Wakulima waapa kumpigania na kumuunga mkono Rais Samia na CCM

Kwenye nchi yetu,ukiwa Rais inabidi uwe na akili sana. Unadanganywa na watu wengi sana ili tu waendelee kushibisha matumbo yao.

Usipojua ukweli na ukausimamia, huwezi kuongoza hii nchi ukafanikiwa. Ongezeko la chawa na watu wenye kutafuta nafasi ili wale ni janga.

Mtu yoyote anayemwambia Mama kuwa anakubalika ni mtu wa kuogopwa sana.
 
Ujinga wako ww unaongea mambo uyajui
Kazi yako ni kusifia Tu uonekane umesifia

Jibu hoja za bashiru kijana, jibu hoja ya alichoongea na sio kupiga makelele Tu ya uchawa

Hata mama mwenyewe akisoma uharo wako ulioandika atakushangaa
Wewe hata nikikujibu huwezi ukaelewa chochote kile lakini mzungumzaji alishapewa majibu akaelewa na kukaa kimya baada ya kutambua ukweli,Sasa wewe Ni Nani Hadi umsemee?
 
Kwa akili yako embu niambie Ni kundi lipi ambalo halimkubali mh Rais wetu mpendwa mama Samia?
 
Ila ukweli msimuu huu wakulima wameneemeka Sana na Bei gunia kufikia had 120 kiteto siyo mchezo mtu una gunia zako 50 unatoka
 
Ila ukweli msimuu huu wakulima wameneemeka Sana na Bei gunia kufikia had 120 kiteto siyo mchezo mtu una gunia zako 50 unatoka
Na kauli mbiu ya mwaka huu Ni kilimo Ni Biashara,Hakuna anayehitaji kupata hasara katika biashara yake au kuvuja jasho halafu wafaidike wale waliokaa kimvulini. Hilo amelikataa mh Rais na ndio maana ameamua kusimama na wakulima wanyonge
 
Unaonyesha ww ni mshamba fulani, hivyo unadhani hela za wazungu zinaliwa kijinga. Kwa taarifa yako hakuna mzungu mjinga wa hivyo. Kama ingekuwa rahisi kula hela ya mzungu hivyo, Tanzania ingekuwa imeshakula sana na ingekuwa haina deni sasa hivi. Punguza propaganda za kitoto dogo.
 
Na kauli mbiu ya mwaka huu Ni kilimo Ni Biashara,Hakuna anayehitaji kupata hasara katika biashara yake au kuvuja jasho halafu wafaidike wale waliokaa kimvulini. Hilo amelikataa mh Rais na ndio maana ameamua kusimama na wakulima wanyonge
Hizo kauli mbiu za kilimo toka CCM ni tokea enzi za Nyerere, lakini cha ajabu wakulima ndio kada masikini kabisa. Hali hiyo imefanya kilimo kipuuzwe hadi imekuwa dhihaka, yaani utasikia kama maisha yamekushinda mjini, rudi kijijini ukalime, kwa tafsiri kuwa kilimo ni shughuli ya watu walioshindwa maisha.
 
Kwa Sasa kilimo chini ya uongozi wa mama Samia kina Tija sana na kinalipa, kwa Sasa kilimo kinaleta matumaini kwa mkulima kuinuka kiuchumi
 
Sasa hela zote ambazo huwa mnapewa huwa mnapeleka wapi Kama hamzitafuni? Maana mmeshindwa hata kukarabati ofisi zenu
 
Wakulima wa wapi hao!!!??? Acheni kujitoa akili
 
Wewe hata nikikujibu huwezi ukaelewa chochote kile lakini mzungumzaji alishapewa majibu akaelewa na kukaa kimya baada ya kutambua ukweli,Sasa wewe Ni Nani Hadi umsemee?

Bado ajajibiwa na mtu yoyote, hao wote ni kama ww Tu, wafia ugali
 
Sasa hela zote ambazo huwa mnapewa huwa mnapeleka wapi Kama hamzitafuni? Maana mmeshindwa hata kukarabati ofisi zenu
Kila hela ni ya kukarabati ofisi? Hakuna shughuli nyingine zaidi ya ofisi?
 
Shughuli gani hizo za miaka Zaid ya 30 ambazo zimefanya mshindwe kupaka rangi hata ofisi
Ukombozi wa Mtanzania kifikra hautegemei ubora au udhaifu wa rangi kama ya Kijani. Ndio maana mapambano ya Ukombozi yanapiganiwa hata Msituni. Wapigania Uhuru wetu wangesubiri kupiga rangi Majengo, huenda hata huu Uchawa na Ukiroboto wako usingeupata!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…