Wakuu acheni michepuko

Wakuu acheni michepuko

Mwanaume sikia hii uwe mume bora

Mwanaume nguvu zako ni kwa ajili ya mke mmoja siyo wanawake wotee

Mithali 31 :3

Usiwape wanawake nguvu zako :

Mungu alimpa mwanaume mke huyu mmoja kwenye bustani ya edeni. Huyo wa pili anaye fanya ndoa aina amani ameletwa na shetani kushindana na mungu. Mwanzo 2:18 - 25

Samsoni alikuwa na nguvu nyingi lakini kwa kuwa alipenda makahaba akamvaa derila kumbe hakuja kwa mapenzi alikuja kuchukua nguvu za samsoni.

Waamuzi 16:1

Samsoni akaenda gaza akaona huko mwanamke kahaba akaingia kwake.

Waamuzi 16:6

Derila akamwambia samsoni tafadhali uniambie asili ya nguvu zako nyingi na jinsi uwezavyo weza kufungwa ili uteswe.

Samsoni kwa kubembelezwa na derila akimdanganya anampenda alitoa nguvu zake naatimae wafilisti waliomtuma derila wakamuua samsoni waamuzi 16:15-23

Nini unajifunza hapo mke wako ndio anatakiwa apate nguvu zako hao wanawake wazuri unaowaona sasa wapo kazini wametumwa na shetani

Kaka zangu na baba zangu. Mke wako ni mzuri sanaa na ndio mana ulimuoa acha zambi itakuuwa shetani yupo kazini anatumia warembo. Mbona kabla ujaoa ujakuwa hivyo? Tafakari sanaa mungu akukomboe kupitia andiko hili

Mithali 18 :22

Apataye mke apata kitu chema naye ajipatia kibali kwa bwana.

Muulize anaye mpenda mke wake kweli na asiye chepuka akuonyeshe mafanikio yao ndio utaamini kuwa neno la mungu ndio usalama wako ubarikiwe sanaa kaka na baba

View attachment 2234655
Mwenye sikio na asikie.
 
1. Unamzungumzia ibrahimu baba wa Imani aliemtafuna hausigelo wake.

2. Unamzungumzia mfalme suleimani alietafuna Wanawake 700 na Michepuko 300.

3. Unamzunguziaje Lutu aliewatafuna mabinti zake wakuwazaa baada ya kupiga ulabu.

4. Unamzungumziaje YAKOBO

5. .......

Kuchepuka ingekua Ni dhambi,
bila shaka mungu angeanza kushughulika na hao ambao Ni vioo vyetu vya imani
5. King Muswati.
 
Binafsi siwezi tenda kosa hili kubwa. Wanawake mpo wengi kutuzidi. Tukioa mmoja mmoja hizo mbususu zinazobaki zihudumiwe na nani?
Kweli kabisa. Fanya research wanafunzi wanapotoka shule, utaona wengi ni wasichana.
 
Mwanaume kuwa na mwanamke mmoja ni matumizi mabaya ya nguvu za kiume kadri unavyotembeza moto ndio nguvu ujichaji kwa kasi ya ajabu,, kama mwanaume embu jipige kifuani mara tano
.
IMG_20210627_080950.jpg
 
MWANAMKE UNAPATA WAPI KIBALI CHA KUSIMAMA NA KUTUITA WANAUME NA KUANZA KUONGEA HUO UPUPU


GO BACK TO KITCHEN ...
 
Wewe unayoo hata nguvu zakiume wewe hauna unajiona kusema wenzako wewe unaendaga kanisani labda kanisa la mashetani.
Kwanini wewe huchepuki nyoo unajishaua na michubuo yako hiyo wai .

Unajifanya umeumba dunia na vyote vikavyo ndani yake wala nzi huwezi kukutia kuumba licha hawa uwachambuao
Makasiriko ya nn Dada ....? Kwani ni kweli hauna bikira
 
Back
Top Bottom