MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Hili lianze kutekelezwa ASAP
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sana tu yaani kwa umri ule ameonyesha kuwa umri wa vijana wa Kitanzania ni wanafiki, wanatamaa za uteuzi na waoga Bure tu🤣🤣🤣Baraka shamte ni msema kweli
Naunga mkono suala la vetting,zifanyike kwa lugha ya Malkia,Kiswahili na za wenyeji wa eneo husika ili kuepuka mamliki.Hii imekaaa kisiasa zaidi mkuu
Naona mantiki yake kwa wale chawa sasa ndio kwishiney babu giii
Kumbuka hapa hapa tz tulisha ambiwa rc's na dc's si public servants.
Kiini macho hiki
Kama wizara ya fedha na mipango inakuja na hili pendekezo huoni were are still in dark knight
Hata mimi siyo shabiki wa Mwigulu lakini kwa hili nipo pamoja naye, akifanya vizuri nitamsifia na akiharibu nitamsemaKwakweli nimependezwa sana na mawazo mazuri aliyotoa waziri wa fedha leo.
Sijawahi kuwa mshabiki wa Waziri wa Fedha lakini haya aliyozungumza, leo natangaza kuanzia leo nakua mshabiki wake.
Na tena nakazia.
Watu hawa wawe wanafanyiwa usaili wakurugenzi wa taasisi zote, makatibu wa wizara wote, wakurugenzi wa wilaya na mikoa, wakuu wa wilaya na mikoa
Interview ziwe za wazi na siyo huu ujinga wa kupachikanaKama ni wakurigenzi wa mashirika ya kibiashara hii tufanye fasta na mashirika ya wizara za JANUARY MAKAMBA, Tanesco, Tpdc, nk, tukigusa hizo MAKAMBA ataona heri aende wizara ya mama Dorothy Gwajima.
Watakupopoa sasa hivi Mkuu japo huo ndiyo ukweli na usahihi.Wengine wanajaza tu ofisi pasipokuwa na tija.Katiba mpya katiba mpya ×3,hawa DCs na RCs futilia mbali, ni ufisadi mtupu...yes na Judge's wote nao waombe hizi nafasi, CEOs wote kuanzia DPP,IGP, TISS wote waombe na wawajibike kwa Bunge!
Sidhani kama amesema ma RC, NA MA DC
It seems like ni wizaravery interesting. Hili ni wazo la serikali au Waziri wa Fedha. Katiba yetu na sheria zinasemaje kuhusu sifa na vigezo vya kuzingatiwa na mamlaka za uteuzi
hilo inabidi lisubiri marekebisho ya katiba vinginevyo haliwezi kuwa implemented.very interesting. Hili ni wazo la serikali au Waziri wa Fedha. Katiba yetu na sheria zinasemaje kuhusu sifa na vigezo vya kuzingatiwa na mamlaka za uteuzi
Hii imekaa vizuri. Hili watanzania waache kukimbilia siasa wabunge walipwe mishahara Kwa vigezo vya usomi wao. Kama ni darasa la Saba,apewe mshahara wa cheti cha darasa la Saba possibly Kima Cha chini.Utaratibu huu ulitumika huko Ribya enzi za Gadafi.Wasomi wengi walikuwa hawakimbiii siasaKwakweli nimependezwa sana na mawazo mazuri aliyotoa waziri wa fedha leo.
Sijawahi kuwa mshabiki wa Waziri wa Fedha lakini haya aliyozungumza, leo natangaza kuanzia leo nakua mshabiki wake.
Na tena nakazia.
Watu hawa wawe wanafanyiwa usaili wakurugenzi wa taasisi zote, makatibu wa wizara wote, wakurugenzi wa wilaya na mikoa, wakuu wa wilaya na mikoa
Kuna mtu alikuwa akisema serikalini kuna manafasi mengi..ukimsifia anakuteua.Nchi kama SA, vyeo vingi kwenye taasisi na mashirika ya serikali pamoja na wajumbe kwenye bodi huwa wana apply....sio Tz vyeo vingi, vinakuwa kwa hisani ya Rais au Chama tawala....kaazi kwelikweli..
Vyeo nadhani vyote ukitoa cha Rais na Waziri Mkuu vingine vyote vitangazwe watu wafanye interview ya wazaziWatakupopoa sasa hivi Mkuu japo huo ndiyo ukweli na usahihi.Wengine wanajaza tu ofisi pasipokuwa na tija.
Eti msaidizi/mwakilishi wa Rais.Wakiua na kutesa Wananchi Rais haguswi,mfano mzuri ni Ole Sabaya.
Upo sahihi sn mkuuKwasasa ni ngumu,ila tungekuwa na katiba inayosema hivyo au mwongozo.....kusema ukweli ofisi za Umma Zina vilaza wengi sana,muda mwingine unajiuliza huyu kafikaje hapo? CONNECTION imejaza majinga mengi kwenye Utumishi wa Umma......kuna sehemu nilienda kuhitaji huduma fulani daah........kumeoza kabisa
Usaili ni kitu kizuriHii imekaaa kisiasa zaidi mkuu
Naona mantiki yake kwa wale chawa sasa ndio kwishiney babu giii
Kumbuka hapa hapa tz tulisha ambiwa rc's na dc's si public servants.
Kiini macho hiki
Kama wizara ya fedha na mipango inakuja na hili pendekezo huoni were are still in dark knight