Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
😂😂yan kwamba?Akili ulishamuachiaga shetani...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂yan kwamba?Akili ulishamuachiaga shetani...
Mwenye sikio na asikie.Mwanaume sikia hii uwe mume bora
Mwanaume nguvu zako ni kwa ajili ya mke mmoja siyo wanawake wotee
Mithali 31 :3
Usiwape wanawake nguvu zako :
Mungu alimpa mwanaume mke huyu mmoja kwenye bustani ya edeni. Huyo wa pili anaye fanya ndoa aina amani ameletwa na shetani kushindana na mungu. Mwanzo 2:18 - 25
Samsoni alikuwa na nguvu nyingi lakini kwa kuwa alipenda makahaba akamvaa derila kumbe hakuja kwa mapenzi alikuja kuchukua nguvu za samsoni.
Waamuzi 16:1
Samsoni akaenda gaza akaona huko mwanamke kahaba akaingia kwake.
Waamuzi 16:6
Derila akamwambia samsoni tafadhali uniambie asili ya nguvu zako nyingi na jinsi uwezavyo weza kufungwa ili uteswe.
Samsoni kwa kubembelezwa na derila akimdanganya anampenda alitoa nguvu zake naatimae wafilisti waliomtuma derila wakamuua samsoni waamuzi 16:15-23
Nini unajifunza hapo mke wako ndio anatakiwa apate nguvu zako hao wanawake wazuri unaowaona sasa wapo kazini wametumwa na shetani
Kaka zangu na baba zangu. Mke wako ni mzuri sanaa na ndio mana ulimuoa acha zambi itakuuwa shetani yupo kazini anatumia warembo. Mbona kabla ujaoa ujakuwa hivyo? Tafakari sanaa mungu akukomboe kupitia andiko hili
Mithali 18 :22
Apataye mke apata kitu chema naye ajipatia kibali kwa bwana.
Muulize anaye mpenda mke wake kweli na asiye chepuka akuonyeshe mafanikio yao ndio utaamini kuwa neno la mungu ndio usalama wako ubarikiwe sanaa kaka na baba
View attachment 2234655
Unajifanya mbabe kauzu, kumbe mchumba tu... hahaha😂😂yan kwamba?
Me kauzu zaidi ya dagaaUnajifanya mbabe kauzu, kumbe mchumba tu... hahaha
Mbona unanyweaga nikikustopisha ubabe wako.... hahahahaMe kauzu zaidi ya dagaa
Nafunika tu kombe 🤸♂️Mbona unanyweaga nikikustopisha ubabe wako.... hahahaha
5. King Muswati.1. Unamzungumzia ibrahimu baba wa Imani aliemtafuna hausigelo wake.
2. Unamzungumzia mfalme suleimani alietafuna Wanawake 700 na Michepuko 300.
3. Unamzunguziaje Lutu aliewatafuna mabinti zake wakuwazaa baada ya kupiga ulabu.
4. Unamzungumziaje YAKOBO
5. .......
Kuchepuka ingekua Ni dhambi,
bila shaka mungu angeanza kushughulika na hao ambao Ni vioo vyetu vya imani
Kwa hiyo michepuko ipo tangu dhama hizo za wenyewe. Sisi tunaiga tu.Daudi mwenyewe alimpeleka jamaa front huko vitani ili ale mbususu ya mke wa jamaa.
Sisi ni nani jamani!!
Ili mimi mwanaharamu nipite... hahahaNafunika tu kombe 🤸♂️
😂😂 mbona kibabe sana JafeIli mimi mwanaharamu nipite... hahaha
Kweli kabisa. Fanya research wanafunzi wanapotoka shule, utaona wengi ni wasichana.Binafsi siwezi tenda kosa hili kubwa. Wanawake mpo wengi kutuzidi. Tukioa mmoja mmoja hizo mbususu zinazobaki zihudumiwe na nani?
Umemaliza[emoji1]Bikra zenyewe hamna then mnataka kuolewa ndoa ya mke mmoja mkafie Mbali yaani mdanga weee dk 80 mnakuja na mistari ya bibilia wakati hata kanisani hamuendi.
Kwani mimi mpole wewe katoto... hahaha😂😂 mbona kibabe sana Jafe
Mpole sana weweKwani mimi mpole wewe katoto... hahaha
.Mwanaume kuwa na mwanamke mmoja ni matumizi mabaya ya nguvu za kiume kadri unavyotembeza moto ndio nguvu ujichaji kwa kasi ya ajabu,, kama mwanaume embu jipige kifuani mara tano
Snitch get stitchesNimejaribu kupitia nyuzi zako zote ili nijue wewe ni mtu wa aina gani.
Lakini umetoa ushaur mzuri, asnte tumeupokea na Mungu atusaidie.!
Nakuoneaga huruma...Mpole sana wewe
Makasiriko ya nn Dada ....? Kwani ni kweli hauna bikiraWewe unayoo hata nguvu zakiume wewe hauna unajiona kusema wenzako wewe unaendaga kanisani labda kanisa la mashetani.
Kwanini wewe huchepuki nyoo unajishaua na michubuo yako hiyo wai .
Unajifanya umeumba dunia na vyote vikavyo ndani yake wala nzi huwezi kukutia kuumba licha hawa uwachambuao
Kumbe unaakili hiviAfu mwanaume wa pekeyako hata maufundi anakuwa hana,anatetemeka tetemeka tu kama ana degedege kufika kileleni