na namna alivyowagusa kiutendaji na kimaamuzi,hasa kwa hatua yake ya kutoa mabillioni ya Ruzuku katika mbolea na hivyo kupelekea kushuka kwa Bei ya mbolea sokoni
 
Attachments

  • 2655D41A-9CDB-42C3-9B8C-936A8788148B.jpeg
    94.8 KB · Views: 2
  • F7C0F7CD-35B5-4130-8B83-3DF463573472.jpeg
    101.6 KB · Views: 1
 
CCM inapita bila kupingwa kutokana na udhaifu na ugoigoi wa vyama vya upinzani. Si unaona saiz wapo kuzurula ulaya badala ya kuwa karibu na wananchi? Sasa hao wazungu ndio watakuja kupiga kura? Kweli akili za chadema wanazijuwa wenyewe

Kwahiyo mama Samia hatapata kura kwakuwa huwa anaenda ulaya? Viongozi wa CDM kibao wako kwenye ujenzi wa chama Sehemu mbalimbali nchini, sasa sijui ni utoto gani unaongea chawa.
 
Kwahiyo mama Samia hatapata kura kwakuwa huwa anaenda ulaya? Viongozi wa CDM kibao wako kwenye ujenzi wa chama Sehemu mbalimbali nchini, sasa sijui ni utoto gani unaongea chawa.
Chadema wanajengaje chama wakati unaona wanafanya kazi ya ukibaraka. Wanajiondoa akili na kuonekana hawana akili ya kutambua wafanye Nini. Wazungu hawaji kuwapigia kura na hawawezi kuja kuwapigia kampeni huku.Nachojuwa chadema Ni matapeli hivyo huko wanataka kupiga hela za wazungu kwa kisingizio Cha kuomba hela za kuja kufanyia harakati wakati wanajuwa kuwa watanzania walishawapuuza
 
Waulize wakulima wenyewe wasiokuwa na simu janja jinsi wanavyohangaika kupata mbolea ya ruzuku. Wakala yupo mjini km 50, mkulima analala guest siku tatu hamna cha sticker wala mbolea, halafu umwambie siasa za Bashiru na yule mwingine
Hivi hakuna namna wizara ya kilimo inaweza kutunga kanuni ya kumlazimisha kila anayepewa Leseni ya uwakala pia afungue tawi lake vijijini sehemu ambayo ndio wakulima wengi wanapatikana?!...manake kama wakala yuko mjini na mkulima analazimika kusafiri kwa taabu na kulala guest....sioni ni wapi mkulima anakuwa anapata hiyo nafuu iliyokusudiwa...Hii mipango na Nia nzuri ya Serikali kusaidia isipoendana na execution nzuri.. mipango itabaki kwenye makaratasi tuu... Watanzania inabidi tujue kwamba utajiri wa Nchi hautokani na maliasili na neema zilizopo nchini tuu...Bila akili ni Bure kabisa...waswahili walivyosema kwenye miti hakuna wajenzi... nadhan walikua wanaistua jamii ijikite kuelimisha watu ili wapate maarifa... Tanzania hatuna maarifa na ndio maana kutwa viongozi wetu wanakimbilia Ng'ambo kwenda kujifunza badala ya kupereka watendaji na wataalamu wakajifunze.
 
Unaongelea wakulima gani? hawa wa jembe la mkono.
 
Unazungumzia kilimo kipi cha Korosho au Pamba?
 
Unaongelea wakulima gani? hawa wa jembe la mkono.
Sijamwelewa huyu mwana mapambio Shaka Hamdu Shaka kupamba pamba tu hata yasiyotakiwa kupambwa, mpambe NUKSI
 
Unazungumzia kilimo kipi cha Korosho au Pamba?
Nazungumzia kilimo Cha mazao yote yanayopatikana na kulimwa huku kwetu nyanda za juu kusini ambako wakulima wameona juhudi za mh Rais katika kumuinua mkulima na kumkwamua kiuchumi
 
Nazungumzia kilimo Cha mazao yote yanayopatikana na kulimwa huku kwetu nyanda za juu kusini ambako wakulima wameona juhudi za mh Rais katika kumuinua mkulima na kumkwamua kiuchumi
Kwenda zako wewe huwajui wakulima nenda Naliendele ukawaambie huo ujinga wako km watakuelewa,
 
Tangu lini umekuwa msemaji wa wakulima?

Mnaacha kuhangaika na Kilimo mko busy na siasa za uchawa uchawa,

Wakulima wenzako ambao walikuwa kwenye kikao walipiga makofi ya furaha means walikubaliana na bashiru

Sasa ww unaongelea wakulima gani? Au bodaboda mliowapa mabango kule manyara Kwa kisingizio cha kujifanya mnapenda mama?

Sasa mbona mliwalipa posho? Hahaha
 
Mimi mwenyewe ni mkulima kwa hiyo naongea uhalisia wa ninachokijuwa kukifahamu na kukiona
 
Kwenda zako wewe huwajui wakulima nenda Naliendele ukawaambie huo ujinga wako km watakuelewa,
Pita huku nyanda za juu kusini uzungumze na wakulima uone namna wanavyompongeza mh Rais kwa kuwainua na kuwagusa
 
Mimi mwenyewe ni mkulima kwa hiyo naongea uhalisia wa ninachokijuwa kukifahamu na kukiona

Sasa wakulima wenzako ambao wanajulikana ni wakulima walipiga makofi ya furaha after bashiru kuongea vile

Endelea kuweka namba za simu kama unadhan kuna siku utaitwa
 
Sasa wakulima wenzako ambao wanajulikana ni wakulima walipiga makofi ya furaha after bashiru kuongea vile

Endelea kuweka namba za simu kama unadhan kuna siku utaitwa
Wakulima tupo mashambani kwa hiyo wewe endelea kukaa huko mjini ukipiga makofi
 
Pita huku nyanda za juu kusini uzungumze na wakulima uone namna wanavyompongeza mh Rais kwa kuwainua na kuwagusa

Tulishawaona hao wakulima kwenye kikao Chao kikuu cha chama chao ambacho kinajulikana na serikali

Na wote siku ya tukio walifurahi maneno ya bashiru

Kuwa chawa wa kisasa, jibu hoja sio mambo ya kusifia maujinga na kujifanya mkulima
 
Wakulima tupo mashambani kwa hiyo wewe endelea kukaa huko mjini ukipiga makofi

Ujinga wako ww unaongea mambo uyajui
Kazi yako ni kusifia Tu uonekane umesifia

Jibu hoja za bashiru kijana, jibu hoja ya alichoongea na sio kupiga makelele Tu ya uchawa

Hata mama mwenyewe akisoma uharo wako ulioandika atakushangaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…