Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Wenzako watasema "ni vifaa vya ujenzi"😜😜Ni kwa mganga hapo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wenzako watasema "ni vifaa vya ujenzi"😜😜Ni kwa mganga hapo?
Si unajua sisi watoto wa kishua hivi vitu ndo tunaona leoWenzako watasema "ni vifaa vya ujenzi"😜😜
Hivi ulezi hauwagi na vile vidude dude?,. Ugali unalika kweliUgali una rangi ya kutisha 😹😹
Walitumia unga wa ulezi
Kwani inaruhusiwa hii kwa wakuryaEwe mwanamke kwanini uteseke na maisha wakati Freemasonry ipo kukutajirisha.
Uwe na kipaji au kazi yako binafsi
Uwe na umri miaka 25 - 45
Uwe jinsia ya kike
Uwe tayari kutoa sadaka ya mbuzi wa kafara
Baadaya kujiunga utapewa mtaji wako shilingi bilioni 2.5 za Tanzania.
Karibu Sasa ubadilishe maisha yako.
Mwezi wa 10 tunasajili wanawake tu karibuni wananchi.
View attachment 3064104
Si ulezi ni Mtama!Ugali una rangi ya kutisha 😹😹
Walitumia unga wa ulezi
Utafikiri walitumia udongo 😂😂Ugali una rangi ya kutisha 😹😹
Walitumia unga wa ulezi
Ndio, karibu chai☕🥯Poa mzima?
Punguza umri hapo mkuu,. Watu tunataka hela🤒Ewe mwanamke kwanini uteseke na maisha wakati Freemasonry ipo kukutajirisha.
Uwe na kipaji au kazi yako binafsi
Uwe na umri miaka 25 - 45
Uwe jinsia ya kike
Uwe tayari kutoa sadaka ya mbuzi wa kafara
Baadaya kujiunga utapewa mtaji wako shilingi bilioni 2.5 za Tanzania.
Karibu Sasa ubadilishe maisha yako.
Mwezi wa 10 tunasajili wanawake tu karibuni wananchi.
View attachment 3064104
Hahaa 😂 Vishu weye 😂😂😂Utafikiri walitumia udongo 😂😂
Asante kiongozi,. Barikiwa sanaNdio, karibu chai☕🥯
🤝Asante kiongozi,. Barikiwa sana