Wakuu, hivi kuna magari ya kutoka Mbezi mpaka Mbagala moja Kwa moja?

Wakuu, hivi kuna magari ya kutoka Mbezi mpaka Mbagala moja Kwa moja?

Arsenal Gunner

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
10,891
Reaction score
17,718
Naombeni msaada Kuna margari ya kutoka mbezi mwisho mpaka mbagara Moja Kwa moja na nauli yake Bei Gani wakuu
 
Kama unamaanisha mbezi Kwa Magufuli mdau ashakujibu hapo juu,Kama ni Mbezi Beach utuambie tukuelekeze
 
Nauli 1300 magari yapo mengi kuliko abiria haswa kuanzia saa3 asubuh mpaka saa10 jioni ila baada ya hapo abiria wanaanza kuwa wengi kuliko magari
Samahani Mkuu hivi ukipanda hayo ya mbezi unafika mwandege bila kupanga gari linginine
 
Kama unamaanisha mbezi Kwa Magufuli mdau ashakujibu hapo juu,Kama ni Mbezi Beach utuambie tukuelekeze
Mbezi Kwa magufuli mkuu na nauliza ukipanda hayo ni Moja Kwa moja mpaka mwandege au Kuna gari lingine unapswa upande
 
Inategemeana mwandege gan unataka umfikie, mwandege njiwa ni uhakika, lakini mwandege kunguru kuna changamoto kidogo.
So inabidi nipande gari la wapi mkuu nikifika m agala Ili nifike mwandege
 
Samahani mkuu nauli kutoka hapo mbagala mpaka mwandege ni Bei gani
nauli za daladala tu unazikadilia kiasi hiko??? ukipata safari ya mwanza-tunduma utauliza maswali kiasi gani? beba wallet, fungua mlango tembea.
 
Duh! aisee ukombozi ni muhimu sana vijana, ikiwa nauli ya Daladala
Tunajadili kiasi hiki ujue hali sio shwari mtaani!!!
 
Back
Top Bottom