Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
very interesting. Hili ni wazo la serikali au Waziri wa Fedha. Katiba yetu na sheria zinasemaje kuhusu sifa na vigezo vya kuzingatiwa na mamlaka za uteuziHii imekaaa kisiasa zaidi mkuu
Naona mantiki yake kwa wale chawa sasa ndio kwishiney babu giii
Kumbuka hapa hapa tz tulisha ambiwa rc's na dc's si public servants
Kiini macho hiki
Kama wizara ya fedha na mipango inakuja na hili pendekezo huoni were are still in dark knight
Katiba mpya katiba mpya ×3,hawa DCs na RCs futilia mbali, ni ufisadi mtupu...yes na Judge's wote nao waombe hizi nafasi, CEOs wote kuanzia DPP,IGP, TISS wote waombe na wawajibike kwa Bunge!
Nchi kama SA, vyeo vingi kwenye taasisi na mashirika ya serikali pamoja na wajumbe kwenye bodi huwa wana apply....sio Tz vyeo vingi, vinakuwa kwa hisani ya Rais au Chama tawala....kaazi kwelikweli..Katiba mpya katiba mpya ×3,hawa DCs na RCs futilia mbali, ni ufisadi mtupu...yes na Judge's wote nao waombe hizi nafasi, CEOs wote kuanzia DPP,IGP, TISS wote waombe na wawajibike kwa Bunge!
UPO SAHIHI kuna Watu wenye Ujuzi na Uzoefu na UADILIFU lakini hawapati hizo Nafasi kwani zinatolewa KIKADAKwakweli nimependezwa sana na mawazo mazuri aliyotoa waziri wa fedha leo.
Sijawahi kuwa mshabiki wa Waziri wa Fedha lakini haya aliyozungumza, leo natangaza kuanzia leo nakua mshabiki wake.
Na tena nakazia.
Watu hawa wawe wanafanyiwa usaili wakurugenzi wa taasisi zote, makatibu wa wizara wote, wakurugenzi wa wilaya na mikoa, wakuu wa wilaya na mikoa
Kivipi tuanze na hawa kwanza. Mimi naona waziri awe anagombea hiyo nafasi ula kuwekwe elimu kubwa na uzoefu.Kumfanyia usaili RC na kuacha kumfanyia waziri ni matumizi yasiyofaa ya akili. Hapo waziri kapotoka au kapotoshwa
Umechanganya.....hii ni kwa wakurugenzi wa mashirika ya umma na wajumbe wa bodi za mashirikaKwakweli nimependezwa sana na mawazo mazuri aliyotoa waziri wa fedha leo.
Sijawahi kuwa mshabiki wa Waziri wa Fedha lakini haya aliyozungumza, leo natangaza kuanzia leo nakua mshabiki wake.
Na tena nakazia.
Watu hawa wawe wanafanyiwa usaili wakurugenzi wa taasisi zote, makatibu wa wizara wote, wakurugenzi wa wilaya na mikoa, wakuu wa wilaya na mikoa
Itasaidia sana kwenye performance lakini pia itapunguza undugunizationKwakweli nimependezwa sana na mawazo mazuri aliyotoa waziri wa fedha leo.
Sijawahi kuwa mshabiki wa Waziri wa Fedha lakini haya aliyozungumza, leo natangaza kuanzia leo nakua mshabiki wake.
Na tena nakazia.
Watu hawa wawe wanafanyiwa usaili wakurugenzi wa taasisi zote, makatibu wa wizara wote, wakurugenzi wa wilaya na mikoa, wakuu wa wilaya na mikoa
SahihiNmeipenda hiyo japokuwa sioni umuhimu wa kuwa na DC, kwann kazi anazofanya DC asipewe mkurugenzi wa ilo eneo au afanye RC.?
🤣🤣🤣Baraka shamte ni msema kweliDawa yao tupate katibu mkuu kiongozi kama SHAMTE hata kwa wiki Moja tu
Kamsikilize tena vizuri ni WAKURUGENZI WA TAASISI ZINAZOFANYA KAZI KIBIASHARA syo wakurugenzi woteKwakweli nimependezwa sana na mawazo mazuri aliyotoa waziri wa fedha leo.
Sijawahi kuwa mshabiki wa Waziri wa Fedha lakini haya aliyozungumza, leo natangaza kuanzia leo nakua mshabiki wake.
Na tena nakazia.
Watu hawa wawe wanafanyiwa usaili wakurugenzi wa taasisi zote, makatibu wa wizara wote, wakurugenzi wa wilaya na mikoa, wakuu wa wilaya na mikoa
Sidhani kama amesema ma RC, NA MA DCKatiba mpya katiba mpya ×3,hawa DCs na RCs futilia mbali, ni ufisadi mtupu...yes na Judge's wote nao waombe hizi nafasi, CEOs wote kuanzia DPP,IGP, TISS wote waombe na wawajibike kwa Bunge!
Duniani kote mawaziri wanateuliwa kwa ajili ya kusukuma agenda za raisi..hao ni mikono ya raisi huwezi kuifanya iwe kazi ya kutuma maombi.Kivipi tuanze na hawa kwanza. Mimi naona waziri awe anagombea hiyo nafasi ula kuwekwe elimu kubwa na uzoefu.