Wakurugenzi wa Taasisi, Makatibu wa Wizara, Wakurugenzi wa Wilaya na Mikoa, Wakuu wa Wilaya na Mikoa wawe wanafanyiwa usaili

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Kwakweli nimependezwa sana na mawazo mazuri aliyotoa waziri wa fedha leo.

Sijawahi kuwa mshabiki wa Waziri wa Fedha lakini haya aliyozungumza, leo natangaza kuanzia leo nakua mshabiki wake.

Na tena nakazia.

Watu hawa wawe wanafanyiwa usaili wakurugenzi wa taasisi zote, makatibu wa wizara wote, wakurugenzi wa wilaya na mikoa, wakuu wa wilaya na mikoa
 
Hii imekaaa kisiasa zaidi mkuu

Naona mantiki yake kwa wale chawa sasa ndio kwishiney babu giii

Kumbuka hapa hapa tz tulisha ambiwa rc's na dc's si public servants.

Kiini macho hiki

Kama wizara ya fedha na mipango inakuja na hili pendekezo huoni were are still in dark knight
 
Hii imekaaa kisiasa zaidi mkuu
Naona mantiki yake kwa wale chawa sasa ndio kwishiney babu giii
Kumbuka hapa hapa tz tulisha ambiwa rc's na dc's si public servants
Kiini macho hiki

Kama wizara ya fedha na mipango inakuja na hili pendekezo huoni were are still in dark knight
very interesting. Hili ni wazo la serikali au Waziri wa Fedha. Katiba yetu na sheria zinasemaje kuhusu sifa na vigezo vya kuzingatiwa na mamlaka za uteuzi
 
Binadamu akiachwa ajieleze kwa uhuru huwa anatoa maoni mazuri ila tu akiwekewa kitisho au kitu cha kumtamanisha lazima aegemee kulinda nafasi fulani.

Enzi za chuma hakukuwa na uhuru wa kujieleza. Unaongea kile kitakachomfurahisha mkubwa na si vinginevyo
 
Katiba mpya katiba mpya ×3,hawa DCs na RCs futilia mbali, ni ufisadi mtupu...yes na Judge's wote nao waombe hizi nafasi, CEOs wote kuanzia DPP,IGP, TISS wote waombe na wawajibike kwa Bunge!

Nchi kama SA, vyeo vingi kwenye taasisi na mashirika ya serikali pamoja na wajumbe kwenye bodi huwa wana apply....sio Tz vyeo vingi, vinakuwa kwa hisani ya Rais au Chama tawala....kaazi kwelikweli..
 
Kwakweli nimependezwa sana na mawazo mazuri aliyotoa waziri wa fedha leo.

Sijawahi kuwa mshabiki wa Waziri wa Fedha lakini haya aliyozungumza, leo natangaza kuanzia leo nakua mshabiki wake.

Na tena nakazia.

Watu hawa wawe wanafanyiwa usaili wakurugenzi wa taasisi zote, makatibu wa wizara wote, wakurugenzi wa wilaya na mikoa, wakuu wa wilaya na mikoa
UPO SAHIHI kuna Watu wenye Ujuzi na Uzoefu na UADILIFU lakini hawapati hizo Nafasi kwani zinatolewa KIKADA

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Kwakweli nimependezwa sana na mawazo mazuri aliyotoa waziri wa fedha leo.

Sijawahi kuwa mshabiki wa Waziri wa Fedha lakini haya aliyozungumza, leo natangaza kuanzia leo nakua mshabiki wake.

Na tena nakazia.

Watu hawa wawe wanafanyiwa usaili wakurugenzi wa taasisi zote, makatibu wa wizara wote, wakurugenzi wa wilaya na mikoa, wakuu wa wilaya na mikoa
Umechanganya.....hii ni kwa wakurugenzi wa mashirika ya umma na wajumbe wa bodi za mashirika
 
Kwakweli nimependezwa sana na mawazo mazuri aliyotoa waziri wa fedha leo.

Sijawahi kuwa mshabiki wa Waziri wa Fedha lakini haya aliyozungumza, leo natangaza kuanzia leo nakua mshabiki wake.

Na tena nakazia.

Watu hawa wawe wanafanyiwa usaili wakurugenzi wa taasisi zote, makatibu wa wizara wote, wakurugenzi wa wilaya na mikoa, wakuu wa wilaya na mikoa
Itasaidia sana kwenye performance lakini pia itapunguza undugunization
 
Kwakweli nimependezwa sana na mawazo mazuri aliyotoa waziri wa fedha leo.

Sijawahi kuwa mshabiki wa Waziri wa Fedha lakini haya aliyozungumza, leo natangaza kuanzia leo nakua mshabiki wake.

Na tena nakazia.

Watu hawa wawe wanafanyiwa usaili wakurugenzi wa taasisi zote, makatibu wa wizara wote, wakurugenzi wa wilaya na mikoa, wakuu wa wilaya na mikoa
Kamsikilize tena vizuri ni WAKURUGENZI WA TAASISI ZINAZOFANYA KAZI KIBIASHARA syo wakurugenzi wote
 
Back
Top Bottom