Iyo gari spare parts zake ni bei sana,usishangae ikafika 20 mil,najua coz boss wangu anayo kufanya service ya kawaida kama kumwaga oil tu na vitu vidogo vidogo 1mil inakata sembuse kununulia taa sijui nn? Hapo kunakazi sana baadaa ya kununua nalijua ilo gari vizur,jiandae kweli siyo toyota iyo mkuuhebu acha kuaminisha watu uongo!
taa gani zinahitajika hapo? au bonnet gani linahitajika hapo, wakati unaona ni kurekebisha tu, even hivyo vitu vyote ulivyotaja ni mafikirio, lakini simply kwa wataalamu wa gari ukishaona picha hapo! unajua nini cha kurekebisha !
20mil ya nini yote??
Mkuu ukiongea utaambiwa unawaharibia watu biashara.Iyo gari spare parts zake ni bei sana,usishangae ikafika 20 mil,najua coz boss wangu anayo kufanya service ya kawaida kama kumwaga oil tu na vitu vidogo vidogo 1mil inakata sembuse kununulia taa sijui nn? Hapo kunakazi sana baadaa ya kununua nalijua ilo gari vizur,jiandae kweli siyo toyota iyo mkuu
mkuu ina hii namba c inavyouzwaHaraka haraka utahitaji
1.taa
2.bumper
3.grille
4.bonnet
5.wing
6.radiator
7.radiator fan
8.condenser
9.expansion tank
10.pas pump*
11.alternator*
12.ac compressor*
13.airbags
Hapo si chini ya 20m.
mkuu ina hii namba c inavyouzwa
Kwani hio gari mpya inauzwa bei gani? Ukijua bei ya mpya(hii kwenye picha ni base model) hutafuatilia bei za kibongo.mkuu ina hii namba c inavyouzwa
sasa usd 20000 si ni almost ml45? so kama hii namba D ya jamaa utaipata kwa 20m ukafaya service za 20 jumla ni 40
no problem na hilo
Iyo gari spare parts zake ni bei sana,usishangae ikafika 20 mil,najua coz boss wangu anayo kufanya service ya kawaida kama kumwaga oil tu na vitu vidogo vidogo 1mil inakata sembuse kununulia taa sijui nn? Hapo kunakazi sana baadaa ya kununua nalijua ilo gari vizur,jiandae kweli siyo toyota iyo mkuu
Shukran sana mkuu kwa kumueleweshakumwaga oil na service za kumwaga oil, cant be 1 mil bro! by the way mimi ni fundi magari ! nipo mwenge nafahamu nachoongea! Range yenyewe kufanya service kumwaga oil haifiki 400,000 sembuse hiyo!
Liko zanzibar lilikua la serikali kuna kulipa ushuru haposasa usd 20000 si ni almost ml45? so kama hii namba D ya jamaa utaipata kwa 20m ukafaya service za 20 jumla ni 40
no problem na hilo
Mr gango kumwaga oil Nissan hardbody beingkumwaga oil na service za kumwaga oil, cant be 1 mil bro! by the way mimi ni fundi magari ! nipo mwenge nafahamu nachoongea! Range yenyewe kufanya service kumwaga oil haifiki 400,000 sembuse hiyo!
Dah. Uongo mwingine bwana. Hio Amarok haiwezi kufika hata laki nne service. Assume unatumia oil za Atlantic ama BP ambazo ni ghali kidogo sokoni, lita moja ni around 20,000 (*4=80,000). Filter yake haizidi 100,000/-. Hio milioni unakuwa una service mpaka bodi ama?Iyo gari spare parts zake ni bei sana,usishangae ikafika 20 mil,najua coz boss wangu anayo kufanya service ya kawaida kama kumwaga oil tu na vitu vidogo vidogo 1mil inakata sembuse kununulia taa sijui nn? Hapo kunakazi sana baadaa ya kununua nalijua ilo gari vizur,jiandae kweli siyo toyota iyo mkuu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] plus nakuosha kwa presha 40000Dah. Uongo mwingine bwana. Hio Amarok haiwezi kufika hata laki nne service. Assume unatumia oil za Atlantic ama BP ambazo ni ghali kidogo sokoni, lita moja ni around 20,000 (*4=80,000). Filter yake haizidi 100,000/-. Hio milioni unakuwa una service mpaka bodi ama?
Ongopa mtu anaenda cfao ananunua amarok mpya 0km alafu service afanye mwenge kwny garage yako mkuu? Naongelea wanaofanya service cfao unafikili kufanya service gari ya 2016 ni kuweka oil tu, siyo ivyo nenda pale cfao uone service inavyofanya mkuu computerized tu mkuukumwaga oil na service za kumwaga oil, cant be 1 mil bro! by the way mimi ni fundi magari ! nipo mwenge nafahamu nachoongea! Range yenyewe kufanya service kumwaga oil haifiki 400,000 sembuse hiyo!
Ongopa mtu anaenda cfao ananunua amarok mpya 0km alafu service afanye mwenge kwny garage yako mkuu? Naongelea wanaofanya service cfao unafikili kufanya service gari ya 2016 ni kuweka oil tu, siyo ivyo nenda pale cfao uone service inavyofanya mkuu computerized tu mkuu