Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Kuna mdau kasema ni mbaya hauna ladha.!Mtama ni kama mahindi tu tofauti ni rangi.
Udaga/ mhogo una tabia ya kujivuta. Kwa hiyo ugali wake ni mraini sana.
Tatizo hapo ni hiyo kichuri.
Tembea uone cheupe. Au December moja tufanye tour ukaonje. Katika harakati nimetembea mikoa mingi na kula vyakula vya asili ila hicho cha mara naona kinapendwa sana na wageni.
Na wewe ni kurya?