Wakurugenzi wa Taasisi, Makatibu wa Wizara, Wakurugenzi wa Wilaya na Mikoa, Wakuu wa Wilaya na Mikoa wawe wanafanyiwa usaili

Kama ni wakurigenzi wa mashirika ya kibiashara hii tufanye fasta na mashirika ya wizara za JANUARY MAKAMBA, Tanesco, Tpdc, nk, tukigusa hizo MAKAMBA ataona heri aende wizara ya mama Dorothy Gwajima.
 
Hii imekaaa kisiasa zaidi mkuu

Naona mantiki yake kwa wale chawa sasa ndio kwishiney babu giii

Kumbuka hapa hapa tz tulisha ambiwa rc's na dc's si public servants.

Kiini macho hiki

Kama wizara ya fedha na mipango inakuja na hili pendekezo huoni were are still in dark knight
Naunga mkono suala la vetting,zifanyike kwa lugha ya Malkia,Kiswahili na za wenyeji wa eneo husika ili kuepuka mamliki.
 
Kwakweli nimependezwa sana na mawazo mazuri aliyotoa waziri wa fedha leo.

Sijawahi kuwa mshabiki wa Waziri wa Fedha lakini haya aliyozungumza, leo natangaza kuanzia leo nakua mshabiki wake.

Na tena nakazia.

Watu hawa wawe wanafanyiwa usaili wakurugenzi wa taasisi zote, makatibu wa wizara wote, wakurugenzi wa wilaya na mikoa, wakuu wa wilaya na mikoa
Hata mimi siyo shabiki wa Mwigulu lakini kwa hili nipo pamoja naye, akifanya vizuri nitamsifia na akiharibu nitamsema
 
Kama ni wakurigenzi wa mashirika ya kibiashara hii tufanye fasta na mashirika ya wizara za JANUARY MAKAMBA, Tanesco, Tpdc, nk, tukigusa hizo MAKAMBA ataona heri aende wizara ya mama Dorothy Gwajima.
Interview ziwe za wazi na siyo huu ujinga wa kupachikana
 
Katiba mpya katiba mpya ×3,hawa DCs na RCs futilia mbali, ni ufisadi mtupu...yes na Judge's wote nao waombe hizi nafasi, CEOs wote kuanzia DPP,IGP, TISS wote waombe na wawajibike kwa Bunge!
Watakupopoa sasa hivi Mkuu japo huo ndiyo ukweli na usahihi.Wengine wanajaza tu ofisi pasipokuwa na tija.
Eti msaidizi/mwakilishi wa Rais.Wakiua na kutesa Wananchi Rais haguswi,mfano mzuri ni Ole Sabaya.
 
very interesting. Hili ni wazo la serikali au Waziri wa Fedha. Katiba yetu na sheria zinasemaje kuhusu sifa na vigezo vya kuzingatiwa na mamlaka za uteuzi
It seems like ni wizara
But katiba na mfumo wetu una gape kubwa la kuteua watendaji wa serikali
 
very interesting. Hili ni wazo la serikali au Waziri wa Fedha. Katiba yetu na sheria zinasemaje kuhusu sifa na vigezo vya kuzingatiwa na mamlaka za uteuzi
hilo inabidi lisubiri marekebisho ya katiba vinginevyo haliwezi kuwa implemented.
 
Kwakweli nimependezwa sana na mawazo mazuri aliyotoa waziri wa fedha leo.

Sijawahi kuwa mshabiki wa Waziri wa Fedha lakini haya aliyozungumza, leo natangaza kuanzia leo nakua mshabiki wake.

Na tena nakazia.

Watu hawa wawe wanafanyiwa usaili wakurugenzi wa taasisi zote, makatibu wa wizara wote, wakurugenzi wa wilaya na mikoa, wakuu wa wilaya na mikoa
Hii imekaa vizuri. Hili watanzania waache kukimbilia siasa wabunge walipwe mishahara Kwa vigezo vya usomi wao. Kama ni darasa la Saba,apewe mshahara wa cheti cha darasa la Saba possibly Kima Cha chini.Utaratibu huu ulitumika huko Ribya enzi za Gadafi.Wasomi wengi walikuwa hawakimbiii siasa
 
Nchi kama SA, vyeo vingi kwenye taasisi na mashirika ya serikali pamoja na wajumbe kwenye bodi huwa wana apply....sio Tz vyeo vingi, vinakuwa kwa hisani ya Rais au Chama tawala....kaazi kwelikweli..
Kuna mtu alikuwa akisema serikalini kuna manafasi mengi..ukimsifia anakuteua.
 
Kwasasa ni ngumu,ila tungekuwa na katiba inayosema hivyo au mwongozo.....kusema ukweli ofisi za Umma Zina vilaza wengi sana,muda mwingine unajiuliza huyu kafikaje hapo? CONNECTION imejaza majinga mengi kwenye Utumishi wa Umma......kuna sehemu nilienda kuhitaji huduma fulani daah........kumeoza kabisa
 
Watakupopoa sasa hivi Mkuu japo huo ndiyo ukweli na usahihi.Wengine wanajaza tu ofisi pasipokuwa na tija.
Eti msaidizi/mwakilishi wa Rais.Wakiua na kutesa Wananchi Rais haguswi,mfano mzuri ni Ole Sabaya.
Vyeo nadhani vyote ukitoa cha Rais na Waziri Mkuu vingine vyote vitangazwe watu wafanye interview ya wazazi
 
Kwasasa ni ngumu,ila tungekuwa na katiba inayosema hivyo au mwongozo.....kusema ukweli ofisi za Umma Zina vilaza wengi sana,muda mwingine unajiuliza huyu kafikaje hapo? CONNECTION imejaza majinga mengi kwenye Utumishi wa Umma......kuna sehemu nilienda kuhitaji huduma fulani daah........kumeoza kabisa
Upo sahihi sn mkuu
 
Hii imekaaa kisiasa zaidi mkuu

Naona mantiki yake kwa wale chawa sasa ndio kwishiney babu giii

Kumbuka hapa hapa tz tulisha ambiwa rc's na dc's si public servants.

Kiini macho hiki

Kama wizara ya fedha na mipango inakuja na hili pendekezo huoni were are still in dark knight
Usaili ni kitu kizuri
 
Kumuamini na kumshabikia Mwigulu ni sawa na kujivika mabomu na kujilipua kutemea kuwa utapona

Sioni cha kupongeza hapo maana baadhi ya hivyo vyeo ulivyotaja vilipaswa vifutwe kabisa
 
Back
Top Bottom