Wakulima waapa kumpigania na kumuunga mkono Rais Samia na CCM

Yote Tisa,kumi Hakuna mbolea,haipo ingia Mwanza na hizo namba zako uone Kama utaipata hiyo mbolea

Mama anaupiga mwingi;lakini kwenye mbolea Kuna watu wanamkwamisha
 
Sasa unadhani chawa watapataje milo yao, wanawatumia walala hoi kudanganya umma, huko ni kujifurahisha, ndio huita kumpaka mtu mafuta ya mgongo.
 
Jitahid kijana,zama hizi uchawa unalipa
 
Shughuli gani hizo za miaka Zaid ya 30 ambazo zimefanya mshindwe kupaka rangi hata ofisi

Nenda kaangalie majengo ya CCM na viwanja vya mpira CCM ilivyopora toka mfumo wa chama kimoja, kisha uje tuendelee na mjadala wa hiki unachoongea.
 
Wakulima wana kila sababu ya kumshukuru Rais Samia Suluhu sababu kubwa zaidi ni kupunguza gharama za kilimo kupitia bajeti ya kilimo iliyoongezwa mala tatu zaidi ya bajeti iliyokuwepo bajeti ambayo haijawai kutokea toka Tanzania ipate uhuru
 
Yote Tisa,kumi Hakuna mbolea,haipo ingia Mwanza na hizo namba zako uone Kama utaipata hiyo mbolea

Mama anaupiga mwingi;lakini kwenye mbolea Kuna watu wanamkwamisha
Mbolea inapatikana kila mkoa Rais Samia Suluhu amefanikisha tena inauzwa kwa nusu bei
 
Kama haumkubali ni wewe mzee lakini sisi watanzania tunamkubali sana aisee maana amefanya maendeleo makubawa Tanzania
 
Wewe unatakiwa upiganie maisha yako, Rais hapiganiwi acha ukilasa hata uweke namba ni bure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…