Wakurya, najua mkiona hii picha hamuhitaji kutafasiriwa

Wakurya, najua mkiona hii picha hamuhitaji kutafasiriwa

Mtama unachanganywa na udaga.
Mboga hapo ni nyama na hiyo kama mchuzi pembeni ni kichuri.
Ulezi unakuwa na weupe kama unavyoona uji wa ulezi wenye maziwa.
Hapo chooni lazima waimbe Aleluya 🤣🤣
Ndiomana watu wa kabila hilo wana hasira muda wote, wanakula vitu vya ajabu sana.!!
 
Hiyo rangi nikajua ulezi, kumbe mtama wanamix na vitu gani sijui!!
Hawamix chochote. Nilipoletewasiku moja nikiwa Ngorime, nilishabikia nikidhani ni ulezi, lol, kutafuna haupiti katika koo. Si kitu rahisi mpaka uwe umezoea. Ni kama Kenke kama unaifahamu kwa watu wa West Africa
 
🤣🤣🤣 na ladha pia hauna??
Ndiomana kurya wakifika dar hawataki kurudi kwao
 
Back
Top Bottom